Robin Hoods Wild Forest | Kutana Na Mashujaa Wa Wanyonge.

0
30
Robin Hoods Wild forest - sloti za kasino - red tiger casino slots online
Robin Hoods Wild Forest

Mbele yako ni safari ya kasino yenye kuvutia sana – ‘Robin Hoods’, ambapo utapata fursa ya kukutana na mashujaa wa hadithi zama za kati kwenye taifa la Uingereza. Robin Hood na kundi lake huenda wakagawana baadhi ya hazina waliyoipata kwa mchango wako.

Robin Hoods Wild Forest ni mchezo wa sloti mtandaoni uliyoandaliwa na wataalamu wa kutengeneza michezo ya kasino mtandaoni, Red Tiger . Mchezo una aina kadhaa za bonasi ambazo huzinduliwa na mashujaa wa mchezo huu. Tumia nguvu zao kila wanapotokea kwenye nguzo.

Robin Hoods Wild Forest - Sloti za kasino - Red Tiger casino slots online
Sloti ya Robin Hoods Wild Forest

Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu mchezo huu, fanya kusoma hakiki ya sloti ya Robin Hoods kama inavyojieleza.

Tumeigawa hakiki ya mchezo huu wa kasino katika vipengele vifuatavyo;

  1. Taarifa ya msingi
  2. Alama za Sloti ya Robin Hoods Wild Forest
  3. Bonasi za kasino
  4. Picha na sauti

Taarifa ya msingi

Robin Hoods Wild Forest ni mchezo wa sloti mtandaoni wenye nguzo tano zilizopangwa katika mistari mitatu na ina paylines 10 zilizofungwa. Ili kupata ushindi wowote, unahitaji kulinganisha alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye payline.

Kila mchanganyiko wa ushindi, isipokuwa zile zenye alama za bonasi, zinahesabiwa tu kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia nguzo ya kwanza kushoto.

Unaweza kupata ushindi mmoja kwa payline moja. Ikiwa una mchanganyiko wa ushindi zaidi kwenye payline moja, utalipwa ushindi wenye thamani kubwa.

Unaweza kupata jumla ya ushindi ikiwa unaziunganisha kwenye paylines kadhaa wakati huo huo.

Ndani ya eneo la Hali , kuna vifungo vya kuongeza na kupunguza ambavyo unaweza kutumia kurekebisha thamani ya dau kwa kila mzunguko.

Pia kuna kipengele cha Kucheza Moja kwa Moja ambacho unaweza kuchochea wakati wowote unapotaka. Kupitia chaguo hili, unaweza kuweka hadi mizunguko 100. Kabla ya kuanza chaguo la Kucheza Moja kwa Moja, weka kikomo cha upotezaji.

Ikiwa unapenda mchezo wenye kasi zaidi, tuna suluhisho sahihi kwako. Chezesha haraka kwa kubonyeza kitufe cha Turbo . Unaweza kurekebisha kiwango cha sauti kwenye kona ya kulia juu ya nguzo.

Alama za Sloti ya Robin Hoods Wild Forest

Tunanza hadithi kuhusu alama za mchezo huu kama michezo mingine ya kasino, alama zinazolipa kidogo ni alama za kadi maarufu: 10, J, Q, K na A. A ni alama yenye thamani kubwa zaidi kati yao.

Hii inafuatwa na glasi ya bia, ambayo huleta malipo makubwa zaidi, na alama tano za aina hii katika mchanganyiko wa ushindi zitakuletea mara tano ya dau lako.

Kofia ya Sheriff maarufu wa Nottingham inaleta malipo ya thamani kubwa sana. Ikiwa utaunganisha alama tano za aina hii katika mfululizo wa ushindi, utashinda mara nane ya dau lako.

Kisha utaona mfuko uliojaa sarafu za dhahabu. Ikiwa utaunganisha alama tano za aina hii katika mfululizo wa ushindi, utashinda mara tano ya dau lako.

Simba wa dhahabu ni alama ya msingi yenye thamani kubwa zaidi ya kwenye sloti ya Robin Hoods Wild Forest. Ikiwa utaunganisha alama tano za hii katika mchanganyiko wa ushindi, utashinda mara x30 ya dau lako.

Bonasi za kasino

Mchezo pia una sifa maalum wa jokeri nne . Kati ya jokeri hizi utaona moyo, lakini pia wahusika wakuu wa hadithi hii: Robin Hood , Lady Marian na Little John.

Alama hizi hubadilisha alama zote za mchezo na kusaidia kuunda mchanganyiko wa ushindi.

Kila shujaa wa hadithi/sloti hii huamrisha aina tofauti ya bonasi kila wanapotokea kwenye nguzo.

Wakati Lady Marian anapoonekana kwenye nguzo ana jukumu lingine tofauti na majokeri mengine. Ataanza kutuma mabusu kwa alama za nasibu kwenye nguzo, na alama zote zinazopokea mabusu zitabadilishwa kuwa jokeri au wild.

Robin Hoods - Sloti za kasinomtandaoni - Red Tiger casino slots online
Lady Marian

Ikiwa Little John ataonekana kwenye nguzo, ataleta mshangao. Little John atabadilisha alama zinazolipa kidogo kuwa alama zinazolipa vizuri.

Sloti ya Robin Hoods - Sloti za kasino mtandaoni - Red Tiger casino slots online
Little John

Robin Hood huamrisha bonasi muhimu zaidi, Bonasi ya Re-spin. Kisha alama iliyochaguliwa kiholela inayolipa vizuri itaonekana kama iliyofungwa. Jokeri ama alama wilds zinaendelea wakati bonasi hii ikiendelea.

Robin Hoods Wild Forest - Sloti za kasino mtandaoni - Red Tiger casino slots online
Robin Hood – Bonasi ya Respin

(RTP)Kiwango cha urejeshaji wa ushindi kwa mchezaji kwenye sloti hii ni 95.73% . Ushindi mkubwa kabisa ni mpaka mara x1,003 ya dau lako.

Picha na sauti

Mpangilio wa sloti ya Robin Hoods wild forest umewekwa katika vyumba vya genge hili. Vyumba vyenye kiasi kikubwa cha hazina.

Muziki mtulivu na wa kuvutia upo wakati wote unapojifurahisha kwa kucheza mchezo huu wa kasino mtandaoni. Picha za mchezo zimejaa taarifa na kuakisi uhalisia.

Cheza sloti ya Robin Hoods na ushinde mara x1,000 zaidi ya dau lako!

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here