Roulette Fazi ni dozi kamili kwa burudani isiyokera!

19
2131
https://onlinecasinobonus.co.tz/gemu/

Toleo jipya la gemu maarufu zaidi ya kasino mtandaoni, ruleti, inakuja kwetu! Imetoka kwa watengeneza gemu waitwao Fazi ambapo hii gemu ni mpya, imetengenezwa vyema sana, inaitwa Roulette Fazi! Gemu imetokana na sheria bomba za ruleti. Pia, gemu inakupatia chaguo la kupata bonasi kubwa sana. Tunachoweza kusema kuhusu gemu hii ni kuwa ni moja ya gemu zenye wepesi sana na ni ya kisasa ikiwa na mfumo wa uwekezaji ambao unabadilika badilika.

Roulette Fazi
Roulette Fazi

Wakati tukiwa tunaongea kuhusu mfumo wa uwekezaji, kwa bodi ya kawaida ambako kuna aina mbili ambazo unaweza kuwekeza pesa zako: kuwekeza katika sekta ya namba na kuwekeza katika sekta ya upili. Unaweza kukisia namba kamilifu, robo, nusu, ya sita, ya tatu na ile ya kawaida kabisa. Ile Tuce inatuletea uwekezaji katika sekta tatu tofauti, ya kwanza inahusisha namba zote kutoka moja hadi kumi na mbili, ya pili kwa namba 13 hadi 24, na ya tatu kwa namba zote kutoka 25 mpaka 36. Pia, unaweza kucheza namba zote kutoka moja hadi 18, na vile vile kwenye zile zingine, nusu ya juu kutoka 19 hadi 36.

Kwa hakika kabisa, unaweza kuwa na mkeka bomba katika rangi, hivyo unaweza kukisia kama namba inayofuatia kutolewa itakuwa ni nyeusi ama nyekundu, na vile vile kama namba inayofuatia itakuwa ni shufwa ama witiri. Endapo ukibonyeza kitufe cha “race bet”, bodi ya uwekezaji inabadilisha umbo lake na kubadilisha hali kutoka kwa ile mionekano ya kawaida hadi katika mionekano ya mzunguko. Mionekano ya mzunguko itakuonesha wewe namba ambazo zimepangwa katika njia sawa sawa na ile ya kawaida kama ya kwenye gurudumu lenyewe la ruleti.

Hapa utakuwa na uwezo wa kucheza “series” na “special roles”. Nini kinamilikiwa na hizo series?

  • Sifuri: kuwekeza katika namba ni namba sifuri ya jirani.
  • Orphanel: Huu ni uwekezaji katika namba moja kamili, vile vile nusu kati ya sita na tisa, 14 na 17, 17 na 20, 31 na 34. Series 5/8: Betia kwenye namba zote kwenye gurudumu la ruleti kutoka 27 hadi 33. Nyoka mwekundu inawakilisha mkeka wa kwenye namba nyekundu 12 ambazo zinatengeneza umbo la nyoka.

Mipangilio maalum inajumuisha:

  • Crown: Hapa unabetia kwenye namba zilizochaguliwa, na sehemu zote zinakuwa katika mazingira yake.
  • Neighbors: Hapa unaweza kubetia katika eneo kwenye namba zilizochaguliwa katika namba zilizopo mkabala nazo.
  • Finals: Mkeka kwenye namba zilizochaguliwa vile vile mkeka kwenye namba zote kwenye meza ya ruleti inayoishia katika tarakimu ile ile kama ni namba iliyochaguliwa.
  • Black Splits: Dau kwa zile splits saba nyeusi: 8/11, 10/11, 10/13, 17/20, 26/29, 28/29, 28/31
  • Red Splits: Dau kwa zile splits nne nyekundu: 9/12, 16/19, 18/21, 27/30

Roulette

Fazi inakupatia aina mbili ya jakpoti za muendelezo! Upekee wa hii ruleti ni kwamba inakupatia aina mbili za muendelezo wa jakpoti. Kutoka kioo cha kushoto, unaweza kuona namba zinabadilika mara kwa mara, wakati namba za kwenye hiyo nyingine zinakuwa zinakua. Ndogo ni ile platinum, na kubwa ni ile ambayo ni diamond! Kuna sababu zaidi ya mbili za kujaribu gemu hii. Chagua namba yako, zungusha ruleti na uache bahati ifanye kazi!

Maelezo ya gemu za ruleti yanapatikana hapa.

19 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here