Caishen’s Gold – ifahamu tamaduni ya kale ya Kichina!

5
1373
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/pragmatic-casino/vs243fortune

Sloti ya mtandaoni inayoburudisha sana ikiwa na jina la Caishen’s Gold inakujia ikiwa imetoka huko Mashariki ya Mbali. Gundua utajiri wa tamaduni za Kichina kwa kucheza sloti hii ya video na ushinde jakpoti maalum ambayo itakupa wewe nafasi ya kuongeza mkeka wako mpaka kufikia mara 1,000!

Endapo unapendezwa na tamaduni ya Kichina na asili yao basi tunakushauri sana uicheze sloti hii ya kasino ambayo inakuja ikiwa imetoka kwa jiko la watengeneza gemu wanaoitwa Pragmatic Play. Kupitia safu tatu na kolamu tano tunakuja na mistari 243 ya malipo. Alama ambazo zinatokea katika hii ni: mvulana, msichana, shabiki, gucian – kifaa cha zamani cha kichina, ua aina ya lotus lenye rangi nzuri sana, herufi A, Q, K, J na namba tisa na kumi.

Kuna vionjo vingine ambavyo vinavutia sana ambavyo vitakusaidia wewe kama mteja wa sloti ya mtandaoni na kukufanya ushinde. Inapendeza, muziki mzuri sana utakusaidia uwe makini na usafiri kuelekea kule Mashariki ya Mbali ambako unaweza kupata fursa ya kushinda moja ya jakpoti nne zilizopo!

Caishen's Gold, Pragmatic Play, Sloti ya video ya Caishen’s Gold, Pragmatic Play
Caishen’s Gold, Pragmatic Play, Sloti ya video ya Caishen’s Gold, Pragmatic Play

Jokeri analetwa kwetu na mjomba mzuri – Caishen, na anaweza kuwasha jakpoti ya bonasi isiyo na mpangilio maalum. Caishen – jokeri anatokea katika safu tatu, nne na tano.

Inabadilisha alama zote isipokuwa zile za scatter. Kuwasha bonasi yake, Caishen anatokea na kutupatia bonasi katika mfumo wa sarafu za dhahabu. Kukusanya sarafu tukaja na jakpoti mpya.

Caishen’s Gold na jakpoti zake nne!

Caishen's Gold, Pragmatic Play, Sloti ya Video Caishen’s Gold, Pragmatic Play
Caishen’s Gold, Pragmatic Play, Sloti ya Video Caishen’s Gold, Pragmatic Play

Sloti hii bomba ina jakpoti nne: mini, basic, main na jakpoti kubwa.

Kila jakpoti imekaa katika sehemu isiyobadilishika kabisa. Ile ya Min ni mara 30, Basic ni mara 50, Main ni mara 100 na ile Big ni mara 1,000! Zinapatikana wakati tunavyopata alama tatu za aina moja wakati wa gemu. Unapata mizunguko ya bure wakati ambao alama zinazofanana za aina ya scatter zipatazo tatu, nne au tano zinazounganishwa na unazawadiwa mizunguko kumi ya bure. Uhakika (RTP) wa sloti hii ni 97.08%, ambapo hii ni sababu kubwa yaw ewe kuipa nafasi sloti hii.

Cheza gemu ya video ya Caishen’s Gold kupitia simu yako ya mtindo wa iPhone, iPad, Android au kifaa cha tableti na uzifikie hazina zako katika sloti hii inayopendeza sana mtandaoni. Jaribu!

Maelezo ya gemu za kasino mtandaoni yanaweza kupatikana hapa.

5 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here