Double Ball Roulette – cheza ruleti kwa mipira miwili

17
1481
Double Ball Roulette
Double Ball Roulette

Tuna gemu maalum kutoka kwa waandaaji waitwao Evolution. Hauwezi kupata gemu kama hii katika kampuni nyinginezo za program. Hii Double Ball Roulette ni gemu ya kwanza ya ruleti katika dunia ikiwa na mipira miwili na kama ambavyo tayari tumeshasema kuwa inakuja kwetu ikiwa imetoka kwa wazalishaji wanaoitwa Evolution. Gemu hii inaweza kukuletea namba mbili za ushindi katika mzunguko mmoja. Inapendeza, au siyo? Lengo la Double Ball Roulette ni kukisia namba, au namba mbili ambazo mipira miwili itasimama kwake.

Gurudumu la bahati linajumuisha namba kuanzia moja hadi thelatini na sita, kukiwa na ongezeko la sehemu ya sifuri. Double Ball Roulette – fanya ushindi wako uwe mara mbili! Wakati muda ambao umeoneshwa katika gemu unakuwa umekwisha, basi ruleti itatoa mipira miwili. Zinaondoka kwenda katika uelekeo mmoja kwa kasi sawa lakini siku zote moja inakuwa nyuma ya mwenzake.

Mipira itasimama katika moja ya sehemu yenye alama yenye namba katika sehemu yake. Mipira yote inaweza kusimama kwa mara moja katika sehemu moja ama katika namba tofauti tofauti katika sehemu mbili. Endapo ikisimama katika sehemu moja yote miwili basi hapo itakupatia ushindi mara mbili! Kwa aina ya majukumu yanayokuwepo pale gemu kuwa inaweza kucheza nafasi katika namna nyingi tofauti.

Mgawanyo wake mkuu uko hivi: nafasi za ndani na nafasi za nje. Kila aina ya kuweka muamala utachukua nafasi ya namba fulani, na aina ya uwekaji muamala una aina fulani ya malipo yaliyopo. Mikeka ya ndani inakuwa imewekwa katika sehemu ya namba, au katika mstari uliopita kati yake. Mikeka ya nje inawekwa katika sehemu zilizo pale chini au katika upande wa kushoto wa meza.

Kwa kuongezea, kwenye aina hii ya mikeka ya msingi, kuna nyingine nyingi, ambapo tutaweka mikeka ya aina moja kuitofautisha na mingine ambayo ni maalum. Chaguo linalopendwa zaidi katika mikeka na inayokupatia nafasi ya kutunza aina toauti moja ama zaidi za mkeka.

Aina hii ya mikeka itakusaidia wewe kuweka mikeka siku zijazo kwa wepesi zaidi. Pia, kuna muonekano maalum ukiwa na namba za ushindi ambazo zitakuonesha wewe namba ambazo zilitoka mara ya mwisho. Kwa kuangalia mipira miwili inayozunguka inakuwa ni maalum kwa hiyo pekee. Pia, katika Double Ball Roulette tuna mikeka kadhaa ambayo ni maalum ambayo huwezi kuiona katika gemu zingine zozote zile. Yote haya kwa pamoja yatakufanya ufurahie sana kuicheza hii ruleti, na kuifanya ikupendeze mara mbili yake. Hivyo, usichelewe, weka mikeka yao na ushinde kitu fulani.

Kila la heri! Maelezo ya kina ya gemu za kasino yanaweza kuonekana hapa.

17 COMMENTS

  1. aisee hii sio ya kukosa maana huwez kosa pesa kwenye double ball roulleti mipira yote ukose aa hii itakua hauna bahat tuu nice slot hv talent growth business meridianbet and favorite costumer meridianbet the best company in Tanzania

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here