Apollo God of the Sun – safiri kwenda Ugiriki ya kale!

6
1206
Apollo

Ugiriki ni moja ya mataifa ambayo yana tamaduni zenye utajiri mkubwa na historia ya Ugiriki ni moja kati ya mafanikio makubwa sana ya ujamaa. Mada hii imekuwa ikivuta hisia za wengi sana ambapo ndiyo sababu ya kuwa mada katika gemu inayoburudisha zaidi. Gemu mpya ina dhamira ya Ugiriki ya kale ambayo itawafurahisha wateja wote kwa hakika kabisa.

Hii ni ya kuhusu mambo ya kusadikika ya Apollo, mungu jua! Imetoka kwa studio za watengeneza gemu wanaoitwa Green Tube, tunayo Apollo God of the Sun iliyo na milolongo kumi na mistari 100 ya malipo. Milolongo imegawanywa katika safu mbili, moja ya ulalo na nyingine ya wima. Kuna jokeri ambaye anahamia safu moja kwenda nyingine na mizunguko ya bure ikiwa na jokeri wa ziada.

#Apollo God of the Sun #bonasi ya kasino mtandaoni #ugiriki ya kale #miungu #mizunguko ya bure mtandaoni

Apollo God of the Sun.

Sloti za video kutoka kwa Novomatic huwa ni bomba siku zote, hivyo ilikuwa ni mshangao sana kwetu kugundua kwamba kuna seti mbili za milolongo mitano katika sloti hii. Upande wa kushoto ni wa kawaida, kuna milolongo mitano katika safu nne. Upande wa kulia ni milolongo mitano katika safu kumi na mbili. Zinazunguka kwa kujitegemea sana ili kutengeneza mistari 100 ya malipo.

Hata hivyo, pia zinafanya kazi pamoja katika namna kadha wa kadha. Endapo jokeri akitokea katika seti ya kwanza basi itakuwa ni kopi na itatokea katika mlolongo ule ule katika seti ya pili. Mizunguko ya bure ya mtandaoni ipo na inaweza kuwashwa kwa kuunganisha seti zote hizo, endapo ukipata tatu, nne ama tano ya scatters zilizoungana katika seti zote. Scatters za bonasi zinaweza kutokea katika mlolongo mmoja, mitatu na mitano katika pande zote za kushoto na kulia.

Apollo God of the sun: scatter zaidi zinakupa wewe mizunguko ya bure mtandaoni! Kwa scatters tatu, unapata mizunguko ya bure nane na kizidisho ambacho ni sawa na malipo yako. Kwa scatters nne, unapata mizunguko 12 ya bure na kizidisho cha 2.5 ya malipo yako. Scatters tano au zaidi zitakupa wewe mizunguko 20 ya bure na kizidisho cha 10 cha malipo yako.

#Apollo God of the Sun #mizunguko ya bure mtandaoni #miungu #ugiriki ya kale #bonasi ya kasino mtandaoni

Apollo

Haijalishi idadi ya mizunguko ya bure unayoipata, jokeri yeyote unayempata katika seti ya kwanza atatokea katika mlolongo ule ule katika seti ya pili. Muonekano wa picha unategemea sana dhamira maridhawa iliyopo, pia kuna muziki mzuri sana kwa upande wa nyuma wakati unapozungusha. Kutoka kwenye alama, utakutana na ramani, vifaa vya harps, mishale, madragoni na mabingwa wanaozungusha milolongo yao.

Katika kitu kinachoonekana kuwa ni alama yenye nguvu zaidi kunakuwa na Fire Horse and Apollo ambayo inaweza kuweka pamoja muunganiko wa ushindi na alama hizi zinalipa mno. Muunganiko wa jokeri ni nguzo kuu ya faida kubwa! Tukiongelea suala la kutokuwa ni gemu yenye gharama kubwa, hii Apollo God of the Sun ina gharama ndogo sana na kila mtu anaimudu.

Muunganiko wa jokeri ni kitu cha msingi sana kupelekea ushindi mkubwa hasa katika mzunguko wa bonasi. Endapo miungu wa Ugiriki wanakuwa katika mudi nzuri basi ushindi wa aina yake unakungoja. Wapenzi wa mambo ya kusadikika ya Ugiriki wanatakiwa kwenda kukutana na miungu wa Ugiriki!

Burudani, historia, mambo ya kusadikika na dhamira kuu inaifanya gemu hii kuwa ni ya kipekee sana na kukupa burudani kubwa mno. Apollo God of the Sun – gemu nzuri inayonoga.

Maelezo mengine ya sloti zingine za video yanapatikana hapa.

6 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here