Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.
Tournament – Mashindano, kwa kawaida katika gemu za sloti au katika michezo ya poka, ambapo wateja wanashindania kupata matokeo fulani yanayotakiwa ili waibuke na ushindi.
Turn – Neno la poka bomba kabisa ambayo linaonesha karata ya nne inayotakiwa kutumika kwa tiketi husika.
Twenty one – Neno lingine badala ya neno Blackjack.
VIP – Mteja ambaye anaweka dau kubwa na miamala mikubwa mara kwa mara.
Wager – Dau.
Itaendelea…
Iko poa
Gemu za kasino kiukweli ni michezo mizuri sana yenye burudani inayoleta faraja. Na hata ikitokea mchezaji hajashinda ni nadra sana kushuhudia ugomvi kwa kupoteza utulivu.
Casino imetulia sana
Zipo vzuri
Mambo mazuri
Safi sana
Mambo mazuri hayoo
iko poa sana
Nic
maelezo mazuri sana#meridianbettz
Iko poa sana
Mambo mazuri
Nimeipenda
Ni nzuri