Hot Hot Fruit – matunda matamu sana yanayokupa jakpoti!

1
1456
Hot Hot Fruit - matunda matamu sana yanayokupa jakpoti!

Hot Hot Fruit ni gemu ya sloti ikiwa na safu tano na mistari 15 ya malipo. Mzalishaji wa gemu hii ni kampuni ya Habanero. Dhamira ya gemu hii ni miti ya matunda yenye rangi kubwa sana na inayong’ara, ikiwa na sauti bomba kabisa. Gemu hii ni pale ambapo mambo ya zamani yanachukua nafasi ya mambo mapya. Sloti ya Hot Hot Fruit imefanikiwa sana kuunganisha vitu vya kisasa na vile vya kiold school bila ya kupoteza ladha yake ya ubora wa picha na muonekano ambao tumeuzoea, katika kucheza sloti za hawa jamaa wa Habanero.

Endapo unataka kugundua ni kwanini gemu hii ya sloti ni nzuri mno basi jisikie huru kuzungusha na kujiingiza katika uhondo mpya! Ni namna gani unaweza kucheza Hot Hot Fruit? Kuna chaguo la autoplay ambapo utachagua ni mara ngapi ijizungushe yenyewe bila ya kuingiliwa na kitu chochote kile. Ufanyaji kazi wa sloti katika upande wa wild na double wildcard kunachukua nafasi ya alama zote katika gemu. Wakati ambapo wildcard inapatikana basi hatuwezi kutengeneza pesa na inatokea katika safu ya 1, 2, 4 na 5 pekee. Ukiwa na Hot Hot Fruit, unashinda mpaka mara 2,250 zaidi!

Kisehemu cha Lucky 7 na alama ya ubao ni alama ambazo zinalipa sana na zinaweza kutokea juu ya kila moja wapo pale. Kutegemeana na idadi ya alama ambazo zinaungana, Lucky 7 inaweza kulipa mpaka kati ya sarafu 25 na 62,500, wakati kiubao kinaweza kulipa mpaka mara 2,250 zaidi ya dau lililowekwa.

Hot Hot Fruit, Habanero, Bonasi ya Kasino Mtandaoni Hot Hot Fruit, Habanero

Miti ya matunda inayofahamika sana ikiwa katika upya wake kwa sasa! Zungusha na ushinde mpaka mara 2,250 zaidi ya unavyobeti!

Vionjo vya Hot Hot: hivi vinafanya kazi bila ya mpangilio maalum na vinaweza kutokea wakati wa uchezeshaji wowote ule. Kila wildcard, kama vile tikiti maji, plum au chungwa, inaweza kugeuzwa bila ya mpangilio maalum kuwa katika alama mbili mbili na zinahesabiwa mara mbili. Tofauti yake ni kwamba katika hii Lucky 7 inaweza kuzidishwa kwa tatu bila ya mpangilio maalum.

Gemu za bure: kukiwa na jokeri watatu au zaidi, mizunguko sita itazinduliwa katika sehemu ya mzunguko wa bure. Pia, endapo unapata jokeri wa kitufe kimoja cha Hot Hot na jokeri wawili wawili katika moja kati ya mistari miwili basi gemu ya bure inaendeshwa.

Endapo jokeri na jokeri wawili wawili wanaungana na mistari minne au mitano utazawadiwa mizunguko 12 ya bure. Hii sloti ya Hot Hot Fruit ina uhakika (RTP) wa 96.7% ambayo inatosha sana kukufanya ujaribu bahati yako kwa kuipa nafasi! Mwishoni, tunakushauri kwamba uzungushe gemu hii, na, katika mizunguko kadhaa, utagundua kuwa inaweza kuwa ni kitu unachokipenda sana!

Kuona gemu za sloti za video zinginezo ingia hapa.

1 COMMENT

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here