Burning Diamonds – zungusha dhahabu za moto!

11
1167
Burning Diamonds

Watengeneza gemu “Kalamba Games” wanakuletea gemu bomba sana! Burning Diamonds ina milolongo mitano katika safu nne na ina jumla ya mistari arobaini ya malipo. Imejaa alama bomba sana kama vile wiki, tunda, na baadhi ya dhahabu za umbo la alama hizo. Gemu hii ina vionjo vingi sana kama vile: mizunguko ya bure, chaguo hilo limeungana na vizidisho, vizidisho vinne vya wild, chaguo la bonasi na vile vile kuna bonasi ya jakpoti ambayo inajumuisha jakpoti nne za ushindi.

Unapenda gemu ambazo ni bomba? Usiikose hii Burning Diamonds!

Burning Diamonds, jakpoti, bonasi ya kasino mtandaoni

Burning Diamonds
Burning Diamonds

Dhahabu yenye rangi ya pinki ni alama ya wild na inaweza kuchukua alama zote isipokuwa ile ya kizidisho cha wild, bonasi, na alama za jakpoti. Alama za kizidisho cha jokeri inawakilishwa na vizidisho vya rangi tofauti pamoja na vizidisho vyake katika alama. Vinaweza kuchukua nafasi ya alama zote isipokuwa zile za bonasi na alama za jakpoti, na wakati ambao zinakuwa ni sehemu ya muunganiko wa ushindi, zinazidisha ushindi kwa kuzidisha thamani ambazo zimechukuliwa nazo.

Kwa kuongezea, alama hizi zina alama bomba sana kama vile: wiki katika rangi mbalimbali, nanasi, tikiti maji, limao, cherry, grapes, plums… Endapo alama tatu za bonasi ambazo ni scatters za gemu hii zinatokea katika milolongo yako basi utafungua kksehemu cha mizunguko ya bure ambayo ipo katika mzunguko. Idadi ya mizunguko ya bure mtandaoni itategemea thamani ya mkeka wako. Kwa kila alama tatu za scatter ambazo zinatokea wakati wa kitufe hiki utazawadiwa mizunguko mitatu ya bure ya ziada.

Gemu ya kawaida inakupatia uwezo wa kucheza hatua nne tofauti:

Hatua ya 1: Jokeri anazidisha x1 na mizunguko 5 ya bure mtandaoni

Hatua ya 2: Jokeri anazidisha x2 na mizunguko 8 ya bure mtandaoni

Hatua ya 3: Jokeri anazidisha x3 na mizunguko 12 ya bure mtandaoni

Hatua ya 4: Jokeri anazidisha x4 na mizunguko 15 ya bure mtandaoni

Endapo ukichagua bonasi ya hyper ile bonasi ya mizunguko ya bure mtandaoni itazawadiwa moja kwa moja kukiwa na jokeri wa kizidisho na idadi ya mizunguko ya bure ni kwa mujibu wa mkeka uliochaguliwa.

Burning Diamonds inakuletea hatua 5 za jakpoti! Kitufe cha bonasi ya jakpoti kina hatua nne za jakpoti: bronze, silva, dhahabu, na platinamu. Alama saba za jakpoti zitakuzawadia jakpoti ya bronze, silva tisa, dhahabu kumi na mbili, na jakpoti kumi na nne au zaidi za platinamu.

Burning Diamonds, bonasi ya kasino mtandaoni, jakpoti

Burning Diamonds
Burning Diamonds

Shinda jakpoti! Gemu hii ina muonekano bomba sana na inafanana sana na zile gemu za kwanza za nafasi inayotokea. Sauti inahimizwa sana na muziki aina ya rock and roll, na siku zote unaweza kusikia muziki nyuma. Pia, ina chaguo la autoplay, ukichoka kuzungusha basi utachagua ijichezeshe yenyewe.

Gemu hii ni moja kati ya gemu zenye faida kubwa, uhakika wake ni mkubwa mpaka kufikia 97.21%! Cheza katika gemu hii ya dhahabu na utengeneze pesa! Kila la heri!

Maelezo mengine ya gemu za kasino mtandaoni yanaweza kuonekana hapa.

11 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here