Candy Blitz ni mmoja wa michezo ya kasino tunaokuletea, ambapo sherehe ya pipi inakusubiri. Kama jina lenyewe la mchezo linavyosema, utapata mfululizo wa pipi tofauti nzuri nzuri mbele yako. Jukumu lako ni kuzipanga pipi hizi katika mchanganyiko wa ushindi kamili.
Candy Blitz ni mchezo wa sloti uliowasilishwa na mtayarishaji nguli wa michezo ya sloti, Pragmatic Play . Katika mchezo huu wa sloti, utakutana na vizidishio vyenye nguvu zinazofikia mpaka x500 ya dau lako. Pia kuna mizunguko ya bure, na malipo ya juu kabisa ni mara 10,000 ya dau lako.
Pata kujua zaidi kuhusu mchezo huu wa sloti ya Candy Blitz, kwa kusoma sehemu inayofuata ya makala hii ambapo utapata hakiki ya mchezo huu wa sloti. Tumegawa makala ya mchezo huu katika sehemu zifuatazo:
- Maelezo Ya Sloti Ya Candy Blitz
- Alama Za Mchezo Wa Candy Blitz
- Bonasi Za Kipekee
- Grafiki Za Mchezo Na Kiwango Cha Sauti
Maelezo Ya Sloti Ya Candy Blitz
Candy Blitz ni mchezo wa sloti mtandaoni, mchezo hii unaokuja na nguzo tano zilizopangiliwa kwenye mistari mitano. Kwa wakati wowote, utaona alama 30 kwenye nguzo. Hatuwezi kusema kuna mistari ya malipo ya kawaida. Ili kupata ushindi, unahitaji kufananisha alama nane au zaidi kwenye nguzo.
Alama zote huleta malipo makubwa popote zitakapo tokea kwenye nguzo.
Kwa kila safu ya ushindi, malipo hulipwa mara moja, na hio mara moja ni malipo yenye thamani kubwa. Alama kumi na mbili au zaidi za alama za kufanana kwenye nguzo zitakuletea malipo ya juu kabisa.
Mchanganyiko wa ushindi ni jambo la kawaida, ikiwa vikundi viwili au zaidi vya alama nane au zaidi vinatokea kwenye nguzo.
Kando na kitufe cha Spin, kuna nafasi za kuongeza na kupunguza ambazo zinaweza kutumiwa kuweka dau kwa kila mzunguko.
Pia kuna chaguo la Kucheza Moja kwa Moja unaloweza kulitumia wakati wowote. Kupitia chaguo hili, unaweza kuweka hadi mizunguko 1,000. Vilevile unaweza kuanzisha mizunguko ya haraka kwa kubofya mzunguko wa Turbo.
Alama Za Mchezo Wa Candy Blitz
Linapokuja suala la alama katika mchezo wa Candy Blitz, alama zote za msingi zinawakilishwa na pipi. Tunaweza kuzigawanya kuwa pipi ndogo na kubwa. Pipi ndogo ni alama zenye malipo ya chini, wakati pipi kubwa ni alama zenye malipo ya juu.
Pipi ndogo huja kwa muonekano wa rangi ya blue, kijani, zambarau na pinki.
Miongoni mwa alama zenye malipo ya juu, ni pipi kubwa nyeupe, kijani, zambarau, manjano, na nyekundu.
Pipi nyekundu yenye umbo la moyo ni alama ya msingi yenye thamani kubwa katika mchezo huu wa sloti. Ikiwa alama 12 au zaidi za aina hii zitatokea kwenye nguzo, utashinda mara 50 ya dau lako.
Bonasi Za Kipekee
Ni vyema kutambua kuwa mchezo wa Candy Blitz una nguzo za kushuka . Kila unapopata ushindi, alama zinazoshiriki zinapotea kwenye nguzo, na nyingine mpya zinaonekana mahali hiyo.
Pia utaona nguzo moja ya ziada ambapo nafasi tupu na vizidishio huonekana kwenye nguzo hiyo. Vizidishio vya kubahatisha pia hupatikana kuanzia x1 hadi x500.
Alama ya kusambaa(scatter) inawakilishwa na pipi yenye umbo la nyota. Pipi nne au zaidi zitakuletea mizunguko ya bure kulingana na sheria zifuatazo:
- Pipi nne zitakuletea mizunguko 10 ya bure
- Pipi tano zitakuletea mizunguko 12 ya bure
- Pipi sita zitakuletea mizunguko 14 ya bure
Kiwango kidogo kabisa cha kizidishio ambacho hutokea kwenye mzunguko huu wa bonasi ni x2.
Mshangao mwingine unakusubiri wakati wa mizunguko ya bure. Hakuna nafasi tupu zitakazo onekana kwenye nguzo ya bonasi na vizidishio, badala yake, kila nafasi kwenye nguzo hiyo itajazwa na vizidishio.
Alama za kusambaa(Scatter) nne, tano au sita wakati wa mizunguko ya bure zitakuletea mizunguko ya bure mitano, nane au kumi.
Pia unaweza kuanzisha mizunguko ya bure kwa kutumia chaguo la Bonus Buy. Malipo ya juu kabisa ni mara 10,000 ya dau lako . Kiwango cha Kurudi kwa Mchezaji (RTP) wa mchezo huu wa Candy Blitz ni 96.08%.
Grafiki Za Mchezo Na Kiwango Cha Sauti
Candy Blitz iko katika ulimwengu wa Pipi. Muziki wenye furaha na usio na kero unapatikana wakati wote unapojifurahisha.
Grafiki za mchezo ni nzuri sana, na muundo wa mchezo unabadilika wakati wa mizunguko ya bure. Vilevile unaweza kurekebisha kiwango cha sauti wa mchezo huu kwenye sehemu ya mipangilio.
Jisikie furaha na sloti ya Candy Blitz na ushinde mara 10,000 zaidi !