Hapa kuna sloti nyingine ya video inayokupeleka shambani. Utakuwa na fursa ya kukusanya dhahabu na mayai na hivyo kukusanya mara 10,000 zaidi ya dau lako la kubetia. Kinachotakiwa kutoka kwako ni jambo moja tu: furahia shangwe hizi.
Country Farming ni mchezo wa sloti mtandaoni ulioandaliwa na watoa huduma Pragmatic Play. Mchezo una aina kadhaa za bonasi, kuna nembo za siri, mayai ya dhahabu yanayokupeleka kwenye jackpot, na bila shaka, mizunguko ya bure.
Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu mchezo huu wa sloti, tunakusihi usome sehemu inayofuata ya makala hii, ambayo inafuatia muhtasari wa mchezo wa Sloti Country Farming. Tumeugawanya muhtasari wa mchezo huu wa sloti katika sehemu kuu zifuatazo:
- Tabia Za Mchezo Huu Wa Sloti
- Nembo za mchezo wa Country Farming
- Michezo ya bonasi
- Ubunifu na sauti
Tabia Za Mchezo Huu Wa Sloti
Country Farming ni mchezo wa sloti mtandaoni ambao una nguzo tano zilizopangwa katika safu tatu na ina mistari 20 ya malipo iliyowekwa. Ili kufanikisha ushindi wowote, unahitaji kufanana na alama tatu au zaidi kwenye mstari wa malipo.
Mchanganyiko wote wa ushindi, isipokuwa ushindi unaohusisha nembo za jackpot, huzingatiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia nguzo ya kwanza kushoto.
Unaweza kupata ushindi mmoja kwa kila mstari wa malipo. Ikiwa una mchanganyiko wa ushindi kwenye mstari wa malipo, utalipwa mchanganyiko wenye thamani kubwa zaidi.
Mchanganyiko wa ushindi unaweza kuhusishwa na mistari ya malipo kadhaa wakati huo huo.
Kando na kitufe cha Spin, kuna vipengele ya kuongeza na kupunguza ambavyo vinakuruhusu kuweka thamani ya dau lako la kubetia kwa kila mzunguko.
Vile vile kuna kipengele cha Kucheza Moja kwa Moja ambacho unaweza kukiwasha wakati wowote. Kupitia kipengele hiki unaweza kuweka hadi mizunguko 1,000. Pia, unaweza Kucheza Haraka au Kipengele cha Kasi kwa kutumia kipengele cha Kucheza Moja kwa Moja.
Unaweza pia kuwasha mzunguko wa haraka katika mchezo wa kawaida. Unaweza kurekebisha viwango vya sauti kwenye kona ya chini kushoto chini ya nguzo.
Nembo za mchezo wa Country Farming
Linapokuja suala la nembo za mchezo huu, malipo ya chini zaidi ni karoti, mahindi na maboga, wakati baada yao utaona ndege aina ya Khanga.
Kisha utaona bata, kuku, ukifuatiwa na nguruwe. Ikiwa utaunganisha nembo tano za alama hizi katika mchanganyiko wa ushinid, utashinda mara 7.5 ya dau la beti uliyocheza.
Kondoo ndiye nembo inayofuata kwa thamani ya malipo. Ikiwa utaunganisha nembo tano za alama hizi kwenye mchanganyiko wa ushindi, utashinda mara 25 ya dau la beti uliyocheza.
Nembo ya kawaida na yenye thamani zaidi katika mchezo ni ng’ombe. Ikiwa utaunganisha nembo tano za alama hizi kwenye mfululizo wa ushindi utashinda mara 50 ya dau la beti uliyocheza.
Nembo ya joker inawakilishwa na mbwa mrembo. Inachukua nafasi ya nembo zote, isipokuwa zile za kipekee, na inawasaidia kuunda mchanganyiko wa ushindi.
Pia, hii ni moja ya nembo zenye thamani zaidi katika mchezo. Kupata karata tano za joker kwenye mchanganyiko wa ushindi utakukuletea mara 100 ya dau la beti uliyocheza.
Michezo ya bonasi
Kwenye nguzo utaona nembo ya kipekee iliyoonyeshwa na zawadi. Inatokea katika mchezo wa kawaida na wakati wa rmizunguko ya bure. Inapoonekana, itageuka kuwa nembo ya kulipa iliyochaguliwa kwa nasibu.
Nembo za jackpot zinaonyeshwa na mayai ya dhahabu na zinaonekana kwenye mchezo wa kawaida na wakati wa mizunguko ya bure.
Tano au zaidi ya nembo hizi mahali popote kwenye nguzo zinakuletea malipo yafuatayo:
- Nembo 5 za JP – x10 ya dau lako la kubetia
- Nembo 6 za JP – x60 ya dau lako la kubetia
- Nembo 7 za JP – x250 ya dau lako la kubetia
- Nembo 8 za JP – x1,000 ya dau lako la kubetia
- Nembo 9 za JP – x10,000 ya dau lako la kubetia
Zawadi huwakilishwa na mkulima na inaonekana kwenye nguzo ya pili, ya tatu na ya nne. Tatu kati ya nembo hizi kwenye nguzo zinakupa mizunguko 10 ya bure.
Vile vile, nembo za joker za jackpot zinaonekana wakati wa raundi hii ya ziada. Zinachukua nafasi ya nembo za kawaida, lakini pia zinaweza kuchukua nafasi ya nembo za jackpot.
Unaweza pia kuzindua raundi za bure kwa kufanya manunuzi.
Ubunifu na sauti
Sloti Ya Country Farming imewekwa kwenye mandhari ya shambani. Wakati wote ukiburudika utafurahia sauti za wanyama wa shambani. Unaweza kuzindua chaguo la Kununua Bonasi kwa kubonyeza mfukuza ndege.
Kwa nyuma ya mchezo huu utaona nyumba, majani ya mifugo na kinu upepo.
Furahia burudani na ushinde mara 10,000 zaidi na sloti ya Country Farming!