Steam Squad Slots | Slots | Online Casino Slots

Steam Squad | Hili Ndio Party La Maokoto

Tunawasilisha kikundi kisicho cha kawaida ambacho kinaongoza kwa upande wa sloti yenye furaha. Jukumu lako ni kupata alama nyingi kadri uwezavyo zinazofanana. Ikiwa utafanikiwa katika hili, utapewa ushindi usio wa kawaida.

Steam Squad ni sloti ya kasino mtandaoni kutoka kwa watoa huduma wa Red Tiger. Mchezo una bonasi za nguvu, kati yake maradufu ya kufikirika yanatokea. Pia kuna raundi za bure zinazopeleka furaha hiyo kwenye kiwango cha juu zaidi.

Kasino slots | Online slots | sloti zinazolipa
Sloti Ya Steam Squad

Ikiwa unataka kujua kitu zaidi kuhusu mchezo huu wa kasino, tunakushauri kusoma sehemu inayofuatayo yenye muhtasari wa sloti ya Steam Squad.

Tumeugawa hakiki ya mchezo huu katika vipande kadhaa:

  • Tabia Za Msingi
  • Kuhusu Alama Za Sloti Ya Steam Squad
  • Michezo Ya bonasi
  • Picha Na Sauti

Tabia Za Msingi

Steam Squad ni sloti mtandaoni na inategemea mfumo wa ajabu. Mchezo una nguzo sita, zilizopangwa katika mistari sita, maana yake alama 36 daima zitaonekana kwenye nguzo.

Alama hulipa popote zinapoonekana kwenye nguzo kwa idadi ya kutosha. Ili kupata ushindi wowote, alama 10 zinazofanana lazima zionekane kwenye nguzo. Ushindi mkubwa unakusubiri na alama 20 au zaidi zinazofanana kwenye nguzo.

Mfululizo mmoja wa ushindi unalipwa, daima ule wenye thamani kubwa. Jumla ya ushindi inawezekana, unapowashikamanisha katika mfululizo wa ushindi mbili au zaidi wakati mmoja.

Katika eneo la la kubeti, kuna vitufe vya kuongeza na kupunguza kiwango cha dau lako  kwa kila mzunguko.

Pia kuna kipengele cha Autoplay unaloweza kuliwasha wakati wowote unaotaka. Unaweza kuweka hadi mizunguko 100 kupitia chaguo hili. Kabla ya kuanza kipengele hiki, weka kikomo cha kiwango cha upotezaji unachoweza kuvumilia wakati wa kipengele cha Autoplay.

Ikiwa unapenda mchezo wa kasi zaidi, washa mzunguko wa haraka kwa kubofya kitufe cha Turbo. Unaweza kurekebisha kiwango cha sauti kwenye kona ya juu upande wa kulia juu ya nguzo.

Alama Za Sloti Ya Steam Squad

Linapokuja suala la alama za sloti hii, alama ya almasi huleta malipo kidogo, alama huonekana katika rangi ya zambarau, blue, kijani, nyekundu, na machungwa. Thamani kubwa zaidi kati yao ni ile ya machungwa.

sloti kasino | online slots
Ushindi – Almasi ya blue

Inafuatiwa na alama ya mbwa, ambayo inaleta malipo ya juu kidogo ukilinganisha na alama za alamasi, na kiwango cha juu ambacho alama hii inaweza kukuletea ni mara 12 ya dau lako.

Alama ya mtu mwenye nywele za zambarau anatoa malipo ya juu kiasi ukilinganisha na hizo alama tajwa awali. Ikiwa unapata alama 20 au zaidi za aina hii utashinda mara 15 ya dau lako.

Mwanamke mwenye miwani ya kijani ni alama inayofuata kwa thamani ya malipo. Ikiwa alama 20 au zaidi za aina hii zinaonekana kwenye nguzo, utashinda mara 20 ya dau lako.

Alama ya msingi zaidi ni mwanaume mwenye nywele zenye mvi na ndevu. Kiwango kikubwa ambayo alama hii inaweza kukuletea ni mara 25 ya dau lako.

Michezo Ya Bonasi

Mchezo unafanya kazi kulingana na kanuni ya nguzo za kuporomoka, lakini kwa mwelekeo kidogo tofauti. Kila unapopata ushindi, alama zinazohusika zinashushwa chini ya nguzo, wakati alama zingine zote zinaharibiwa.

Baada ya hapo, alama mpya zinashushwa, na ikiwa kuna alama zaidi kati yao zinazoshiriki katika ushindi, mchakato unarudiwa. Nguzo za kuporomoka hukoma kwenye mzunguko wa kwanza ambao hakuna alama mpya inayoonekana kuongeza mfululizo wa ushindi.

Juu ya kila nguzo utaona kizidishio. Ikiwa unajaza nguzo nzima na alama inayoshinda, kizidishio huongezwa kwenye ushindi wako.

Kizidishio hubadilika kwa nasibu kutoka mzunguko mmoja hadi mwingine.

Scatter huwakilishwa na alama ya Mizunugko ya Bure. Tatu, nne, tano au sita ya alama hii zitakupa mizunguko 8, 10, 12, au 15 ya bure.

Sloti mtandaoni | Online slots
Alama Ya Scatter

Wakati wamizunguko ya bure, alama moja ikitokea kuijaza nguzo nzima, kiwango cha kizidishio kwenye nguzo huongezeka kwa moja.

Pia unaweza kuona fremu ya dhahabu katika mchezo wa kawaida na wakati wa mizunguko ya bure. Wakati fremu inapojazwa, inaweza kubadilisha alama fulani kuwa mojawapo inayoshinda, na ikiwa kizidsihio kitaamshwa, inaweza kuongezaka kwa moja mpaka tano.

Play slots Online
Mizunguko Ya

Unaweza pia kuamsha mizunguko ya bure kupitia chaguo la Bonus Buy.

Picha Na Sauti

Nguzo za sloti ya Steam Squad zimewekwa kwenye mazingira ya kupagawisha. Kwa nyuma utaona maandhari ya ndege za kivita na majengo ya zamani.

Picha pamoja na alama za sloti hii ni nzuri haswa na muonekano wote kiujumla unavutia.

Furahia shangwe la maokoto ya sloti ya Steam Squad.

Post navigation

Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Online Casino Bonuses
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.