Royal Lotus – pumzika vyema ukiwa na binti mfalme wa Asia

8
1653
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino

Royal Lotus wasambazaji Greentube wakishirikiana na Novomatic ambayo ni sloti kwa ajili yako endapo unatafuta amani, mambo matamu na raha ya ubinadamu. Zunguka katika mlima wenye amani na raha ikiwa inaongozwa na binti mfalme ambaye ni mzuri sana kwenye milolongo mitano, safu tatu na mistari 50 ya malipo. Hii Royal Lotus ni mfano wa sloti ambayo dhamira yake inahusiana na tamaduni ya Asia ikiwa na miinuko iliyopangiliwa katika bustani yenye amani sana ikiwa inazungukwa na mahekalu, milima na vivuli vya dhahabu kutoka juani.

Royal Lotus, Greentube, Novomatic, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Royal Lotus

Endapo unamudu kutoa macho yako katika sloti hii ya maajabu unaweza kuanza kuhusiana nayo ikiwa imetengenezwa vyema sana kwa alama kedekede. Jokeri, mizunguko ya bure ikiwa na jokeri wa ziada, ukijumlisha na nafasi ya kushinda mara mbili katika gemu ya kubashiri ambavyo ni baadhi ya vitu vinavyokungojea wewe katika Royal Lotus. Upanga uliorembwa sana, begi la sarafu, binti wa wafalme, dragoni, barua, boksi la vito na alama za kutosheleza za lotus inaifanya milolongo hii iliyozungukwa na alama za furaha na utajiri.

Usiruhusu binti mfalme asubiri sana lakini rekebisha mikeka yako na uzungushe sloti hii kubwa sana. Ua la lotus ni jokeri katika sloti hii. Ua la pinki ambalo ni zuri sana linabadilisha alama zote katika milolongo ya pili, tatu, nne na tano isipokuwa zile za scatter na kutengeneza muunganiko wa ushindi.

Royal Lotus
Royal Lotus

Gemu za sloti

Kwa tamaduni ya huko Asia ni kuwa dragoni wa dhahabu ni alama ya kitaifa – alama ya furaha na mafanikio. Dragoni wa dhahabu anatokea hapa katika muundo wa scatter. Endapo alama tatu au zaidi za aina hii zinatokea zinaweza kuongeza ushindi mpaka kufikia zaidi ya mara 800! Wakati alama tatu za scatter zikiwa kwenye mlolongo wa kwanza, pili na tatu zinaungana, mizunguko 10 ya bure inashindaniwa. Endapo alama nyingine ya scatter inatokea wakati wa mizunguko ya bure unapata nafasi ya kushinda gemu za bure za ziada.

Mara tu unapoanzisha mizunguko ya bure, jokeri aliyepo katika umbo la ua la lotus inatokea katika mlolongo wa pili, tatu, nne na tano, ambazo zinaongeza nafasi yako ya ushindi. Wakati ukiwa unaanzisha kitufe hiki, dau na idadi ya mistari haliwezi kubadilishwa. Baada ya kila muunganiko wa ushindi, iwe ni katika kufikia wakati wa gemu ya kawaida au gemu za bure, uwezekano wa kitufe cha bonasi unakuwepo – kisehemu cha kubashiri kinafunguka.

Kwa kubonyeza kitufe cha Kubashiri utajaribu kufanya ushindi wako uwe ni mara mbili kwa kuchagua karata nyekundu ama nyeusi. Chaguo lisilo sahihi la kwanza linakuacha wewe ukiwa na eneo maalum. Zunguka na ugundue siri nyingi sana, maajabu na mashindano! Safari kwenda Asia haijawahi kuwa nyepesi na ya haraka kama ilivyo sasa, kazi ni kwako kuamua kuingia katika uhondo huu ukiwa nyumbani kwako. Maelezo ya kifupi ya sloti za mtandaoni yanaweza kuonekana hapa.

8 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here