Sloti hii ya Elephant Treasure inakukaribisha kwenye falme ya ma-tembo. Tengeneza urafiki na wanyama hawa, kwani wingi wao ni utajiri. Jipatie faida kubwa kwa kuwakusanya tembo wengi kadri iwezekanavyo, huku ukiongeza furaha kila uchezapo.
Elephant Treasure ni mchezo wa sloti mtandaoni ulioandaliwa na wataalamu wa kutengeneza michezo ya kasino, Red Tiger. Sherehe ya bonasi inakusubiri kwenye sloti hii. Wakati wa mizunguko ya kustaajabiza, alama wilds zitajaza nguzo. Pia utakutana na malipo ya pesa papo kwa hapo, pamoja na mizunguko ya bure tele.

Ikiwa unataka kujua kitu zaidi kuhusu mchezo huu wa sloti, tunakushauri usome maelezo ya sloti ya Elephant Treasure.
Tumegawanya hakiki ya mchezo huu wa kasino katika sehemu kadhaa:
- Maelezo ya msingi
- Alama za sloti ya Elephant Treasure
- Michezo ya bonasi
- Picha na sauti
Maelezo ya Msingi
Elephant Treasure ni sloti ya mtandaoni yenye nguzo tano zilizopangwa katika mistari mitatu na ina mistari 20 ya malipo. Ili kushinda chochote, unahitaji kupata alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo.
Mchanganyiko wowote wa ushindi unahesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia nguzo ya kwanza kushoto.
Unaweza kufanikisha ushindi mmoja kwa mstari mmoja wa malipo. Ikiwa una michanganyiko ya ushindi zaidi ya mmoja kwenye mstari mmoja wa malipo, utalipwa ushindi wenye thamani kubwa zaidi.
Ushindi unaweza kujumlishwa, unapowashikamanisha kwenye mistari kadhaa ya malipo wakati huo huo.
Ndani ya uwanja wa kuweka beti, kuna vitufe vya kuongeza na kupunguza ili kuweka thamani ya dau kwa kila mzunguko.
Pia kuna kipengele cha kucheza moja kwa moja ambalo unaweza kulianzisha wakati wowote. Kupitia chaguo hili, unaweza kuweka hadi mizunguko 100. Kabla ya kuanza kipengele hiki, weka kikomo kwenye cha hasara itakayopatikana.
Kama wewe ni mpenzi wa mchezo wa haraka, tuna suluhisho kwa hilo pia. Wezesha mizunguko ya haraka kwa kubofya kiufe chenye alama ya Turbo. Unaweza kurekebisha kiwango cha sauti kwenye kona ya kulia juu ya nguzo.
Alama za Sloti ya Elephant Treasure
Fahamu kuhusu alama za mchezo huu, tukianza na alama zenye malipo kidogo; 10, J, Q, K, na A. Huku alama A ikiwa ndio alama yenye malipo ya juu kati yao.
Ikifuatiwa na sarafu ya dhahabu, ambayo inaleta malipo kidogo zaidi. Ushindi mkubwa ambao alama hii inakuletea ni mara x100 ya dau lako.
Kofia za dhahabu ndio alama inayofuatia kwa malipo, hivyo alama tano za aina hii kwenye mstari wa malipo zitakuletea ushindi mara x120 ya dau lako.
Kisha uikifuatiwa na alama ya chura wa dhahabu ambayo inavutia kwa malipo makubwa zaidi. Ikiwa unaunganisha alama tano za aina hii kwenye mfululizo wa ushindi utapata mara x150 ya dau lako.
Alama ya msingi zaidi ya mchezo huu ni tembo wa dhahabu. Ukichanganya alama tano za aina hii kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara x300 ya dau lako.
Michezo ya bonasi
Alama ya wild inaonekana tu wakati wa mizunguko ya kustaajabiza. Zinawakilishwa na mipira mikubwa ya kijani yenye nembo ya Wilds. Alama hii huchukua nafasi ya alama zote, isipokuwa alama ya scatter na bonasi. Vile vile alama hii husaidia kuunda mchanganyiko mzuri wa ushindi.

Wakati huo huo, hii ndiyo alama yenye thamani zaidi ya mchezo. Alama tano kwenye mstari wa malipo moja kwa moja hulipa mara x500 ya dau lako.
Alama ya bonasi yenye nembo sawa na alama ya wild italeta Bonasi ya ushinda papo kwa hapo kama ukiziunganisha alama tatu za aina hii kwenye nguzo. Kisha alama za kawaida zitaondolewa kutoka kwenye nguzo, na nguzo zitakunjuliwa.

Kisha sarafu za dhahabu zitadondoka kutoka kwenye sloti. Ushindi mkubwa unaoweza kutarajia kwa njia hii ni mara x888 ya dau lako.
Alama ya scatter inawakilishwa na tembo mwenye nembo ya free spins juu yake. Alama tatu za aina hii kwenye nguzo zinaleta mizunguko ya bure. Utachagua tembo mmoja ambaye ataleta idadi ya kubahatisha ya mizunguko ya bure.
Alama zenye thamani kubwa na alama maalum pekee ndizo zinaonekana wakati wa mizunguko ya bure.

Kiwango cha urejeshaji wa ushindi kwa mchezaji(RTP) ni 96.07% kwa mchezo huu wa sloti.
Picha na sauti
Nguzo za sloti ya Elephant Treasure zimehifadhiwa ndani ya hema la dhahabu. Muziki wa kiorienti upo wakati wote unapofurahia.
Picha na muonekano wa sloti hii ni nzuri sana na alama zinaoneshwa kwa undani wa hali ya juu.
Karibu kwenye sherehe yenye nguvu! Cheza Elephant Treasure na upambanie ushindi wa kuvutia.
Leave a Comment