Crystal Crush – sloti halisi kwa wapenzi wa vitu vya kupanga!

12
1749
https://onlinecasinobonus.co.tz/gemu/

Habari njema zinawangoja wateja wanaofurahia sloti zisizo za kawaida! Inatoka kwa wasambazaji Playson wanaoleta gemu isiyo ya kawaida ya sloti iitwayo Crystal Crush. Alama za sloti zinachukuliwa nafasi zake na umbo la pembe sita hivyo kunakuwa hakuna milolongo ya kawaida kama ambavyo ipo katika sloti zingine. Kiuhakika kabisa, hii sloti inafanana na gemu ambazo unaweza kuzicheza katika simu yako ya mkononi na inaonekana kufafanana na zile gemu za kupanga vitu.

Miunganiko ya ushindi inafikiwa endapo alama tano au zaidi zinazofanana zinawekwa katika sehemu ya pembeni yake. Wapenzi wa gemu za kupangilia vitu, uhondo unawangojea nyie!

Crystal Crush, bonasi ya kasino mtandaoni

Crystal Crush

Alama ya wild ni ya njano, imewekwa na herufi “W”. Inabadilisha alama zote isipokuwa zile za crystallized symbols (zilizopangiliwa). Kuna alama zingine sita ambazo zinawakilishwa kwa rangi tofauti zikiwa zimechorwa kwake kama vile nyota, karafuu, mwezi. Alama ni za zambarau, bluu, weupe wa kung’ara, kijani, nyekundu, na machungwa. Hii Crystal Crush inakupatia kitufe cha muendelezo cha ngazi 6! Kila alama ya kawaida ina promosheni yake na baada ya kuwa umeijaza, itapokea aina fulani ya bonasi.

Zile alama za crystallized symbols zitajaza kitufe cha muendelezo wa alama za rangi zinazofanana pembeni yake. Ili uvunje zile crystallized symbol, unahitajika kukusanya muunganiko wa ushindi wa alama ambazo ziko pembeni yake, ambazo baadaye zitageuka na kuwa zimetoka katika alama za crushed crystallized hadi alama za kawaida.

https://onlinecasinobonus.co.tz/gemu/

Kila alama tatu za crushed crystallized zitatoa nafasi kwa ngazi mpya ya bonasi. Kuna ngazi sita za bonasi:

  • Ya kwanza: ushindi kwa alama hii unakupatia kizidisho cha mbili
  • Ya pili: alama tatu ya mpangilio usio maalum katika sehemu moja ya rangi zitageuka kuwa wildcards
  • Ya tatu: mapato kwa alama hii yanapatikana kwa kizidisho cha tatu
  • Ya nne: mpaka alama sita zizizo na mpangilio maalum za rangi ya aina moja zinakuwa ni wildcards
  • Ya tano: ushindi kwa alama hii unakuwa na kizidisho cha nne
  • Ya sita: alama za kawaida na za crystal za rangi ya aina moja zitakuwa ni alama za wild

Wakati wa mzunguo wowote wa mtandaoni ambao haushindi, kitufe cha Crystal Crush kinaweza pia kuwashwa bila ya mpangilio maalum ambao unahusika katika kuwasha bonasi katika ngazi nyingine. Alama ya chungwa ni yenye malipo ya juu sana. Inafuatiwa na nyekundu, kijani, weupe wa kung’ara, bluu na zambarau.

Crystal Crush siyo sloti bonba ya kasino lakini alama ambazo zinawekwa katika sehemu ya pembe sita. Gemu imepangiliwa katika ufukwe mzuri sana. Mpangilio wake ni wa kipekee na unavutia sana na unaburudisha. Muziki ni mzuri sana na mwangaza wake unakuwa imara sana na unajishikiza mahususi kabisa katika mzingira ya amani sana.

Endapo unataka kucheza gemu zisizo za kawaida, ambayo ni ya utofauti sana kutoka kwa zile nyingi ambazo zipo miongoni mwa gemu za Crystal Crush ni chaguo sahihi kwako! Kutokana na mpangilio wake wa kipekee na sheria ambazo ni rahisi sana kuzielewa. Weka pamoja muunganiko huu mzuri sana, ushindi mkubwa unakungoja!

Unaweza kuyaona maswali yaulizwayo mara kwa mara  hapa kuhusiana na kasino za mtandaoni na majibu yake hapa.

12 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here