Side Bet City – furahia gemu tamu ya poka!

11
1109
Side Bet City, bonasi ya kasino mtandaoni, live poker

Kitu kipya cha gemu ya live poker kimekuja – Side Bet City! Msambazaji wa gemu anaitwa Evolution Gaming ambaye amefanya juhudi kubwa sana kuleta uhondo wa mwanga wa neoni wa Las Vegas karibu yako kwa wale wateja wa gemu hii ya poka. Kaa chini, cheza kwa mikono yako na ufurahie raha yake ya kipekee!

Side Bet City, bonasi ya kasino mtandaoni, poka

Side Bet City
Side Bet City

Ikoje hii Side Bet City? Ni gemu inayoburudisha sana ya poka, rahisi na ya haraka katika kuimudu hivyo wateja wapya wataona kwamba ni nyepesi sana kuizoea na kuitumia. na kwa wale wakongwe wa gemu wataona kuwa hii poka ina raha yake kukiwa na uwezekano wa kushinda sana. Inakuwaje hii Side Bet City katika kuicheza na nini ni lengo la gemu husika?

Gemu hii ni yenye vitu kibao vya poka ambapo kila mteja atashinda anapoicheza. Hivyo, unaweza kubetia katika karata 3 mkononi, karata 5 mkononi au karata 7 mkononi. Mbadala wake ni kuwa unaweza kubetia katika chaguo la “all lose” endapo unaamini kuwa vyote vilivyopo mkononi vitashinda.

Ni sheria zipi za hii Side Bet City? Gemu hii kubwa ya poka inaweza kuchezwa kwa idadi isiyo na kikomo kwa wateja wakati mmoja katika meza moja kwa kucheza dhidi ya meza ya malipo na yule ambaye si dealer.

Inachezwa kwa kikasha cha kawaida chenye karata 52. Ni gemu moja pekee inayochezwa kukiwa na kikasha cha karata zile zinazochanganywa katika kila mzunguko wa mchezo.

Side Bet City, bonasi ya kasino mtandaoni, live poker
Side Bet City, bonasi ya kasino mtandaoni, live poker

Gemu mpya ya live poker

Kushiriki katika gemu unahitaji kuweka mikeka yako katika masoko kadha wa kadha ya kubetia. Maeneo yaliyopo ni karata 3 mkononi, karata 5 mkononi, karata 7 mkononi na kisehemu cha All Loses.

Dealer atahusika na karata 7 kwa ujumla. Karata tatu za kwanza zitaamua matokeo ya kadi tatu za mkononi. Endapo mteja anaweka mkeka wake katika karata 3 mkononi na kushinda ataona ushindi mkubwa kwake kupitia ujumbe! Baadaye yule dealer anachomoa karata, karata 5 za kwanza zitaamua matokeo ya karata 5 mkononi na karata 7 mkononi zitaamua kutegemea na karata 7 mkononi tukizingatia kuwa karata  tano kati ya zile karata saba.

Endapo ukibetia kwenye chaguo la “all lose” na ikatokea karata 3 mkononi hazipo, ama karata 5 mkononi hazipo wala karata 7 mkononi hazipo utakuwa umeshinda mkeka wa “all lose” bila ya kujalisha endapo umebetia katika chaguo lingine wakati uliopita! Furahia gemu kubwa ya poka Side Bet City!

Unaweza kuona maelezo ya gemu zingine hapa.

11 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here