Scepter of Cleo – Malkia wa Misri katika sloti ya video!

15
1382
Cleo

Cleopatra, malkia wa mwisho wa Misri, ni mtu wa muhimu sana katika historia ya kale. Maisha yake yalikuwa yamezingirwa na maajabu sana lakini kubwa zaidi ni mtawala wa muda wake aliohudumu, alikuwa na scepter, ambayo ni alama ya nguvu na cheo chake. Watu wachache sana walijua kuwa scepter ilikuwa inawakilisha utawala wake, na kwa kuipata hiyo scepter pia alitoa ardhi yake ikiwa na utajiri wake wote. Sloti mpya ya video ya Scepter of Cleo inakuja kwetu ikiwa imetoka kwa wazalishaji gemu waitwao Oryx.

Utakuwa na nafasi ya kupata umiliki wa hii scepter na kuondoka ukiwa na hazina za kudumu ya muda mrefu sana kutoka huko Misri ya kale. Sloti hii ya video ina milolongo mitano na mistari tisa ya malipo. Uzuri wa Cleopatra na scepter anayependeza sana unaifanya hii sloti iwe ni ya kupendeza sana. Nyakati fulani mtawala wa Misri alikuwa na nguvu ya kuwazawadia baadhi ya wanaostahili ushindi mkubwa sana, hata hivyo, scepter anaweza kufungua chaguo la mizunguko ya bure mtandaoni.

Scepter of Cleo, mizunguko ya bure mtandaoni inaleta vizidisho!

Ingawa Cleopatra anaweza kukushangaza kwa uzuri wake, kinacholeta raha zaidi moyoni ni mizunguko ya bure mtandaoni. Ili ufungue kitufe hiki unatakiwa kupata alama tatu au zaidi za scatter kwa kila mlolongo. Unapokiwasha kitufe hiki unapata mizunguko kumi na mbili ya bure mtandaoni na kizidisho cha mbili!

Unaweza kuongeza idadi ya mizunguko ya bure mtandaoni kwa namna hiyo hiyo wakati wa kitufe hiki. Hakuna ukomo wa idadi ya mizunguko ya bure ambayo unaweza kuifungua. Wakati wa chaguo la mizunguko ya bure mtandaoni, utapokea alama maalum ambayo inawakilisha jokeri wakati wa kitufe hiki.

Endapo unapata Cleopatra akiwa kama ni alama wakati wa kitufe hiki, itakuwa jambo kubwa sana, itakupatia wewe ushindi mkubwa!

Scepter of Cleo, bonasi ya mizunguko ya bure, kasino ya balkan

Watu wachache sana walijua kuwa scepter ilikuwa inawakilisha utawala wake, na kwa kuipata hiyo scepter pia alitoa ardhi yake ikiwa na utajiri wake wote. Sloti mpya ya video ya Scepter of Cleo inakuja kwetu ikiwa imetoka kwa wazalishaji gemu waitwao Oryx.

Scepter of Cleo

Alama ambayo inalipa zaidi ni ile ya Cleopatra mwenyewe. Kisha inafuatiwa na macho ya Horus, sphinxes na piramidi. Pia, ile scepter yenyewe itakuletea zawadi nzuri sana. Alama ambazo zinalipa kwa kiwango kidogo ni alama bomba za karata, lakini pia zinatofuatiana kutoka moja kwenda nyingine, kutoka kubwa kwenda ndogo.

Tukiongelea muonekano, sloti hii inaonekana kama iligundulika wakati wa wale wagunduzi wa zamani sana walipokuwa wanatafuta pango la Cleopatra! Mambo ya kale sana yanazunguka pale tu kwenye sloti hii ya video. Hata zile alama za karata zimehamishiwa katika sehemu nzuri zaidi ya dhamira hii.

Ingawa picha ni rahisi sana kuzielewa, miunganiko ya ushindi imekuwa ni gemu ndogo kwa muonekano. Kwa mfano, wakati unapotengeneza ushindi mkubwa wa miunganiko ukiwa na scepter, inabadilika kuelekea kwako na kukuuma! Historia haipendezi sana kwa upande wa mada hii kwa idadi kadhaa ya watu, hata hivyo, endapo unawaleta wanawake wazuri katika historia yenyewe, utamu wake unaanzia hapo na kuongezeka.

Kukiwa na uwezo wake wa akili na wa mwili, huyu Cleopatra alinyakua falme yake katika historia. Kukiwa na bila ya ukomo wa mizunguko ya bure, unakuwa na nafasi ya kufikia hazina ya Misri ya kale! Karibu Misri! Kutana na malkia maarufu wa Misri – Cleopatra! Endapo wewe ni shabiki wa gemu za mezani, unaweza kuona maelezo mengine ya gemu hizo hapa.

15 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here