Fat Panda – Sloti Yenye Bonasi Za Maajabu

0
872
Fat Panda Slots

Tutambulishe mchezo mwingine wa kasino ambao una mandhari ya kuvutia. Safari hii, wanyama aina ya Panda wanachukua jukumu kuu la kuwaburudisha katika ulimwengu wa bonasi za kasino za kipekee.

Fat Panda ni mchezo wa sloti ulioundwa na wataalamu wa kutengeneza michezo ya sloti mtandaoni-Pragmatic Play. Mchezo huu unatoa mizunguko ya bure, alama zenye uwezo wa kukupa ushindi mara kwa mara. Unaweza ukajishindia mizunguko ya bure kupitia promosheni na ofa za kasino mtandaoni au kwa kununua.

Fat Panda Slot Games

Kama ungependa kujifunza zaidi kuhusu mchezo huu wa Fat Panda na bonasi zake, tunapendekeza kusoma muongozo ufuatao unaohusu Sloti za Fat Panda. Tumeugawa muongozo huu katika sehemu kuu 4 zifuatazo:

 • Maelezo Muhimu
 • Alama za ushindi kwenye sloti ya Fat Panda
 • Michezo ya Bonasi
 • Picha na Sauti

Maelezo Muhimu

Fat Panda ni mchezo wa sloti mtandaoni wenye mistari mitano ya wima(coloumns) na mistari mitatu mlalo(rows), mchezo huu wa sloti unahusisha zaidi ya muunganiko 20 inayotoa ushindi. Vile vile Kuna mstari mlalo wa nne(row) wa ziada ambapo alama maalum za ushindi hutokea.

Ili kushinda, unahitaji kuunganisha alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo. Mchanganyiko wowote unaoshinda unahesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia, ukianzia kwenye gurudumu la kwanza kushoto(coloumn 1).

Unaweza kushinda mara moja tu kwa kila mstari wa malipo. Ikiwa una mchanganyiko wa ushindi zaidi ya mmoja kwenye mstari wa malipo, utapokea malipo yenye thamani kubwa.

Unaweza kuongeza nafasi yako ya ushindi kwa kuunganisha ushindi kwenye mistari ya malipo mingi kwa wakati mmoja.

Karibu na kitufe cha Kuzungusha/kucheza, kuna vifungo vya “jumlisha” na “kutoa” vinavyokuwezesha kuongeza au kupunguza thamani ya dau lako kwa kila mzunguko.

Chaguo la Kucheza moja kwa moja linapatikana wakati wowote. Kupitia chaguo hili, linakuwezesha kucheza Mizunguko ya Haraka au Mizunguko ya Turbo. Idadi kubwa ya mizunguko unayoweza kuweka kwa kutumia chaguo hili ni mizunguko 1,000.

Pia wadau wa michezo ya sloti wananaweza kurekebisha kiwango cha sauti katika kona ya chini kushoto.

Alama za ushindi kwenye sloti ya Fat Panda

Linapokuja suala la alama kwenye mchezo huu wa Fat Panda, ushindi wa chini kabisa unatokana na alama zenye thamani kama kwenye karata za kucheza kama vile; 10, J, Q, K, na A. Kati ya hizo, alama A ndiyo yenye thamani zaidi.

Alama inayofuata ni kidani cha dhahabu, ikifuatiwa na alama ya feni.

Alama ya ngoma inatoa malipo ya juu zaidi. Ikitokea umefanikiwa kuunganisha alama tano za aina hii kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara mbili ya dau lako.

Alama ya taa ina thamani kubwa zaidi na inatoa malipo makubwa zaidi. Ikiwa utapata alama tano za aina hii kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 2.5 ya dau lako.

Alama ya kofia ya dhahabu ya kichina ndio alama yenye thamani zaidi miongoni mwa alama za msingi. Ikitokea ukaunganisha alama tano za aina hii kwenye mstari wa malipo, utashinda mara tano ya dau lako.

Alama ya maajabu huwakilishwa na mnyama Panda. Inachukua nafasi ya alama zote isipokuwa alama ya scatter na husaidia kuunda mchanganyiko wa ushindi. Ikitokea ukaunganisha alama tano za aina hii kwenye mstari wa malipo, utashinda mara tano ya dau lako.

Fat Panda Video Slots

Michezo ya Bonasi

Sehemu ifuatayo ya makala hii, tunaelezea alama za bonasi ambazo huonekana kwenye mstari wa nne mlalo wa bonasi:

 • Ishara ya kujumlisha – inaongeza alama ya maajabu moja kwenye mstari wima ambapo itanaonekana.
 • Ishara ya Kuenea – ikiwa alama ya maajabu inaonekana chini yake, inapanuka kufunika nguzo nzima
 • Ishara ya Kijani – inatoa kiongezi cha mara mbili kwa alama ya maajabu kwenye nguzo iliyopo chini yake.Kiongezi kinaweza kuwa kutoka x2 hadi x10.
 • Ishara ya Zambarau – inatoa kiongezi cha mara mbili hadi mara kumi kinachochaguliwa kwa nasibu kwa alama zote za maajabu.
 • Alama ya scatter inawakilishwa na mguu/Mkono wa Panda. Ikatokea ukapata alama tatu au zaidi za aina hii, utaanzisha kipengele cha mizunguko ya bure kulingana na sheria zifuatazo:
 1. Alama tatu zinakupa mizunguko 10 ya bure.
 2. Alama nne zinakupa mizunguko 12 ya bure.
 3. Alama tano zinakupa mizunguko 15 ya bure.

Video slots Fat Panda

Wakati wa mizunguko ya bure, alama zote za scatter zinageuka kuwa kama alama za maajabu na zinabaki kwenye nafasi zao hadi mwisho wa bonasi ya mizunguko ya bure.

slot games

Ishara Inayojitokeza Wakati wa mizunguko ya bure, alama ya “+ Spin” ya ziada inaonekana kwenye safu ya ziada. Inakupa kwa nasibu mizunguko ya bure ya ziada kati ya mawili na 10.

michezo ya sloti

Mizunguko ya Bure ya Ziada inaweza pia kuamsha mizunguko ya bure kwa kutumia chaguo la kununua bonasi. Unaweza kuchagua toleo bila alama pori zenye utaowezeshwa kubaki au kuanza na alama pori zenye utaowezeshwa kubaki tano.

Picha na Sauti

Mazingira ya mchezo wa Fat Panda iko katika bustani nzuri karibu na hekalu. Wakati wa mizunguko ya bure, mchezo huhamia kwenye hekalu.

Muziki mzuri unakuandamana wakati wote wa mchezo. Ubora wa picha za mchezo ni wa hali ya juu.

Unataka kushinda mara 20,000 zaidi? Cheza sloti ya Fat Panda!

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here