Rome: Caesar’s Glory – wapige mbweha kwa Caesar!

4
1113
Rome: Caesar's Glory

Rome: Caesar’s Glory ni sloti ya akina Playson na ina milolongo sita ikiwa na mistari 64 ya malipo. Gemu hii imelengwa kwa enzi za Roma ya zamani sana na kutaka kufahamu moja ya watawala wakubwa wa huko Rome. Unacheza gemu hii kwa kuweka mikeka yako kwanza. Wakati unabonyeza sehemu ya Bet, utakutana na orodha ya vitu ambavyo vinaweza kutokea ambapo unajichagulia wewe mwenyewe.

Tumia kitufe cha juu na chini kuongeza ama kupunguza dau lako. Endapo unataka uharaka zaidi wa kuweka dau kubwa la mwisho basi bonyeza sehemu ya max bet. Spin ipo pale ili kuanzisha milolongo baada ya mikeka kuwa imechaguliwa. Kitufe cha A kinajizungusha chenyewe kwa mara nyingi kadri unavyochagua.

Rome: Caesar’s Glory, Playson, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Rome: Caesar’s Glory
Rome: Caesar’s Glory, Playson

Ufanyaji kazi wa sloti: Caesar ni alama ya wild ambayo inachagiza ushindi kwake yenyewe, na inabadilisha alama zote isipokuwa ile ya scatter. Tai ni scatter ambaye anakimbia kwenye mzunguko wa bonasi na kutoa gemu za bure. Scatter anaweza kutokea kwenye milolongo miwili na sita wakati wa gemu ya kawaida na kwenye mlolongo mmoja na mitano wakati wa gemu za bure. Rome: Caesar’s Glory na Expanding Wild!

Rome: Caesar's Glory
Rome: Caesar’s Glory

Rome: Caesar’s Glory, Playson, Bonasi ya Kasino Mtandaoni Rome: Caesar’s Glory, Playson

Gemu za bure: wakati gemu za bure zikiwa zinazinduliwa utapokea mizunguko 8, 12 au 16 ya bure, kutegemeana na idadi ya scatters. Scatters tatu zinakupa mizunguko nane ya bure, nne zinakupa mizunguko 12 ya bure na tano zinakupa mizunguko 16 ya bure! Wakati wa mizunguko ya bure, alama ya jokeri ya Expanding Wild inaweza kutokea.

Kila mlolongo unajazwa kikamilifu na jokeri wakati wa gemu ya kawaida na bonasi ya mzunguko itaongeza kisehemu cha kuendeleza kwa alama moja na kisehemu cha kuendeleza kipo chini ya mlolongo mmoja hadi mitatu. Kisehemu cha kuendeleza ambacho kimekamilishwa kitazindua mizunguko ya bonasi ya bure.

Mteja atapata mizunguko 8.12 au 16 na endapo kunakuwa na muendelezo wakati wa mzunguko wa bonasi ukiwa umewashwa, bonasi itaanza mara baada ya kuisha kwa mzunguko unaokuwepo mwanzo.

Uhakika (RTP) wa gemu hii ni 96.23% na unaifanya gemu hii kuwa ni ya kupendeza sana wakati wa kuicheza.

Unaweza kutazama hapa kuona maelezo ya sloti za video.

4 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here