Hii ni safari nyingine ya mchezo wa sloti mtandaoni ambayo itakusafirisha kwa muda mfupi hadi Mashariki ya Mbali. Utapata fursa ya kujifunza kuhusu mila na utamaduni wa Kichina. Ikiwa tutakuambia kuwa una fursa ya kushinda mara x2,000 zaidi ya kiwango chako cha beti, ni wazi kuwa mchezo huu hautoukosa.
Qins Empire Caishens Temple ni sloti ya kasino inayotolewa na Playtech. Kwenye mchezo huu, unaweza kutarajia aina tatu za bonasi maalum, vilevile unaweza kushinda moja ya jackpot nne za kawaida.

Ikiwa unataka kujifunza zaidi kuhusu mchezo huu, tunapendekeza usome ukaguzi wa sloti ya Qins Empire Caishens Temple.
Tumegawa ukaguzi wa sloti hii katika sehemu kadhaa:
- Sifa za msingi
- Alama za sloti ya Qins Empire Caishens Temple
- Bonus za kipekee
- Picha na sauti
Sifa za msingi
Qins Empire Caishens Temple ni sloti ya mtandaoni yenye nguzo tano zilizopangwa kwa safu tatu na zenye payline(mistari ya malipo) 50. Ili kupata ushindi wowote, unahitaji kuunganisha alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye payline(mstari wa malipo).
Michanganyiko yote ya ushindi huhesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia, kuanzia safu ya kwanza upande wa kushoto.
Ushindi mmoja hulipwa kwa kila payline(mstari wa malipo). Ikiwa una michanganyiko zaidi ya mmoja wa ushindi kwenye payline moja, utalipwa ushindi wenye thamani ya juu zaidi.
Michanganyiko ya ushindi inawezekana ikiwa utaunganisha payline nyingi kwa wakati mmoja.
Kwa kubonyeza kitufe cha sarafu utafungua menyu ambayo unaweza kuchagua kiasi cha beti kwa kila sarafu. Utaona thamani ya beti kwa kila mzunguko kwenye sehemu ya “Total Bet“.
Pia kuna kipengele cha Autoplay kinachopatikana ambacho unaweza kuamsha kwa kushika kitufe cha Spin kwa muda mrefu kidogo. Inaweza kukaa ikiwa imeamrishwa hadi utakapofungua mchezo wa bonasi.
Kwa kubonyeza kitufe cha umeme, unaanza mizunguko ya haraka.
Alama za sloti ya Qins Empire Caishens Temple
Alama zenye malipo ya chini kabisa kwenye mchezo huu wa casino ni alama za kadi za kawaida: J, Q, K na A.
Ikifuatiwa na alama ya taa ya chemli, sanamu ya simba na chura wa kijani. Kisha kuna alama ya jadi nayo ni dhahabu ya Kichina, wakati malipo makubwa zaidi kati ya alama za msingi huletwa na chui.
Jokeri(wild) inawakilishwa na Caishen mwenyewe. Anachukua nafasi ya alama zote, isipokuwa zile maalum, na kuzisaidia kuunda mchanganyiko wa ushindi.

Bonasi za kipekee
Scatter inawakilishwa na kasri ya jadi ya Kichina na inaonekana kwenye nguzo zote.
Hii ndio alama yenye thamani zaidi kwenye mchezo wa kasino na ni alama pekee ambayo hulipa popote pale inapoonekana kwenye nguzo. Scatter tatu zitakupa mizunguko 9 ya bure moja kwa moja.
Wakati wa mizunguko ya bure, wild inafanya kazi kama alama inayopanuka na inaweza kujaza nguzo nzima, au hata nguzo kadhaa kwa wakati mmoja.
Aina nyingine ya bonasi inaweza kuanzishwa wakati sufuria 6 za kijani zinapoonekana kwenye reeli. Hii ndiyo inayoitwa Jade Cauldron Bonus.
Unapata respins 3 kupata alama nyingine ya sufuria za kijani kwenye safu na nguzo. Unapofanikiwa kupata alama nyingine, idadi ya respins hurejeshwa kuwa 3.

Mpangilio wa safu ya pili utaamrishwa unapokusanya alama nane za bonasi hizi. Mpangilio wa safu ya tatu utaamrikishwa unapokusanya alama 16, wakati mpangilio wa safu ya nne utaamrishwa unapokusanya alama 36 za bonasi.
Kila moja ya alama hizi hubeba thamani ya beti yenye au bila kizidishio.
Wakati sufuria sita za dhahabu zinapoonekana kwenye safu na nguzo, utaamrisha bonasi ya Gold Cauldron. nguzo zote nne basi zinaamrishwa.
Pia unapata respins 3 ukiweka moja ya alama hizi kwenye nguzo. Sufuria za dhahabu zinaweza kubeba malipo ya pesa nasibu au thamani: jackpot za Mini, Minor au Major.

Utajishindia jackpot kuu pindi ambapo sufuria 15 zote zinaonekana kwenye mojawapo ya mpangilio wa nguzo 4. Kisha unaweza kutarajia malipo ya mara x2,000 ya beti yako.
Picha na sauti
Safu za Qins Empire Caishens Temple zimewekwa chini ya mlima, upande wa kushoto ambapo utaona kasri nzuri.
Sauti Za sloti hii zitakufurahisha sana kila unapopata ushindi. Michoro na picha za sloti ni nzuri sana.
Furahia burudani ya kipekee kwa kucheza sloti ya Qins Empire Caishens Temple na ushinde mara x2,000 zaidi!