Nuwa ni sloti ya video ambayo itakuingiza wewe katika mambo ya kusadikika ya Kichina kukiwa na msaada wa Nuwa, mungu wa kike wa asili. Nyuma ya kioo cha sloti hii kuna maji maji yanayoanguka kutoka milimani na miti mizuri aina ya mianzi ambayo inakuwa, yote hii inakupa wewe mazingira mazuri ya huko China na asili yake. Mtoaji wa gemu hii ni Habanero.
Sloti ina milolongo mitano na safu tatu zikiwa na mistari 28 ya malipo. Namna ya kucheza: Weka kwanza dau lako kwa kubonyeza alama za – na + ili kuongeza ama kupunguza dau lako. Endapo unataka kuweka kiwango cha juu kabisa basi bonyeza sehemu ya kitufe cha max bet. Kitufe cha start kinaiwasha gemu na endapo utataka unaweza kuweka kitufe cha auto start ambapo ukifanya hivyo mizunguko itakuja inajiendesha yenyewe.
Nuwa, Habanero, Bonasi ya Kasino ya Mtandaoni, Mother Goddess, Mambo ya kusadikika ya Kichina Nuwa, Habanero
Ufanyaji kazi wa sloti: Nuwa ni jokeri, kwa maana kwamba, alama ya wild inachukua nafasi ya alama zote isipokuwa ile alama ya scatter. Jokeri anatokea kwenye mlolongo wa 1 na wa 3 wakati wa gemu ya kawaida. Endapo jokeri anakuwa ni sehemu ya muunganiko wa ushindi atatanuka na kuchukua nafasi zote za kwenye muinuko kabla ya malipo kupitishwa.
Alama ya scatter ni nyoka wa zambarau ambaye anaweza kutengeneza muunganiko wa ushindi kwa kuwa na scatters tatu au zaidi katika sehemu yoyote ya mlolongo. Ushindi unazidishwa kwa jumla ya dau lako. Scatter inaweza kutokea kwenye gemu kuu pekee.
Ongeza ushindi wako ukiwa na sloti ya Nuwa! Gemu za bure: Scatters tatu au zaidi zitapelekea gemu za bure na utapokea mizunguko nane ya bure. Jokeri atatokea wakati wa gemu lakini kwenye mlolongo mmoja na mitatu. Rangi yoyote ambayo inakuwa ni sehemu ya muunganiko wa ushindi itakusanywa, mipira mitano iliyokusanywa ambayo ina rangi itasababisha bonasi itokee.
Bonasi: Wakati unapopata bonasi, unapata mizunguko mitano ya bure na mizunguko mingine yote inayosalia inabakia kutoka kwenye gemu za bure itachezwa wakati wa bonasi, ambapo ushindi wako unakuwa ni mara mbili na Nuwa anatokea mara mbili.
Nuwa, Habanero, Bonasi ya Kasino Mtandaoni, Mother Goddess, Mambo ya kusadikika ya Kichina Nuwa, Habanero
Gemu hii ina jakpoti yake ya muendelezo ambayo inapatikana katika kioo upande wa juu wa gemu na imefunikwa na kila mzunguko. Nuwa ni sloti yenye uhakika (RTP) mkubwa mpaka kufikia 98%! Hii ni sloti ya malipo makubwa sana na inaweza kuchezwa kwenye kila kifaa.
Unaweza kuona maelezo ya gemu zingine za jakpoti hapa.
Game slot nzur sana hii 👍
. mchezo mtamu Sana
Gemu ya maana piga hela
Duuh!!! Casino Kuna game nzur xana!!!
Kila kukicha mambo mazur
Safi