Gemu: Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 10)

21
1795
Kamusi ya Kasino

Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

Hand – Idadi ya karata ambazo mteja anashikilia katika mzunguko mmoja. Neno hilo linatumika sana katika gemu za mezani.

High Roller – Mteja ambaye anakuwa na dau kubwa na uwekaji pesa mkubwa.

Hit – Neno linalotumika zaidi katika blackjack za mtandaoni. Hii ni hali ambayo mteja anakuwa anatafuta karata nyingine.

Hole Card – Hii ni karata ambayo yule dealer anapokea katika Blackjack, karata hii inakuwa inatazama chini. Katika gemu zingine za mezani, inakuwa na karata ambayo mteja anapoweka ikiwa inatazama upande wa chini.

House – Jina lingine la kasino.

Itaendelea…

21 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here