Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 7)

Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

Dealer – Dealer katika kasino ni kiwakilishi cha mtu anayeendesha gemu za mezani.

Deck – Kikasha cha kawaida chenye karata 52 kinatumika katika michezo ya Blackjack mtandaoni.

Deposit – Pesa halisi inayotumika mtandaoni katika kasino ili kuwekeza kwenye gemu husika au katika bonasi.

Deuce – Namba mbili, ambayo unapata katika gemu ya dice.

Double or Nothing – Mkeka ambao utafanya mara mbili ya ushindi wako endapo ukipatia hasa, au kupunguza ushindi wako endapo ukikosea. Katika gemu hii, mara nyingi unakisia rangi ambayo itafuatia katika karata inayotolewa tena kutoka kwenye kikasha, nyeusi ama nyekundu.

Itaendelea…

21 Replies to “Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 7)”

Leave a Reply to Franky Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *