Medallion Megaways – sloti ambayo inakupa wewe ushindi mkubwa!

21
1339
https://onlinecasinobonus.co.tz/gemu/

Leta losheni yako ya suntan! Tunakupeleka katikati kabisa ya jangwa, ambako tenti la starehe lipo, huko unaweza kujaribu sloti mpya ya Medallion Megaways! Sloti hii mpya inakuja kutoka kwa watengeneza gemu waitwao Microgaming. Sloti hii ya video ina milolongo sita na mistari kuanzia 64 hadi 46,656 ya malipo. Tunaongelea kionjo kimoja moja cha ziada, zote hizo zinakuwa ni zenye nguvu kutoka kwa medali ambayo inatokea katika mlolongo wowote. Tunazo wildcards ambazo zinasambazwa kwenye milolongo, kuzungusha tena, mizunguko bomba ya bure iliyopo mtandaoni na kitufe cha kito.

Medallion Megawazs, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Medallion Megaways
Medallion Megaways

Chungulia katika tenti iliyojaa mawe yanayovutia sana, utategemea kuona uwepo wa mwanamfalme wa Uarabuni au angalau yule aitwaye grand vizier, lakini hiyo haiwezi kutokea, mawe yavutiayo yatakuwa yanatuzawadia malipo. Pete ya nyoka ikiwa na kito ni muhimu zaidi, kisha kuna rubi ikiwa na nyota, dhahabu ikiwa na mwezi juu yake na ile ya emerald ikiwa na pembetatu. Kuna aina tatu za mawe ya thamani katika rangi tofauti ambayo yanafanya kazi kama alama za thamani ya wastani na kuna mawe yenye giza ambayo yanalipa kwa kiwango kidogo.

Ile medali ni scatter na zinaweza kuwasha vitufe vya ziada vya gemu hii. Pia, kuna jokeri ambaye anachukua nafasi ya alama zote za kawaida. Sloti hii ya video inalipa kutoka kushoto kwenda kulia, kuanzia mlolongo wa upande ulio mbali kushoto, kukiwa na alama tatu zenye muunganiko mdogo wa malipo. Alama za ushindi zitakuwa zimeondolewa, zinatengeneza nafasi ya alama mpya, na bila shaka zinatengeneza miunganiko mipya ya ushindi.

Kila mlolongo wa ushindi unaofuatana unaongeza vizidisho kwa alama moja na zinaweza kupangiliwa tena wakati wowote kunapokuwa na muingiliano wa mfululizo wa ushindi.

Washa kitufe cha kito! Medali inaweza kutokea kwenye mzunguko wowote na kuwasha kitufe cha mawe yenye kupendeza sana! Wakati sehemu ya mbele ya medali inapokuwa imetokea, jiwe la thamani moja ama mawili yatawashwa. Wakati upande wa nyuma wa medali unapokuwa umetokea inamaanisha kwamba haitowashwa. Endapo kule kutanuka kwa kitufe cha wildcard kunawashwa, zile wildcards ambazo zinatokea katika milolongo zitachukua nafasi ya milolongo ambako zinatokea.

Pia, itachukua vizidisho mara mbili hadi mara sita. Endapo mzunguko mwingine wa vito vya thamani vinawasha wale wateja watafaidika kwenye alama zilizowekewa neno “void”. Alama ya “void” inaweza kutokea kwenye milolongo na kuondoa alama mbili hadi kumi za eneo linalohamishika, nyingine zaidi ya jokeri, na kusababisha mlolongo uangukie tena kwenye upande wa kulala.

Pia, kuna kitufe cha mizunguko ya bure mtandaoni ambacho kinawasha wakati ule medali inapowasha kito cha “free spin“. Wakati wa chaguo hili, zile wildcards ambazo zinasambaa katika milolongo zitawashwa, na vile vile kitufe cha “void“. Kizidisho cha ushindi hakitosetiwa upya baada ya mfululizo wa ushindi kukamilika. Kuna mzunguko mwingine ambao ni mtupu.

Medallion Megaways, bonasi ya kasino mtandaoni

Medallion Megaways

Cheza Medallion Megaways na ushinde mara 23,360 zaidi! Malipo ya juu yanayowezekana kulipwa ni mazuri sana, mara 23,360 ya dau lako! Sloti hii ya video ni moja ya zile ambazo unaweza kutegemea malipo makubwa sana! Kitufe cha mizunguko ya bure mtandaoni kwamba unakuwa unategemea malipo makubwa ya ushindi unaokuwa ndani yake, kwa sabbau vitufe vingine vyote vya bonasi vinawashwa wakati huu, na kizidisho hakisetiwi upya wakati wake!

Uhakika (RTP) wa sloti hii ya video ni mzuri sana ambao ni 96.2%. Shinda mpaka 23.360, bonasi ya kasino mtandaoni.

https://onlinecasinobonus.co.tz/gemu/

Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Ijaribu gemu hii na uingie katika jangwa la uhondo mkubwa! Hisi utamu wa vitu vizuri ukiwa na Medallion Megaways! Ukiingia hapa unaweza kuona maelezo ya gemu zingine za sloti mtandaoni.

21 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here