Gemu: Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 8)

14
2341
Kamusi ya Kasino

Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

Draw – Hii ina maana kwamba mteja amechukua karata ya ziada katika gemu kama vile Baccarat au Blackjack.

Edge (House Edge, Casino Advantage) – Faida ya kasino za mtandaoni kwa wateja wake.

Expanding Wilds – Neno linalotumika katika sloti. Alama hizi za wild zinasambaa kwenye kolamu (mlolongo) wakati zikiangukia katika hiyo sehemu. Zinasaidia kutengeneza miunganiko ya ushindi.

Face Cards – Gendarme, queen na king katika rangi yoyote ya gemu za karata.

Flash Casino – Aina ya gemu za kasino za mtandaoni ambayo unaweza kucheza kwenye kiperuzi, kwa kutumia teknolojia ya flash (Adobe Flash Player).

Itaendelea…

14 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here