Gemu: Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 14)

15
2303
Kamusi ya Kasino

 

Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

 

Pai Gow – Gemu ya Kichina inayochezwa kwa kikasha chenye karata 32. Iliyo maarufu zaidi ni Pai Gow Poker, ambayo ni toleo la America la gemu hii.

 

Payline – Mfululizo wa mpangilio wa mipangilio (kolamu). Mara nyingi mistari ya malipo (paylines) inakuwa hai pale tu inapokuwa imetokea kushoto kwenda kulia. Ni mstari ambao unatengeneza muunganiko wa mpangilio wa alama ambazo zinatengeneza ushindi.

 

Paytable – Jedwali la malipo ambalo linampatia mteja taarifa za muhimu, miunganiko ya ushindi, idadi ya mistari ya malipo, namba ambavyo sloti inafanya kazi kwa ujumla. Inajumuisha kiwango cha ushindi kwa kila muunganiko wa alama moja moja.

 

Pending Period – Muda ambao inachukua kwa kasino kutengeneza malipo kwa washindi.

 

Pot – Kiwango fulani cha pesa ambayo kinakuwa katika jedwali kinachowakilisha jumla ya dau kwa wateja wote wakati wa kucheza. Ni maarufu zaidi kwa wateja wa gemu za poka.

 

Itaendelea…

15 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here