Lightning Roulette – yahisi mapigo ya radi kwa ushindi mkubwa!

32
1416
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/evolution-new/roulette/LightningTable01

Lightning Roulette inapendeza sana ikiwa ni toleo mpya kutoka kwa Evolution Gaming! Gemu hii kubwa ya ruleti ambayo ni ya hewani ikiwa imechagizwa na malipo na muonekano mzuri sana wa radi yenye msisimko mkubwa wa wateja kwa kiwango kikubwa, yote yamepangiliwa katika mazingira ya dhahabu na rangi nyeusi iliyo bomba kabisa.

Lightning Roulette, Evolution, Bonasi za Kasino Mtandaoni

Evolution
Evolution

Lightning Roulette inaunganisha ruleti ya hewani na nyongeza ya kitufe cha “RNG Lucky Number” ambayo inalipa sana katika mizunguko yote ya gemu.

Katika gemu hii wateja wanabetia katika mikeka kadha wa kadha ya ruleti, na vile vile kunakuwa na ruleti ya kawaida ya hewani. Hata hivyo, unapata nafasi za ziada hapa ili kushinda kupitia namba ambazo zipo katika mpangilio usio maalum na malipo ya bahati yakiwa na vizidisho. Aina hizi za ruleti zinahusisha namba za bahati moja hadi tano ambazo hazipo kaitka mpangilio maalum ambao unakupa wewe malipo kuanzia 50: 1 hadi 500: 1 kwa mikeka!

Mwanzoni mwa kila mzunguko kunakuwa na namba za bahati zinazoleta nafasi mpya ili kuboresha ushindi. Mada hii mpya inaletwa kwa muunganiko wa kidigitali wa RNG ukiwa na gurudumu la hewani la ruleti, mfumo ambao Evolution unakuwa wa kimapinduzi kwa hakika.

Lightning Roulette ikiwa na sauti zilizoboreshwa sana na mwanga wa maana, vile vile kuna radi ambazo ni za kipekee na zinahamasisha kuzijaribu.

Pia, inatakiwa kutaja kwamba Lightning Roulette inashinda zawadi katika Global Gaming Awards kule Las Vegas kwa kuwa na zao za kibunifu sana kwa mwaka. Furahia gemu bora inayopendwa, chagua namba zako za bahati, furahia na ushinde radi!

Unaweza kuona maelezo ya gemu zingine za kipengele cha Live Casino kupitia hapa.

32 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here