Football Studio – gemu ya hewani kwa wapenzi wa michezo!

27
1487
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/evolution-new/topcard/TopCard000000001

Kuna idadi kubwa sana ya gemu za kasino ambazo ni maarufu sana na dhamira zake hazimuachi mtu nyuma. Hiki ni kitu hasa ambacho kipo kwa gemu kubwa ya Football Studio! Muunganiko wa ubora wa yaliyomo unaifanya gemu hii kuwa ni ya kipekee na yenye hamasa kubwa sana kimchezo na kuleta burudani ya aina yake.

Tunakuletea muunganiko wa gemu ya karata yenye spidi ya juu na kuangalia mechi ambazo zipo hewani moja kwa moja – Football Studio! Fuata mechi ya mpira wa miguu moja kwa moja na maoni yake, shangilia magoli, chati na furahia ubora uliopo pale katika uhondo wa kidunia wa kubetia ukiwa na gemu kutoka kwa ofa za Evolution’s Top Card!

Nini lengo la gemu hii?

Wateja wanabetia karata mbili kukiwa na karata ya juu na ushindi au kukiwa na sare. Weka mazingira safi ya mpira wa miguu, wateja washiriki katika maoni ya mechi na katika kushangilia magoli pale yanapofungwa.

Football Studio, Evolution, Live Dealer, Live Casino, Bonais za Kasino Mtandaoni

Football Studio, Evolution
Football Studio, Evolution

Kisia karata sahihi na uzindue hamu za mwanga ambazo zinakuwepo pale bila ya ukomo katika Football Studio! Nini sheria za gemu hii? Karata mbili pekee zinahusika katika ubao uliopo katika mtindo wa uwanja wa mpira wa miguu katika gemu halisi za ratiba ya mpira wa miguu.

Wateja wanabetia upande ambao ni: Nyumbani au Ugenini utakaoshinda au watakuwa na thamani sawa – Sare! Karata zinahusika kutoka katika kikasha chenye karata nane, jokeri hahusiki hapo. Mara tu mikeka inapowekwa, yule dealer atatoa karata moja ikiwa na muonekano wkae wa juu kwa timu ya Wenyeji na nyingine moja kwa timu ya Wageni. Karata yenye ushindi mkubwa itashinda pesa zenye malipo ya 1: 1.

Thamani ya karata katika kiwango cha chini zaidi kwenda kiwango cha juu zaidi kinakuwa kama ifuatavyo: 2 ina thamani ndogo, ikifuatiwa kwa 3, na kuendelea wakati As (A) ikiwa na thamani ya juu. Endapo pande hizo mbili zinagawanyika na kuwa na thamani sawa, nusu ya wateja watakuwa na dau la Nyumbani ama Ugenini, na endapo mteja anaweka Sare, malipo yanakuwa katika mfumo wa 11: 1! Kushinda katika upande mmoja kunachagiza mwangaza unaotokea, inaipatia gemu uhondo wa ziada.

Cheza gemu nzuri zaidi ya karata iitwayo Foodball Studio na ufurahie! Chagua ramani yako, toa maoni, furahia sana na burudika kwa gemu hii ya Football Studio! Unaweza kuona gemu zingine za kipengele cha Live Casino kupitia hapa.

27 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here