Beauty of Cleopatra – dozi kamilifu kutoka Misri ya zamani!

3
1349
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/green-tube-casino/3535

Siku zote Misri imekuwa ikivuta hisia za watu wengi sana na ni moja ya sehemu yenye maajabu sana hapa duniani. Tembelea utajiri wa Misri ya zamani! Beauty of Cleopatra ina milolongo mitano na mistari kumi ya malipo, na inakuja kwetu ikiwa imetoka kwa watengenezaji gemu waitwao Novomatic. Vidokezo vikubwa vya sloti hii ya video ni: chaguo la kubetia, mziunguko ya bure ya mtandaoni na jakpoti ya muendelezo.

Beauty of Cleopatra, Novomatic, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Beauty of Cleopatra
Beauty of Cleopatra

Hii Beauty of Cleopatra inakupeleka wewe kwenye mapango ya zamani ya Misri yaliyo na vitu vya enzi hizo. Milolongo imerembwa kwa mafarao, vitu vyenye thamani, vile vile kuna alama ya karata kutoka namba tisa hadi herufi A. Kuwa makini na alama mbili kubwa ambazo zinaweza kukupatia wewe ushindi mkubwa! Cleopatra ya kwanza ni kama alama ya wild ya gemu hii. Nguvu yake ni kuwa inachukua nafasi za alama zote katika mlolongo na inaweza kuongeza ushindi wako!

Nyingine ni muundo wa dhahabu na ni alama ya scatter ya gemu hii, inafungua kitufe cha mzunguko wa bonasi. Picha na muundo wa sloti hii ni mzuri sana, na muziki unaoburudisha ukiwa na asili ya utajiri wa enzi za Mashariki ya mbali. Katika mstari wa malipo, unaweza kutegemea kupata malipo ya miunganiko miwili, mitatu, minne au mitano ya alama fulani. Kucheza sloti hii kutawafaa sana mashabiki wa sloti za kati na zile za juu na wale ambao wanafurahia kutengeneza kiasi kikubwa cha pesa.

Unafungua mizunguko ya bure mtandaoni endapo alama tatu au zaidi za scatter zinapotokea katika mlolongo wako. Kisha gurudumu la bahati litatokea ambapo linakupa wewe nafasi ya kuchagua kati ya mizunguko kumi na ishirini ya bure. Mizunguko ya bure mtandaoni haizunguki, kama ilivyo kawaida, lakini inazindua alama zake. Miunganiko yote ya ushindi itakuwa na kizidisho cha mara tano. Beauty of Cleopatra – zidisha ushindi wako mara mbili!

Kwa kuongezea ni kwamba, mizunguko ya bure inaweza kurudiwa wakati wa gemu ya bonasi na endapo alama tatu au zaidi za scatter zinatokea tena katika milolongo yako. Pia, unaweza kuongeza kila ushindi kwa kitufe cha kubetia.

Cha mwisho, sloti hii inakupatia wewe nafasi ya kushinda jakpoti ya muendelezo! Unavyoweka dau lako kubwa ndivyo unavyokuwa na nafasi ya kushinda zaidi, na utakiwasha kitufe cha jakpoti ya muendelezo endapo wildcards tano zinatokea katika milolongo yako.

#Beauty of Cleopatra #farao #piramidi #Kasino ya mtandaoni Meridian

Beauty of Cleopatra, Novomatic
Beauty of Cleopatra, Novomatic

Sloti hii ya video ni bora sana kwa mashabiki wa Novomatic, ambao wanapenda gemu zenye ushindi mkubwa sana! Ingia mtandaoni na utakuwa umefika katika enzi za Misri ya zamani mapema sana! Beauty of Cleopatra – dozi kamili ya Misri ambayo inakupa wewe burudani kubwa. Maelezo ya sloti nyingine za video yanaweza kupatikana hapa.

3 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here