online slots | slots online

81 Joker X Slots | Kivumbi Cha Sloti Mtandaoni

Sloti ya 81 Joker X inawasilisha kwako safari ya sloti inayoshangaza ambapo utataka alama pori(wild card) kwenye nguzo. Kadri unavyozikusanya, maokoto yako yanazidi kuongezeka. Huu ni muda wa kuzikusanya wild card zitakazokupa ushindi mnono.

81 Joker X ni sloti baab’kubwa kutoka kwa mtoa huduma Tom Horn. Si tu kwamba wild card zinaongeza mchanganyiko wako wa ushindi, bali pia zinaonekana na vizidishio ambavyo vitakushangaza. Vile vile kuna bonasi ya kamari kwa njia mbili.

81 Joker X sLOTS | pLAY WINNING SLOTS ONLINE
81 Joker X

Karibu tukufahamishe zaidi kuhusu mchezo huu wa kasino, soma sehemu inayofuata ya makala hii fupi ambayo ina mapitio ya sloti ya 81 Joker X.

Tumeigawa hakiki ya sloti hii katika vipengele kadhaa:

  • Tabia Za Msingi
  • Alama Za Sloti Ya 81 Joker X
  • Michezo Ya Bonasi na Alama maalum
  • Picha Na Sauti

Tabia Za Msingi

81 Joker X ni mchezo wa sloti ambao una nguzo nne zilizopangwa katika mistari mitatu na ina njia 81 za malipo. Ili kufikia ushindi wowote, unahitaji kulinganisha alama tatu au nne katika mfululizo wa ushindi.

Mchanganyiko wote wa ushindi unahesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia nguzo ya kwanza upande wa kushoto.

Ushindi mmoja unalipwa kwa kila mfululizo wa kushinda. Ikiwa una mchanganyiko wa kushinda wa mfululizo, utalipwa mapato ya thamani kubwa.

Jumla ya mapato inawezekana, unapozizunganisha katika mfululizo wa kushinda kadhaa wakati mmoja.

Mapato makubwa yanakusubiri wakati alama moja inaonekana kwenye nguzo pamoja na kadi porini.

Kubonyeza kitufe cha Bet kunaleta menyu ambapo unaweza kuweka thamani ya dau kwa kila mzunguko. Hapo utaona pia uga wa Max ambao wachezaji wa High Roller watapenda. Kwa kubonyeza uga huu, utaweka moja kwa moja dau kubwa zaidi kwa kila mzunguko.

Pia kuna kipengele cha Autoplay ambacho unaweza kuwasha wakati wowote unavyotaka. Kupitia chaguo hili, unaweza kuweka hadi mizunguko 500.

Je, unapenda mchezo kidogo wa haraka? Na tuna suluhisho la hilo. Unaweza kuamsha Turbo au Super Turbo Mode katika vipimo vya mchezo. Pia unaweza kurekebisha kiwango cha sauti za mchezo hapo hapo.

Alama Za Sloti Ya 81 Joker X

Linapokuja suala la alama za sloti hii, alama zinazolipa kidogo zinawakilishwa na alama za kipekee zenye mapambo matatu. Utaziaona katika rangi ya blue, kijani, zambarau, na nyekundu, na ile ya blue ikiwa na thamani ndogo zaidi.

Alama zingine zote zinawakilishwa na almasi, na alama inayolipa kidogo zaidi ni almasi ya blue. Nne za alama hizi kwenye mfululizo wa kushinda zitakuletea mara nne ya dau lako.

Almasi ya kijani inaleta malipo ya juu sana, na nne za alama hizi kwenye mfululizo wa kushinda zitakulipa mara 40 ya dau.

Ikifuatiwa na almasi ya zambarau, inayotoa malipo ya juu sana. Ikiwa utaunganisha alama nne za hizi kwenye mfululizo wa kushinda, utashinda mara 60 ya dau lako.

Alama yenye thamani zaidi katika mchezo huu wa sloti ni almasi nyekundu inayofanana na umbo la moyo. Ikiwa alama nne za hizi zitaonekana kwenye mchanganyiko wa kushinda, utashinda mara 160 ya dau lako.

Michezo Ya Bonasi na Alama Maalum

Joker inawakilishwa na mjusi wa mahakamani. Inabadilisha alama zote za mchezo na kuwasaidia kuunda mchanganyiko wa kushinda.

81 Joker X Slots | Online Slots
Alama Wild Yenye Kizidishio cha X2

Kila wakati wild card inapoonekana kwenye mfululizo wa kushinda, inaleta vizidishio na kuathiri mapato yako kama ifuatavyo:

  • Wild card moja kama kadi mbadala ina kupa mara mbili ya ushindi
  • Wild card mbili porini zitakusababisha mara nne ya ushindi
  • Joker tatu kwenye mfululizo wa kushinda huleta mara nane ya ushindi
Sloti Mtandaoni | Online Slots
Alama Wild Na Kizidishi Cha X4

Kwa msaada wa bonasi ya kamari, unaweza kuongeza ushindi wako. Kulingana na ikiwa unataka mara mbili au mara nne ya ulichoshinda, unahitaji kubashiri rangi au alama ya kadi inayofuata itakayonyeshwa kutoka kwenye bunda la kadi.

81 Joker X Slots | Best Online Slots
Bonasi Ya Kubashiri

Pia unaweza kuchagua kubahatisha nusu ya ushindi huku ukishikilia ushindi wako nusu uliobakia.

Picha Na Sauti

Mpangilio wa Sloti Ya 81 Joker X umewekwa kwenye mandhari ya giza huku alama fulani zakutawanyika zikizunguka pembezoni. Muziki wa kusisimua wenye mrindimo wa jazz unapatikana wakati wote ukijiburudisha.

Alama na muonekano wa sloti hii ni mzuri na wa kustaajabiza.

Cheza Sloti Ya 81 Joker X ushinde mpaka mara 160 ya dau lako!

Post navigation

Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Online Casino Bonuses
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.