40 Lucky Sevens Mchezo Wa Sloti Utakao Kuvutia.

0
998

Tunakuletea mchezo mwingine wa kasino ambapo utapata fursa ya kukutana na maandhari miti ya matunda yenye kuvutia. Hata hivyo, mbali na miti ya matunda, alama maalum fulani zinakusubiri. Jukumu lako ni kufurahi tu.

 

40 Lucky Sevens ni mchezo wa sloti mtandaoni uliyoletwa kwenu na mtoa huduma wetu “Game Art“. Utapenda mchezo huu ikiwemo aina mbili za alama ya scatter. Pia kuna alama za Joker zinazojaza mistari wima (coloumns). Unaweza kuongeza ushindi wako kwa msaada wa bonasi za ukaribisho kutoka kasino bora ya mtandaoni.

40 Lucky Seven Slots

Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu mchezo huu, tunakushauri kusoma sehemu inayofuata, ambapo utapata kuuelewa mchezo wa sloti ya 40 Lucky Sevens. Maelezo ya mchezo huu yamegawanywa katika sehemu kuu (4) nne:

  • Sheria za mchezo wa 40 Lucky Sevens
  • Alama za sloti ya 40 Lucky Sevens
  • Bonasi za Kipekee
  • Picha na sauti

Sheria za mchezo wa 40 Lucky Sevens

40 Lucky Sevens ni mchezo wa sloti mtandaoni wenye mistari wima (coloumns) mitano zilizopangwa na mistari mlalo (rows) minne na lina mistari 40 ya malipo. Ili kupata ushindi wowote, unahitaji kupata alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo.

Nyota ndiyo alama pekee ya mchezo inayotoa malipo kwa alama mbili zinazofanana kwenye mstari wa malipo. Mipangilio yote ya ushindi, isipokuwa mipangilio yenye alama za scatter, huhesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia mstari wima (coloumn) wa kwanza kushoto.

Unaweza kupata ushindi mmoja tu, kwa mstari mmoja wa malipo. Ikiwa mstari wa malipo una mipangilio ya ushindi kadhaa, utalipwa mpangilio wenye thamani kubwa zaidi.

Jumla ya ushindi unawezekana kutokea ikiwa umeunganisha mistari kadhaa ya malipo kwa wakati mmoja.

Kwenye sehemu ya kuweka Bet kuna vitufe vya “jumlisha(+)” na “kutoa(-)” ambavyo vinatumika kuongeza au kupunguza thamani ya dau lako kwa kila mzunguko.

Pia kuna chaguo la Kucheza Moja kwa Moja (Autoplay), ambalo unaweza kulitumia unapotaka. Kupitia chaguo hili, unaweza kuweka hadi mizunguko 500. Pia unaweza kuweka mipaka ya faida na hasara inayopatikana wakati wa kutumia chaguo hili.

Kama unapenda mchezo wenye spidi au kasi zaidi, unaweza kuwezesha chaguo la Haraka (Fast Spin) na chaguo la Kasi Kubwa (Turbo Spin). Unaweza kurekebisha viwango vya sauti kwenye kona ya chini kushoto.

Alama za sloti ya 40 Lucky Sevens

Linapokuja suala la alama za mchezo huu, tunaweza kuzigawa katika makundi matatu kulingana na thamani ya malipo. Kundi la kwanza linajumuisha miti minne ya matunda: limau, chungwa, cherry, na plamu. Ikiwa utaunganisha alama tano za aina hii katika kombinesheni ya ushindi, utapata mara 2.5 ya dau lako.

Kuna miti mingine mitatu ya matunda ambayo inatoa malipo sawa, na tunaitambua kama alama zenye thamani ya malipo ya wastani. Ikiwa utaunganisha alama tano za aina hii katika kombinesheni ya ushindi, utapata mara 6.25 ya dau lako.

Kwenye sloti hii, alama ya msingi yenye thamani kubwa zaidi ni alama ya nyota ya dhahabu. Ikiwa utaunganisha alama tano za aina hii katika kombinesheni ya ushindi, utapata mara 67.5 ya dau lako.

Bonasi za Kipekee

Jokeri anawakilishwa na alama nyekundu ya Lucky 7. Inachukua nafasi ya alama zote, isipokuwa scatter, na kuwasaidia kuunda kombinesheni za ushindi.

Video Slots Casino Online

Hutokea kwenye mstari wima wa pili, wa tatu na wa nne pekee. Kila mara jokeri linapo onekana kwenye mstari wima, Joker zitaenea kwenye mstari wima mzima.

Alama ya scatter inawakilishwa na nembo ya dola. Skaters ndio alama pekee ambazo hulipa popote zinapoonekana kwenye mistari wima  iwe mara tatu au zaidi.

online casino slots

Wakati huo huo, hii ndio nembo yenye thamani kubwa zaidi katika mchezo. Nembo tano za scatter kwenye mistari wima itakupa mara 100 ya dau lako.

Lakini huo sio mwisho wa mshangao, pia nembo nyingine ya scatter inayowakilishwa na  majani manne itaonekana kwenye mistari wima.

huonekana kwenye mstari wima wa kwanza, wa tatu, na wa tano. Nembo tatu za aina hii hulipa mara 20 ya dau lako.

Bonasi ya kubashiri pia lipo ili kuongeza ushindi wowote. Ikiwa unataka mara mbili ya ushindi, unahitaji kubashiri umbo, wakati ikiwa unataka mara nne ya dau unahitaji kubashiri alama ya karata inayofuata.

Play Slots Online

Picha na sauti

Mistari wima (Coloumns) za sloti ya 40 Lucky Sevens zimepangwa kwenye mandhari ya kijani. Huku muziki ukipigwa wakati wote unapofurahia mchezo, huku sauti za ushindi zinaongeza hisia nzuri.

Ubunifu wa mchezo huu ni wa kipekee!

Kwa burudani ya mchezo wa sloti cheza 40 Lucky Sevens leo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here