Super Hot 7’s – fanya ushindi wako uwe ni mara mbili mbili na uburudike!

20
1208
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/green-tube-casino/3134

Chaguo la alama ni saladi ya matunda ikiwemo tikiti maji, grapes, machungwa, malimao na cherries, ambazo zinakuwa kama muunganiko mzuri! Tunapoongeza nyota na wiki ya ajabu kwake, tunapata Super Hot 7’s inayotoka kwa Greentube! Sloti hii ya video ina milolongo mitano katika safu tatu na mistari mitano ya malipo. Katika bahari ya sloti kubwa hii ni sababu ya kwanini wewe uchague sloti hii bomba.

Super Hot 7’s . Greentube, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Super Hot Seven, Greentube
Super Hot Seven’s, Greentube

Angalia hapa kujua kila kitu kuihusu

Na wakati huu tunakupatia burudani kubwa na mapato ya juu sana. Kwa mara ya kwanza unapoiangalia – gemu ya sloti ambayo ni bomba lakini pia kuna ongezeko maalum katika muundo wa mizunguko ya bure. Ndiyo, umesoma kwa usahihi. Ofa kama hii haiwezi kukataliwa, au siyo? Unachohitaji kukifanya ili kupata mizunguko ya bure na uwezekano wa kushinda mara mbili mbili ni nini?

Malengo ya gemu hii ni kupata aina tano za alama zinazofanana katika moja kati ya mistari mitano ya kushinda, ambayo inazunguka kushoto na kulia. Nyota ni alama ya scatter katika gemu hii, na nyota tatu zikiwa popote pale zinawasha idadi kubwa iwezekanayo ya mizunguko 14 ya bure na uhondo wa maana!

Super Hot 7’s . Greentube, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Super Hot 7. Greentube
Super Hot 7’s. Greentube

Pia hii Super Hot 7’s ina chaguo la kubashiri!

Unachotakiwa kufanya ili kushinda mara mbili mbili ni kukisia rangi gani ambazo zitafuatia katika karata inayotoka katika kikasha, nyeusi au nyekundu! Ongeza ushindi wako mara mbili mbili kwa kupitia hii Super Hot 7’s ! Ndani ya gemu za bure, alama ya maajabu ya vitufe 7 kama alama ya wild na inabadilisha alama nyingine. Hii ina maana kwamba ni sehemu ya muunganiko wa ushindi, itafanya ushindi wako uwe ni mara mbili mbili!

Hii siyo mwisho wa kila kitu kwani endapo ukipata nyota mbili katika mzunguko, mlolongo mwingine unazunguka tena, na kwa kupata nyota ya tatu – pia, unakuwa unapata mizunguko ya bure. Gemu hii itakupatia wewe malipo ya juu mno kwa malipo makubwa. Endapo ukimudu kukusanya alama tano 7 katika mstari uliopo utapata malipo ambayo ni mara 40,000 zaidi ya mkeka wake! Inapendeza? Uwezekano mkubwa na nafasi kubwa kwa wapenzi wote wa burudani – ijaribu hii na ufurahie!

Unaweza kuona maelezo ya gemu zingine kutoka katika Sloti Bomba kupitia hapa.

20 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here