Zingatia Sana Haya Unapochagua Kasino ya Mtandaoni…

25
1484
Wakati ukiwa unafanya utafiti wa machaguo yako ya promosheni na bonasi katika kasino hakikisha unakuwa makini sana na endapo kuna programu maalum ya wateja wanaobashiri sana pamoja na kampuni husika.

Peleleza promosheni na bonasi!

Wakati ukiwa unafanya utafiti wa machaguo yako ya promosheni na bonasi katika kasino hakikisha unakuwa makini sana na endapo kuna programu maalum ya wateja wanaobashiri sana pamoja na kampuni husika.

Hapa tunakushauri kwamba unatakiwa kuwasiliana na kitengo cha huduma kwa wateja kuhusiana na masharti na vigezo ambavyo unatakiwa kuwa navyo ili uweze kupata aina fulani ya bonasi. Au kwa urahisi sana, angalia machaguo kwenye promosheni na bonasi ambazo kampuni fulani inayojulikana inakuwa nazo katika kasino za mtandaoni.

Aina kuu za bonasi ambazo unaweza kukutana nazo ni:

  • Bonasi ya kuweka pesa
  • Bonasi ya kutokuweka pesa
  • Mizunguko ya bure
  • Kurudishiwa pesa yako
  • Mrejesho wa pesa ya kasino ya mtandaoni
  • Hizi zinakuwa ni sehemu ya pesa ambazo umepoteza mtandaoni wakati ukibashiri katika chaguo fulani la mchezo,
  • Bonasi za VIP ambazo zinazawadiwa kwa wale wateja wakubwa na wanaobashiri sana na kampuni,
  • Bonasi ya karibisha mgeni na nyinginezo nyingi sana.

25 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here