Titan Dice – muunganiko mzuri wa kasino zingine na ruleti!

20
1490
Muunganiko sahihi wa kasino zingine na ruleti! Furahia ukiwa na Titan Dice na ushinde mara 35!

Unapenda mambo ya ruleti na yale yanayolingana nayo? Watengeneza gemu waitwao Expanse wamekusanya mambo bora ya kwenye gemu hizi mbili na kukuletea wewe gemu kamilifu sana uifurahie – Titan Dice. Kukisia visehemu ambavyo vimechukuliwa katika ruleti, na dice mbili – nyekundu na nyeusi – vilichukuliwa kutoka kwa zile gemu zingine. Hakuna mjadala zaidi linapokuja suala la gemu zinginezo.

Gemu hii ni nyepesi sana na inaburudisha mno. Gemu hii inafanyaje kazi haswa? Unachotakiwa kukifanya ni kuzungusha dice mbili na kukisia jumla ya namba ambazo zitaangukia katika dice zote. Ukiwa na hii Titan Dice unashinda mpaka mara 35 zaidi! Unaweza kubetia katika jumla ya dice hizo mbili. Hivyo, wewe unaweza kuweka mkeka wako kwenye jumla yoyote ya dice kutoka 2 mpaka 12.

Kwa mujibu wa takwimu, kuna nafasi kubwa sana ya kupata jumla ya dice zote kuwa ni saba, hivyo, kwa hakika kabisa, odds zake zinakuwa ni ndogo sana – 5.83. Odds kwenye jumla ya namba sita au nane ni jumla ya 7. Endapo ukiibetia jumla ya dice mbili kuwa ni tano au tisa unapata odds 8.75. Odds kwenye jumla ya namba nne au 10 ni 11.67, jumla ya namba tatu ama 11 inakupatia wewe odds ya 17.50.

Odds kubwa zaidi zitawekwa kwako kwa miunganiko ambayo ni, kwa mujibu wa takwimu, angalau 2 au 12. Lakini inahamaisha sana kuijaribu na inastahili kuijaribu, odds zake ni kubwa – 35! Pia, unaweza kubetia katika jumla yake kuwa ni zaidi ya au pungufu ya 7, odds zake kwenye mikeka yote ni sawa = 2.33.

Titan Dice
Titan Dice

Mkeka mwingine maalum wa hii Titan Dice ambayo ni, kwa sheria zake, sawa na ruleti ambayo unaweza kubetia tofauti kati ya namba mbili na nne. Odds zake ni tofauti. Endapo unapenda mikeka salama zaidi, unaweza kutaka kujaribu aina hii ya mikeka. Kwa kuongezea katika aina hizi za mikeka ni kuwa kuna aina fulani ya mkeka maalum unaoweza kubetia katika namba ambayo kila dice moja itahusika nayo – nyekundu ama nyeusi!

Odds za moja moja kwa kila namba ni sawa kabisa, 5.83. kwa hakika, hapa unaweza ukabeta tofauti ya namba mbili na ya namba nne. Unaweza kurekebisha dau kutoka dinari 10 mpaka 2,000 ulizonazo. Pia, unaweza kuwa na visehemu ambavyo vimewekewa alama za x2 ambazo zinafanya kazi ya kurudia mikeka iliyopo. Ni muhimu kukumbuka kwamba unaweza kusetia kwenye namba moja ama zaidi kwa wakati mmoja.

Upande wa nyuma, unaweza ukasikia sauti za dice ikizunguka wakati unacheza kwenye mchezo wako. Uhakika (RTP) wa gemu hii unatofautiana kutoka  97% na 97.33%. mashabiki wa ruleti na gemu zingine, hii ni maalum kwenu. Zungusha dice, furahia na ukisie muunganiko sahihi!

Unaweza kuona maelezo ya gemu za mezani hapa.

20 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here