Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.
Flop – Neno linalotumika katika gemu za poka, inatumika sana katika poka ya Texas Hold’Em. Inaonesha karata tatu za kwanza ambazo zinafunguliwa katika tiketi.
Fold – Fold inatokea wakati unaondoka katika upangiliaji wa mikeka yako na kupoteza ule mkeka uliobetia. Neno hili linatumika sana katika gemu za karata.
Free Spins – Mizunguko ya bure inazawadiwa kwako kutoka kwenye kasino, au unazifanya itokee wewe mwenyewe katika sloti husika, endapo ukipokea mizunguko mitatu ya bure au alama zaidi zinazofanana. Hii haiwezi kukugharimu chochote.
Freeroll Tournament – Mashindano ambayo hayahitaji malipo yoyote ili kushiriki katika kushindana.
Game Software – Wazalishaji wa gemu, watengenezaji wa gemu fulani za kasino.
Itaendelea…
Sloat bomba
Nzuri sana
Slot naipenda Sana @meridianbettz
Mambo mazur
Mambo ni moto
Hii imetulia kujua maana ya maneno yanayotumika ktk casino, nimejua maana ya Flop na fold ktk casino#meridianbettz
Safi sana Meridianbettz
Nice
Kuna maneno kwenye Casino ambayo sio shida kuyajua ,habari njema
Good
Safi
Nimeipenda sana hii
nzuri
Mambo mazuri na meridian
Iko vizuri
Safiiii
Imetulia sana
Nice
Imekaa powa sana
mambo yanazidi kupamba moto
Iko bomba sana hii
Bingoo.
Sawiyaa