Mbele yako kuna shangwe la kipekee litakalo kupa furaha bab’kubwa. Je, umewahi kujaribu cocktail ya strawberry? Ikiwa hujawahi, huu ndio wakati wako kujaribu. Kunywa kiasi na upate faida za kishindo kwenye huu mchezo wa kasino.
Strawberry Cocktail ni sloti ya mtandaoni iliyoandaliwa na wataalamu wa michezo ya slots waitwao Pragmatic Play. Bonasi kubwa zinakungoja katika mchezo huu. Kuna wilds zenye nguvu na mchezo wa bonasi usio wa kawaida uliozingatia slots ndogo za kasino.

Pata kujua zaidi kuhusu sloti ya Strawberry Cocktail, kwa kusoma vipengele vifuatavyo;
- Tabia za msingi
- Alama za Strawberry Cocktail
- Bonasi za kasino
- Grafiki na sauti
Tabia za msingi
Strawberry Cocktail ni slots yenye nguzo tano zilizoandaliwa katika mistari mitatu na ina mistari 10 ya malipo. Ili kupata ushindi wowote ni lazima upate alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo.
Mchanganyiko wowote wa ushindi, isipokuwa ule ushindi unaopatikana kwenye mchezo wa bonasi, huzingatiwa kutoka kushoto kwenda kulia ukiaanza na nguzo ya kwanza kushoto.
Ushindi mmoja hulipwa kwa kila mstari wa malipo. Ikiwa una mchanganyiko wa ushindi zaidi ya mmoja kwenye mstari mmoja wa malipo, utalipwa ushindi wenye thamani kubwa.
Kwenye uwanja wa kubeti kuna vitufe vya kuongeza na kupunguza ambavyo hutumika kuweka thamani ya dau kwa kila mzunguko.
Pia kuna kipengele cha kucheza automatic unaloweza kuamsha unapotaka. Unaweza kuweka hadi mizunguko 1,000 kupitia chaguo hili. Pia unaweza kuamsha michezo ya haraka kupitia kipengele cha Turbo chenye alama ya radi. Aidha unaweza kurekebisha kiwango cha sauti kwenye kona ya kushoto chini ya nguzo.
Alama za Strawberry Cocktail
Linapokuja suala la alama za mchezo huu wa sloti, alama za kadi za kawaida, huleta malipo kidogo: Kopa, Kisu, Jembe na Mboroso. Thamani kubwa miongoni mwao huletwa na alama ya Jembe. Ikiwa unapata alama tano za aina hii kwenye mstari wa malipo utashinda mara x15 ya dau lako.
Alama zilizobakia huwakilishwa na cokctail, malipo ya chini miongoni mwao ni cocktail ya kijani. Ikiwa unapata alama tano za aina hii katika mchanganyiko wa ushindi, utashinda mara x30 ya dau lako.
Cocktail ya njano yenye mwavuli mzuri juu huleta malipo ya juu kiasi. Ikiwa unalinganisha alama tano za aina hii kwenye mstari wa malipo utashinda mara x100 ya dau lako.
Malipo makubwa zaidi huletwa na cocktail ya strawberry yenye limao kwenye glasi. Ikiwa unalinganisha alama tano za aina hii katika mchanganyiko wa ushindi utapata mara x1,000 ya dau lako. Chukua nafasi hii kupata ushindi mkubwa.
Jokeri inawakilishwa na nembo ya wild na inaonekana kwenye nguzo zote. Inachukua nafasi ya alama zote, isipokuwa bonasi, na husaidia kuunda mchanganyiko wa ushindi.

Pia, hii ni moja ya alama yenye thamani kubwa zaidi ya mchezo na hulipa kwa njia ile ile kama alama ya strawberry.
Bonasi za Kasino
Alama ya bonasi ina lebo ya Bonasi ya Strawberry. Wakati alama tatu au zaidi za aina hii zikionekana kwenye nguzo utaamsha mchezo wa bonasi.

Wakati wa mchezo wa bonasi, mini-slot ya 1×3 inaonekana. Karibu nayo kuna bodi yenye nafasi 26 na ina umbo la mraba. Nafasi huonyesha alama na shamba la TOKA.
Kwa kila mzunguko, bar ya mwanga inasimama kwenye alama fulani, na ikiwa inapatikana kwenye mini-slot, malipo ya pesa yanakungoja.
Kwa kulinganisha alama nyingi kwenye mini slot na alama iliyochaguliwa kwenye gurudumu, unaweza kushinda kizidishio.

Kulingana na idadi ya alama za bonasi ulizoanza mchezo wa bonasi nazo zitakuwa na nafasi moja, tatu au nne za kutoka.
Wakati bar ya mwanga inasimama kwenye shamba la Toka mchezo wa bonasi unamalizika.
Malipo ya juu zaidi katika slots hii ni mara x16,000 ya dau lako. Pia unaweza kuanza mchezo wa bonasi kupitia chaguo la Buy Bonus.
Grafiki na Sauti
Sloti ya strawberry cocktail iko kwenye baa iliyoko ufukweni. Muziki wa kusisimua utakuburdisha kila uanapocheza.
Grafiki za slots hii ni za kuvutia na alama zimeonyeshwa kiundani.
Furahia na Strawberry Cocktail ujishindie mara x16,000 zaidi ya dau lako.

Leave a Comment