Break Away – huduma halisi kwa wapenzi wa michezo

17
1359
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/micro-gaming/BreakAway

Shiriki katika gemu ya timu iliyo na kasi zaidi duniani! Angalia sloti ya video ya Microgaming, Break Away ili uone endapo wachezaji wa mpira wa magongo watamshinda golikipa kwa kasi na kurusha golini. Ikiwa na muonekano mzuri sana pamoja na alama zilzopangiliwa vyema mno, sauti za muunganiko wake zinakuchukua wewe hadi kwenye barafu ya duel. Kuwa staa wa mpira wa magongo katika sloti hii ya video yenye milolongo mitano na safu tatu kukiwa na mistari 243 ya malipo, kuna mizunguko ya bure, jokeri na kitufe kinachoburudisha sana cha Smashing Wild.

Kutoka kwenye alama tunapata gari kubwa ambalo linasafisha barafu, uwanja wa mpira wa magongo, viatu vya kutelezea, helmeti, refa, golikipa, na wachezaji katika jezi tofauti. Jokeri anawakilishwa kwa nembo ya sloti hii ambapo inasema Break Away na inatokea katika milolongo 3, 4 na 5 na inaweza kutengeneza mpaka jokeri 40. Jokeri anabadilisha alama zote isipokuwa zile za scatter.

Break Away, Microgaming, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/micro-gaming/BreakAway
Break Away, Microgaming

Kitufe cha Break Away – Smashing Wild

Kuna kitufe cha Smashing Wild ambacho kinatokea wakati wa mirusho mpaka mitano ya mpira wa magongo inatokea katika milolongo. Kisha, kuna mgongano wa wachezaji wawili wa mpira wa magongo katika mlolongo wa pili, tatu au nne, ambako miunganiko ya ushindi inakuwa ni ile ya milolongo ambayo haizunguki, lakini inasimama na tunapata jokeri ambayo haibadilishiki kabisa.

Scatter inayotokea katika muundo wa mrusho, tairi lililotengenezwa kwa raba ya kuchongwa na kuunguzwa moto. Kuunganisha scatters tatu, nne au tano inakupatia wewe mizunguko 15, 20 au 25 ya bure. Wakati wa mizunguko ya bure, unaweza kupata ushindi mfululizo ambao ni mwingine sana kwa kila mzunguko ukiwa na Rolling Reels. Kile kitufe cha Rolling Reels kinasababisha alama zote za ushindi kuwa zinakwama, yaani zinapotea katika sehemu husika na zinatoa nafasi ya kutokea kwa alama mpya.

Alama mpya zinajaza nafasi zilizo wazi na kuendeleza muunganiko wa ushindi. Hiyo Rolling Reels haiwezi kutokea wakati wa Smashing Wild. Endapo una bahati, unaweza kupata kizidisho cha mpaka mara 10x! ushindi wote unalipwa kutokeakushoo kuelekea kulia. Sloti hii itakupendeza sana hasa wewe mteja ambaye unapenda mikeka ya wastani ikiwa na mikeka ya mkononi kutoka dinari 25 hadi 500. Lakini pia kwa wale wote ambao wanapenda sloti zenye dhamira za michezo. Unaweza kutazama maelezo mafupi ya sloti zingine za video kupitia hapa.

17 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here