Hadithi za kusadikika za Misri, burudani na burudani zaidi. Hivi ni vitu vyote ambavyo vipo katika gemu ya kupendeza sana iitwayo Pharaoh’s Ring, ambayo itakufanya wewe ujihisi upo katika ulimwengu wa kipekee sana hapo ulipo. Mashabiki wa mambo ya kusadikika ya Misri basi gemu mpya imekuja kwa ajli yao! Inatoka kwa Novomatic, Pharaoh’s Ring inakuja kwetu!

Sloti hii ya video ina milolongo mitano na mistari 20 ya malipo. Misri ni mada ambayo siku zote imekuwa ikiibua hisia sana, hivyo, kwa wakati huu pia gemu ya Pharaoh’s Ring ni hakika itawateka wateja mara zote wanapoicheza.

Pharaoh’s Ring, Bonasi ya Kasino Mtandaoni, Paka, Mbung’o, Mafarao

Pharaoh’s Ring

Pharaoh’s Ring

Alama nyingi ambazo zinatumika katika gemu hii ni sawa sawa kabisa na zile zilizotumika katika dhamira za Kifarao na Kimisri. Moja ya alama ambazo zinaifanya gemu hii kuwa tofauti na zingine zote ni kile kitabu chake cha kale kabisa.

Tangu iwe ni alama muhimu katika gemu, yeye ni pekee ambaye ana nafasi ya kuchukua nafasi za alama zingine, ili kuwasidia wateja washinde pale wanapoicheza. Pia, kitabu cha kale zaidi, pamoja na ile jokeri ambayo pia ni alama ya scatter ya gemu hii. Pale mteja anapopokea alama tatu au zaidi za aina hii ndipo mizunguko ya bure mtandaoni itawashwa.

Wateja watapokea mizunguko kumi ya bure mtandaoni. Wakati wa mizunguko ya bure utapokea alama moja ambayo itasambaa hadi kwenye mlolongo wote ule, haijalishi inaangukia wapi hasa. Gemu ina kitufe cha kubetia yaani kucheza kamari ambapo inafanya ushindi wako kuwa ni mara mbili. Unaweza kurudia chaguo hilo kadri unavyotaka iwe hata mara nyingi kiasi gani, na lengo la gemu hii ni kukisia rangi ipi ambayo itatoka kwenye karata inayofuatia kutoka katika kikasha cha karata, nyeusi ama nyekundu. Pharaoh’s Ring – shinda mara 5,000 zaidi!

Pharaoh ni alama yenye nguvu kubwa sana na itazidisha mkeka wako mara nyingi hadi kufikia mara 5,000 endapo alama tano kati ya hizi itatokea katika mstari wa malipo uliopo! Paka anakuwa ni mnyama aliyetengwa katika Misiri ya kale, hivyo inashangaza kuona kwamba alama ya paka ni ya pili kwa ukubwa. Mungu mtu wa kike, mdudu wa jamii ya mende na herufi ambazo haziepukiki na namba zinafuata kama alama za malipo.

Pharaoh’s Ring, paka, sloti ya mtandaoni, Bonasi ya Kasino Mtandaoni, uchezaji wa gemu ya Pharaoh’s Ring

Pharaoh’s Ring

Uhakika (RTP) wa sloti hii ya video ni 95.16%. uwezo wa kulipa ni mara 5,000 ya dau la mkeka wako kitu ambacho ni kikubwa hivyo usipoteze nafasi hii ya ushindi mkubwa. Karibu Misri, kila la heri!

Pharaoh’s Ring – ingia katika dunia ya kutisha ya Misri ya kale.

Maelezo ya sloti za video yanaweza kupatikana hapa.

One Reply to “Pharaoh’s Ring – kitabu cha kale chenye ushindi wa juu sana!”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *