Tunakuletea mchezo wa sloti ujiliakanao kama “Chinese Wilds,” inayokupeleka katika safari yenye nguvu kwenda China ya kale. Utapatwa na furaha kubwa kukutana na ulimwengu wa wanyama wa ajabu. Ni wakati wa kufurahia sherehe isiyopaswa kuisha.
Chinese Wilds ni sloti ya kasino mtandaoni ilioandaliwa na wataalamu wa kuunda michezo ya kasino – Red Tiger. Kuna aina kadhaa za bonasi zinazokusubiri katika mchezo huu. Kuna wilds kubwa, mizunguko ya bure ya kusisimua pamoja na vizidishio.
Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu mchezo huu, tunapendekeza usome hakiki ya sloti ya Chinese Wilds.
Tumegawanya hakiki ya mchezo huu katika sehemu kadhaa:
- Sifa za msingi
- Alama za sloti ya Chinese Wilds
- Bonasi maalum
- Grafiki na athari za sauti
Sifa za msingi
Chinese Wilds ni mchezo wa kasino mtandaoni ambao una nguzo tano zilizopangwa katika mistari minne na ina mistari 40 ya ushindi. Ili kupata ushindi ni lazima upate alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo.
Mchanganyiko wowote wa ushindi huzingatiwa kutoka kushoto kwenda kulia ukitoka kwenye nguzo ya kwanza upande wa kushoto.
Unaweza kupata ushindi mmoja kwa mstari wa malipo. Ikiwa una mchanganyiko wa ushindi zaidi ya moja kwenye mstari mmoja wa malipo, utalipwa mchanganyiko wenye thamani kubwa zaidi.
Jumla ya ushindi inawezekana ikiwa utaunganisha mistari kadhaa ya malipo wakati huo huo.
Katika eneo la kubeti kuna vitufe vya kuongeza na kupunguza thamani ya dau kwa kila mzunguko.
Pia kuna kipengele cha Kucheza moja kwa moja ambacho unaweza kuamsha unapopenda. Kupitia chaguo hili, unaweza kuweka hadi mizunguko 100. Kabla ya kuanza chaguo hili, weka kikomo kwa kiwango cha hasara unayopata.
Je! Unapenda mchezo kidogo unaovutia? Tuna suluhisho kwa hilo pia. Amsha mizunguko ya haraka kwa kubofya kwenye kisanduku kilichopewa jina “Turbo.” Unaweza kubadilisha kiwango cha sauti kwenye kona ya kulia juu ya nguzo.
Alama za sloti ya Chinese Wilds
Linapokuja suala la alama za mchezo huu wa sloti hautofautiani sana na michezo mingine ya sloti, malipo madogo kabisa ni alama za karata za kawaida: 9, 10, J, Q, K, na A. Kila moja yao inaleta malipo tofauti, na yenye thamani kubwa zaidi ni alama ya A.
Ndege mfano wa kifaranga ni alama inayofuata kwa thamani ya kulipa. Ikiwa unaunganisha alama tano za kipekee kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara x180 ya dau lako.
Ndege mfano wa korongo atakuletea malipo makubwa zaidi. Ikiwa unaunganisha alama tano za kipekee kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara x200 ya dau lako.
Kisha inakuja mbuzi mwenye pembe mbili za dhahabu ambazo huleta malipo mazuri sana. Ikiwa unaunganisha alama tano za kipekee kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara x300 ya dau lako.
Koala ni alama inayopendwa zaidi katika mchezo huu wa sloti. Ikiwa unaunganisha alama tano za kipekee kwenye mstari wa malipo, utapata mara x400 ya dau lako.
Alama ya jokeri inawakilishwa na tumbili mchangamfu. Inachukua nafasi ya alama zote isipokuwa alama ya scatter na husaidia kuunda mchanganyiko wa ushindi.
Inaonekana kwenye nguzo zote na ni alama yenye thamani kubwa zaidi katika mchezo. Ikiwa unaunganisha mchanganyiko wa kushinda wa majokeri watano kwenye mstari wa malipo, utapata mara x500 ya dau lako.
Bonasi maalum
Mchezo una alama kadhaa maalum zaidi, ya kwanza ambayo inawakilishwa na panda. Inapoonekana alama ya panda kwenye nguzo ya kati utapata malipo ya pesa papo hapo.
Alama ya scatter inawakilishwa na simba mwenye alama ya Free spins. Unapopata alama tatu za scatter kwenye nguzo utashinda mizunguko 9 ya bure.
Wakati wa mizunguko ya bure, vizidishio pia vinapatikana. Kiasi cha vizidishio kinakuwa kikubwa kila unaposhinda. avaizidishio vya awali ni x2, na kila ushindi unavyopata inaongezeka hadi x5, x8, x28, x38 na x88.
Kiwango cha sloti hii kurejesha ushindi(RTP) ni 95.78%. Malipo ya juu ni mara x2,000 ya dau lako.
Grafiki na athari za sauti
Nguzo za sloti ya Chinese Wilds zimewekwa katika eneo kubwa la kijani kati ya miti ya bamboo. Muziki wa kitamaduni utakufurahisha wakati ukicheza sloti hii mtandaoni..
Grafiki za mchezo huu ni za kipekee na zisizoweza kurudiwa.
Ikiwa unapenda simulizi za China ya kale, bila shaka utaipenda sloti ya Chinese Wilds.
Pekua michezo tofauti ya sloti inayoptikana kwenye jukwaa letu la kasino mtandaoni.