Sloti Ya Lucky Dolphin | Bahari Ya Ushindi Wa Sloti

0
801
Lucky Dolphin Slots | Sloti Za Lucky Dolphin
Sloti Za Lucky Dolphin

Sloti ya Lucky Dolphin kwa nafasi nyingine tena tunakuletea fursa ya kuzama chini ya bahari. Utakutana na mimea na wanyama wa kushangaza wanaokusubiri chini ya bahari watakao kupa furaha uliyoisubiri kwa muda mrefu.

Lucky Dolphin ni sloti ya video iliyotolewa na mtayarishaji mahiri wa michezo ya sloti Platipus. Katika mchezo huu wa sloti, kuna bonasi maalum inakusubiri ambapo unaweza kupitia viwango tofauti. Kiwango cha juu kinakuhakikishia ushindi makubwa.

Lucky Dolphin Slots | Play Lucky slots online
Lucky Dolphin

Karibu upate kuufahamu zaidi kuhusu mchezo huu wa Lucky Dolphin Slots, tunakushauri usome sehemu ifuatayo ya makala hii, ambayo inaelezea vyema video slot ya Lucky Dolphin. Tumeigawa makala hii katika sehemu zifuatazo:

  • Sifa Za Sloti Ya Lucky Dolphin
  • Kuhusu Alama Za Sloti Ya Lucky Dolphin
  • Bonasi Za Mchezo Wa Sloti Ya Lucky Dolphin
  • Muonekano na Athari za Sauti

Sifa Za Sloti Ya Lucky Dolphin

Lucky Dolphin ni sloti ya video ambayo ina nguzo tano zilizopangwa katika safu tatu na ina mistari 15 iliyowekwa. Ili kupata ushindi, ni lazima ufananishe alama tatu au zaidi kwenye mstari wa malipo.

Mchanganyiko wote wa ushindi, isipokuwa ule unaohusisha alama za Scatter, huzingatiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia nguzo ya kwanza upande wa kushoto.

Unaweza kupata ushindi mmoja kwa mstari wa malipo. Ikiwa una mchanganyiko wa ushindi mkubwa zaidi kwenye mstari mmoja, utalipwa mchanganyiko wenye thamani kubwa zaidi.

Ushindi unaweza kuongezeka ikiwa utafanikiwa kuunganisha ushindi mistari kadhaa kwa wakati mmoja.

Ndani ya eneo la kubetia kuna menyu ambayo inaruhusu kuweka kiwango cha kubetia kwa kila mstari wa malipo. Kiwango cha dau lako la kubetia kwa mzunguko mmoja unaonyeshwa katika eneo la jumla ya Dau la kubetia.

Pia kuna kipengele cha Kucheza kiautomatiki, ambapo unaweza kukitumia wakati wowote unapopenda. Kupitia kipengele/chaguo hili, unaweza kuweka hadi mzunguko 100 na ikachezeshwa kiautomtiki.

Ikiwa wewe ni mpenzi wa mchezo wenye kasi zaidi utafurahishwa na chaguo la Mizunguko ya Haraka(Turbo Spin. Kwa kubofya eneo la chaguo hili lenye picha ya mshale mara mbili utakua umeruhusu mizunguko ya haraka kwenye sloti ya Lucky Dolphin.

Kuhusu Alama Za Sloti Ya Lucky Dolphin

Linapokuja suala la alama za mchezo huu wa Lucky Dolphin, alama za kadi za kawaida zinaleta thamani ndogo ya malipo ikiwemo kadi zifutazo: 10, J, Q, K na A. Pamoja na kwamba kadi hueta thamani ndogo ya malipo kuna kadi ambazo zenye malipo ya juu kidogo kulinganisha na zilizotajwa hapo juu nazo ni Q, K na A.

Alama inayofuata katika suala la thamani ya malipo ni samaki aliyetuna. Ikiwa utaunganisha alama tano za aina hii katika mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 100 ya thamani ya daulako la kubetia kwa mstari wa malipo.

Alama ifuatayo ni farasi wa baharini(seahorse), alama hii itakuletea ushindi mkubwa ikiwa utaunganisha alama tano za hiikwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 150 ya thamani ya dau lako la kubetia kwa mstari wa malipo.

Alama yenye thamani kubwa zaidi miongoni mwa  alama za samaki ni samaki wa dhahabu(goldfish). Ikiwa utaunganisha alama tano za hii kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 200 ya thamani ya dau kwa mstari wa malipo.

Alama yenye nguvu zaidi inapokuja kwa alama za kawaida ni kasa (Sea turtle). Ikiwa utaunganisha alama tano za aina hii kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 250 ya thamani ya dau lako la kubetia kwa mstari wa malipo.

Alama pori (wild symbol) inawakilishwa na pombo(dolphin). Alama hii inachukua nafasi ya alama zote za mchezo, isipokuwa alama za scatter, na husaidia kuunda mchanganyiko wa ushindi.

Lucky dolphin slots online | Cheza sloti ya Lucky dolphin
Jokeri

Wakati huo huo, hii alama pori hii(wild symbol) ndio yenye thamani zaidi katika mchezo huu wa sloti. Ambapo alama pori tano kwenye mchanganyiko wa ushindi zitakuletea mara 300 ya thamani ya dau lako la kubetia kwa mstari wa malipo.

Ni muhimu kuzingatia, Alama pori hulipa tu ikiwa utazipata tano kwenye mstari wa malipo.

Bonasi Za Mchezo Wa Sloti Ya Lucky Dolphin

Alama ya Scatter inawakilishwa na ganda la Pearl. Hii ndiyo alama pekee inayolipa popote inapoonekana kwenye nguzo. Alama tano za aina hii kwenye nguzo inalipa mara 50 ya dau lako la kubetia.

Mchezo wa Lucky Dolphin Slots | Michezo ya Sloti Mtandaoni
Scatter

Alama tatu au zaidi za scatter huleta mchezo wa bonasi. Kisha alama nyingine zitaonekana mbele yako, na unaweza kupita viwango(level) tofauti.

Kila alama iliyochaguliwa inaweza kukuletea moja ya zawadi zifuatazo:

  • Malipo ya pesa – Ambayo huchaguliwa kwa nasibu.
  • Kukusanya Yote(Collect All) – itakusanya zawadi chini ya alama zote na kukupeleka kwenye kiwango(level) ifuatayo.
  • Mwisho wa Mchezo – inaashiria mwisho wa mchezo wa bonasi.
Michezo ya Sloti Online | Sloti yenye pesa
Michezo Ya Bonasi

Muonekano na Athari za Sauti

Nguzo za mchezo wa Lucky Dolphin ziko katika maandhari ya kina cha bahari. Muziki wa kuvutia unapatikana kila wakati unapojifurahisha na sloti hii ya lucky dolphin.

Unaweza kurekebisha kiwango cha sauti kwenye kona ya chini ya kushoto chini ya nguzo.

Muonekano wa mchezo huu wa sloti ni mzuri, na alama zote zinaonyeshwa kwa uhalisia wa kiwango cha juu.

Kutana na Pombo(Dolphin) wa baharini ndani sloti ya Lucky Dolphin!”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here