Hood vs Wolf – Red Riding Hood na mbweha mwovu wanapigana!

2
1301
https://onlinecasinobonus.co.tz/gemu/

Habari njema zinawasubiri mashabiki wa hadithi za kale na gemu nzuri. PG Soft wamekuja na kitu kipya sana ambacho kimekamilika mno – hadithi za kale, gemu ya sloti na burudani ya kiwango cha juu kabisa! Haya yote kwa pamoja yanaleta utamu usio na kikomo na kufurahia muda wako. Mapigano kati ya Little Red Riding Hood na mbweha mbaya! Hadithi ya Little Red Riding Hood imekuwa ikisemwa kwa nyakati nyingi sana mpaka sasa lakini bado haujaiona ikiwa katika sloti mpya: Hood vs Wolf – the Wild Hunt.

Hood vs Wolf the Wild Hunt, Jakpoti, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Hood vs Wolf the Wild Hunt
Hood vs Wolf the Wild Hunt

Hood vs Wolf ina milolongo mitano na mistari 30 ya malipo ambayo haibadilishiki.

Ni pale tu unapoanza kuzungusha ndipo utakapogundua kuwa kuna vitufe vingine visivyo vya kawaida ambavyo havionekani nyakati zote. Bonasi ya muendelezo, vibao vyenye nguvu sana, karatasi maarufu ya gemu, jiwe, mkasi, mizunguko ya bure ikiwa na vitufe maalum. Sloti hii ya video haifanani na zile sloti za kawaida ambazo zinatokana na hadithi za kale za watoto. Picha na muonekano wake una rangi za kuvutia sana, zikiwa zimechorwa katika mtindo maarufu sana wa manga wa kule nchini Japan, sloti hii inakuwa ni kama katuni ya Kijapani inayofanya kazi kuliko ile mashine ya sloti.

Juu ya sloti utaona kuna filamu iliyotengenezwa vyema ikiwa inaonesha mbweha na Little Red Riding Hood. Mbweha analia kwa hasira na Little Red Riding Hood anahitaji msaada. Jakpoti inakupatia wewe mara 15,000 zaidi! Alama kumi na sita zinaweza kutokea kwenye kioo lakini ni kumi na moja pekee ambazo zinakuwa ni alama za malipo. Alama nzuri zaidi ni ile ya jokeri ambaye analipa mara kumi hadi mara mia tano zaidi ya dau unaloweka. Inabadilisha kila alama isipokuwa ile ya scatter.

Endapo sehemu zote za kioo zinazibwa utashinda jakpoti ambayo inaweza kukuletea ushindi mara 15,000 zaidi ya dau lako!!! Alama nyingine za picha zinazolipa kwa kiasi kidogo, mara 10 hadi 150 ya mkeka wako. Wakati alama za karata zinalipa pungufu ya mara 3 hadi 30 ya kiasi cha pesa ambacho unakiweka. Unapokuwa unazungusha utaona pia kuna alama nyingi sana zinazotengeneza karatasi, jiwe na mkasi. Wakati alama mbili zozote kati ya hizi zinatokea, alama inayoshinda gemu itakulipa zawadi zinazoendana nayo. Alama hizi maarufu zinatokea pale katika mlolongo wa pili na wa nne pekee.

Hood vs Wolf – vita ya nje ya wabaya na wema! Katika gemu hii utaona mbweha na Little Red Riding Hood wakisukumana katika kioo cha pale juu wakati kipimo kinapungua na kuongezeka kwa nguvu. Kipimo kina vibao kumi na nane ambavyo vinaweza kujazwa pale unapokusanya alama zenye nguvu ya mbweha au ile nyekundu.

Hizi ndizo alama za scatter za gemu hii. Alama ambazo zinakupatia vibao kumi na nane vitaanzisha uwepo wa gemu za mizunguko ya bure mtandaoni. Gemu zote za mizunguko ya bure zinachezwa kwa mtindo mmoja lakini kukiwa na uhusika tofauti. Endapo alama ya Red Riding Hood inashinda basi utacheza kwa mara nyingine wakati gemu hizi tatu za karatasi, jiwe na mkasi kukiwa na mbweha zinakungoja. Kwa kila mzunguko ambao Little Red Riding Hood anashinda wewe utapokea mizunguko mitano ya bure mtandaoni.

Wakati wa kila mzunguko wa bure mtandaoni unapokuwa umewashwa ile Little Red Riding Hood itaweka alama ya sehemu tano tafauti ambazo hazina mpangilio maalum katika kioo. Endapo alama ya mbweha inaangukia katika sehemu yoyote ya hizo zinazokuwepo itapelekea iwe ni alama ya wild. Gemu ya bonasi ya mbweha inachezwa kama vile ambavyo ipo ile nyingine, ni kwamba tu unapata moja ambayo imewekwa alama ya sehemu ya kuanzia kwenye kila mzunguko badala ya tano.

Kwa kifupi ni kuwa hii Hood vs Wolf ni sloti inayopendeza sana ambayo itavutia sana wachezaji wanaotazamia kupata burudani na zawadi! Jakpoti nzuri kabisa inakulipa wewe mara 15,000 zaidi ya dau lako ambalo linakusubiri wewe hivyo usikae kizembe, zungusha sasa!!! Mpige mbweha wa kishetani na ushinde zawadi kubwa!

Unaweza kusoma maelezo ya gemu zingine za sloti za video hapa.

2 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here