Gold Digger Megaways | Mlipuko wa bonasi za kasino!

0
26
Gold Digger Megaways | Online Casino Slots | Top paying casino slots | iSoftBet slots
Gold Digger Megaways

Kutana na mgodi uliojaa bonasi za dhahabu kasino! Tunakuletea mchezo wa casino unaovutia ambao unaahidi ushindi mkubwa. Jiandae kufurahia msisimko ambao hakika utakufurahisha.

Gold Digger Megaways ni mchezo wa sloti uliotayarishwa na wataalamu wa kutengeneza michezo ya slots – iSoftBet. Wakati uliopita, ulipata fursa ya kufurahia sloti ya Gold Digger kwenye jukwaa letu la Casino Bonuses. Sasa, tunafurahi kukuletea toleo jipya na la mbele yake la Megaways.

Gold Digger Megaways | Bonasi za kasino mtandaoni | iSoftBet slots online | Top paying slots online
Sloti ya Gold Digger Megways

Uchezapo sloti hii, utafurahia bonasi za kasino, “wilds” maridadi, na alama zenye nguvu ambazo zitakupatia USHINDI MKUBWA!

Jifunze zaidi kuhusu slots hii kwa kusoma maelezo yafuatayo kuhusu sloti ya Gold Digger Megaways.

Tumegawa ukaguzi wa mchezo huu wa slots katika sehemu kadhaa:

  • Sifa za Msingi
  • Alama za Sloti ya Gold Digger Megaways
  • Michezo ya Bonasi
  • Michoro na Sauti

Sifa za Msingi

Gold Digger Megaways ni mchezo wa sloti kwenye kasino za mtandaoni wenye nguzo sita. Idadi ya alama kwa kila safu inaweza kubadilika, kuanzia mbili hadi saba, na kutoa hadi njia 117,649 za ushindi.

Ili kupata ushindi, unahitaji kuunganisha alama tatu kwenye mlolongo wa ushindi. Alama ya mchimba madini ndio alama pekee ambayo inalipa hata kwa alama mbili tu kwenye mstari wa ushindi.

Ushindi wa aina yeyote huhesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia, kuanzia safu ya kwanza upande wa kushoto.

Utapata ushindi mmoja kwa kila mstari wa malipo. Ikiwa kuna njia nyingi za ushindi kwenye mstari wa malipo, utalipwa ushindi wenye thamani kubwa zaidi.

Ushindi wa jumla unawezekana kama utakuwa umepata umeshindi mara kadhalika kwenye mistari tofauti ya malipo kwa wakati mmoja.

Kwa kubofya kitufe chenye picha ya sarafu, unaweza kufungua menyu ya kurekebisha ukubwa wa beti yako kwa kila mzunguko.

Kipengele cha Autoplay pia kinapatikana, kukuruhusu kuweka hadi mizunguko 1,000 moja kwa moja.

Alama za Sloti ya Gold Digger Megaways

Alama za chini kabisa katika sloti hii ni alama za kadi: J, Q, K, na A. Hizi zimegawanywa katika makundi matatu kulingana na uwezo wao wa kulipa, na K na A kuwa zenye thamani kubwa zaidi.

Ikifuatiwa na alama ya chemli ambayo hutoa malipo ya juu kiasi, na alama ya shoka inatoa malipo makubwa zaidi. Ukipata alama sita za shoka utapata mara x1.75 ya beti yako.

Toroli lenye sarafu za dhahabu inatoa malipo makubwa zaidi ukilanganisha na alama zilizoelezewa hapo juu. Ukipata alama sita za aina hii kwenye mstari wa malipo, utapata mara x5 ya beti yako.

Alama yenye thamani zaidi kwenye mchezo wa msingi ni mchimba madini, ukiunganisha alama sita za aina hii utapata mara x25 ya beti yako.

Alama ya Wild inawakilishwa na logo ya Jokeri. Inachukua nafasi ya alama zote isipokuwa alama ya bonasi, na husaidia kuunda njia tofauti za ushindi.

Gold Digger Megaways | Alama ya wild kwenye sloti | iSoftBet slot games online | Top paying casino slot games
Alama ya Jokeri (Wild)

Alama ya Jokeri huonekana pekee kwenye safu ya juu.

Michezo ya Bonasi ya kasino

Gold Digger Megaways ina nguzo zinazotiririka(cascading). Kila upatapo ushindi, alama zilizohusika zitapotea, na alama mpya zitachukua nafasi yao kwenye nguzo.

Aina kadhaa za bonasi ya kasino huanzishwa kwa bahati nasibu wakati wa mzunguko wowote ikiwemo bonasi zifuatazo za kasino:

  • Mystery Blast: Alama za TNT zinaweza kuonekana kwenye nguzo na kugeuka kuwa alama sawa.
  • Boomer Bonus Add: Bonasi za ziada huongezwa kwenye nguzo.
  • Boomer Lose to Win: Mizunguko isiyo shinda hubadilishwa na kuwa mzunguko wa ushindi kwa bahati nasibu.

Alama ya bonasi inawakilishwa na jiwe la dhahabu. Ukipata alama tano au zaidi za aina hii utazindua na kuanzisha Bonasi ya Gold Hold and Win Respin.

Sloti ya Gold Digger Megaways | Bonasi ya kasino mtandaoni | Top Paying slots | iSoftBet casino slots online
Alama za bonasi

Wakati wa mchezo huu wa bonasi ya kasino, ni alama maalum tu zinazoonekana. Unapewa respin tatu kupata moja ya alama hizi. Ikiwa unafanikisha, hesabu ya respin hurejeshwa kuwa tatu.

Alama za bonasi ya kasino hubeba thamani za pesa au jackpot.

Alama ya mshale wa bluu huongeza idadi ya nafasi kwenye nguzo. Alama ya dola ya kijani huongeza thamani ya pesa ya alama zako za bonasi. Thamani ya pesa ya bonasi inaweza kubadilishwa kuwa alama ya jackpot wakati alama za kijani zipo.

Thamani za alama za jackpot ni kama ifuatavyo:

  • Jackpot Ndogo: Inalipa mara x25 ya beti yako.
  • Jackpot Kuu: Inalipa mara x50 ya beti yako.
  • Jackpot Kubwa: Inalipa mara x100 ya beti yako.

Alama ya nyekundu ya moyo inakupa respin ya ziada, wakati alama ya zambarau inaongeza kizidishio kwenye alama zote za bonasi mwishoni mwa mchezo wa bonasi.

Gold Digger Megaways | Michezo ya Casino | Casino slots | Casino games | Bonasi za kasino | iSoftBet slots
Bonasi ya Gold Hold & Win Respin

Bonasi ya kasino ya Respin itaendelea kwa muda mrefu ikiwa alama za bonasi zitaendelea kutokea kwenye nguzo au hadi nafasi zote kwenye nguzo zitajazwa na alama za bonasi.

Michoro na Sauti

Nguzo za Gold Digger Megaways zimewekwa kwenye mgodi wa kuvutia. Upande wa kushoto wa nguzo, utaona mchimba madini mwenye furaha akiongeza ladha ya mchezo huu wa sloti kwa kicheko chake.

Sloti hii ina michoro(picha) bora na inaambatana na burudani nzuri ya muziki wa kuvutia wakati wote.

Sloti ya Gold Digger Megaways inakupa fursa ya kuchimba dhahabu kwenye bonasi za Kasino!

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here