American Roulette – hisi msisimko wa gemu ya kifalme!

24
1504
American Roulette, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Roulette ni moja ya gemu za kizamani na ambayo ni ya kale sana miongoni mwa gemu za kasino. Kuna aina nyingi ya matoleo ya ruleti kama vile: European Roulette, French Roulette, lakini pia kuna ile American Roulette. Wale watengeneza gemu maarufu waitwao Microgaming wanakuletea wewe toleo kubwa la American Roulette Gold Series. Tofauti kubwa katika hii American Roulette ukilinganisha na zingine ni kisehemu kilichowekwa alama ya sifuri mbili (00).

American Roulette inajumuisha gurudumu, mpira na meza, au kibao cha gemu. Mpangilio wa namba katika alama inaifanya gemu hii kuwa ni ngumu kutabirika, kitu hiki kinaongeza hamu kwa wateja wake. Moja kati ya aina kubwa za American Roulette ni programu ambayo ni rahisi kuifanyia kazi. Kionjo kikuu zaidi cha gemu hii ni kwamba hii American Roulette ina sekta mbili za sifuri. Faida ya sekta hii ni kuwa unaweza kuweka Split Bet katika sekta mbili za kijani na hasara yake ni kuwa uwezo wa kushinda unapungua kwa kiasi fulani.

Lengo la gemu ya ruleti inayopendeza ni kukisia namba au kundi la namba ambalo mpira utaangukia pale. Upande wa kona ya kulia kwa juu ya gemu hii ya Microgaming ni kisehemu chenye takwimu ambazo zinakupatia wewe taarifa za wateja kuhusiana na namba ambazo zilitolewa mara ya mwisho.

American Roulette – fikiria kwamba namba yako ya bahati iko vipi na uufuate mpira!

Hii American Roulette inachezwaje?

American Roulette ina namba kutoka 1 hadi 36 na sekta mbili za sifuri, moja ya kisehemu cha kijani kina sifuri moja (0) na kingine kina sifuri mbili (00). Namba kutoka moja hadi thelathini na sita zinabadilishana kwa alama huku zikiwa na mpangilio wa rangi nyekundu na nyeusi. Gemu ni rahisi sana, lakini inaleta burudani kubwa sana.

American Roulette, Bonasi ya Kasino Mtandaoni
American Roulette, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Wakati unaoanza kuicheza hii gemu, mpira unaangukia katika ruleti ambapo gurudumu na mizunguko inaangukia kwa pamoja mpaka pale ambapo kunakuwa na kuangukia katika kisehemu kinachotakiwa. Wateja wanaweza kubetia mikeka yao kuangukia katika sehemu ambazo wamebashiri kuwa mpira utasimamia hapo.

Wateja wanaweza kubetia kwenye Inside Bets au Internal Bets, Outside Bets, au External Bets, lakini pia kwenye Neighbors.

Namba zilizo mkabala.

Katika zile Internal Bets, wateja wanaweza kubetia katika namba ambayo inaitwa mkeka wa “straight up“, katika namba mbili, namba tatu, namba nne au namba tano katika mkeka unaopewa jina la Five Number Line Bet, ambako wateja wanajumuisha sehemu za 0, 00, 1, 2, 3 na pia Line Bet yaani namba sita tofauti.

Wakati katika mipangilio ya External Bets inaweza kuchezwa katika safu, rangi, namba shufwa ama witiri, dazani na kadhalika. Uhakika (RTP) wa gemu ya American Roulette ni 94.74%. haijalishi ni aina gani ya mkeka ambao unaamua kuubetia lakini unapocheza ruleti, raha ya kiwango cha juu sana na burudani kubwa inahakikishiwa kwako.

American Roulette ni gemu maarufu ya kasino ikiwa na machaguo mengi sana ya kubetia ambayo yanamfanya mteja akamatike mazima kwa kiwango kikubwa sana. Ikiwa na toleo lake jipya la American Roulette, Microgaming wanaleta uhondo mkubwa ambao unavutia sana na unawafaa wale wakongwe pamoja na wateja wapya.

Ukiingia hapa unaweza kuona maelezo ya gemu zingine za ruleti.

24 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here