Inategemea sana na aina ya bonasi unayoitaka, jibu la swali hilo hapo juu huwa linatofautiana na haliwezi kuwa sawa kwa wote.

Ni Mara Ngapi Unaweza Kupata Bonasi za Kasino Mtandaoni?

Inategemea sana na aina ya bonasi unayoitaka, jibu la swali hilo hapo juu huwa linatofautiana na haliwezi kuwa sawa kwa wote.

Kwa mfano, unaweza kuomba bonasi ya mteja mpya mara moja pekee, mara tu baada ya kuwa umeshajiunga katika mtandao wa kubashiri.

Bonasi zinazojitegemea upande wa kasino zinaweza kuombwa mara moja pekee katika baadhi ya siku.

Aina nyingine ya bonasi inaweza kuombwa kwa kujirudia rudia kila wiki au kila mwezi wakati zingine huenda zikatoka katika msimu fulani pekee.

Pia, kuna bonasi za watu ambao ni wachezaji wa mara kwa mara maarufu kama wenye hadhi ya kuwa ndiyo VIP.

Hizi huwa zinatolewa bila kujali bonasi na promosheni ambazo zinakuwepo hewani nyakati hizo. Ni muhimu sana kutambua kwamba bonasi hazitokuwepo milele, kwa sababu zinakuwa kwa kipindi cha muda fulani pekee.

Unaweza kuona masharti na vigezo vya kutumia bonasi za kasino mtandaoni ukiwa hapa.

Post navigation

23 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Online Casino Bonuses
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.