Tumekuleta mchezo wa kasino unaotoka kwenye mnyororo maarufu wa hadithi za vitabu. Na safari hii kuna jambo la tamu na la kipekee linakusubiri, pambana na uibuke mshindi kwenye vita vya bonasi za kasino!
Book of Darkness ni mchezo wa sloti uliotengenezwa kwa utaalamu na waandaji wabobezi – BetSoft. Mizunguko ya bure inakusubiri kwenye mchezo huu katika viwango kadhaa. Unaweza kushinda alama maalum kadhaa au vizidishio vya x5.
Kabla hujaanza kucheza sloti hii ni vyema kuufahamu zaidi mchezo huu, soma mapitio yafuatayo ya sloti ya Book of Darkness.
Tumegawanya mapitio ya mchezo huu katika sehemu kadhaa:
- Taarifa za Msingi
- Alama za mchezo wa Book of Darkness
- Bonasi za Kasino
- Picha na Sauti
Taarifa za Msingi
Book of Darkness ni sloti ya casino yenye safu tano zilizopangwa katika mistari mitatu na ina mistari 10 ya malipo ya kudumu. Ili kushinda, unahitaji kuunganisha alama mbili au tatu zinazofanana kwenye mstari wa malipo.
Mchanganyiko wote wa ushindi, isipokuwa zile zenye alama maalum, huhesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia safu ya kwanza upande wa kushoto.
Unaweza kushinda mara moja tu kwa kila mstari wa malipo. Ikiwa kuna mchanganyiko wa ushindi mwingi kwenye mstari mmoja wa malipo, utalipwa thamani ya ushindi wa juu zaidi.
Jumla ya ushindi inaweza kupatikana ikiwa unaziunganisha kwenye mistari kadhaa ya malipo kwa wakati mmoja.
Ndani ya sehemu ya Bet, kuna vitufe vya kuongeza na kupunguza ambavyo hutumika kuweka thamani ya dau kwa kila mzunguko.
Pia kuna kipengele cha Autoplay ambacho unaweza kukiendesha wakati wowote unapopenda. Kupitia chaguo hili, unaweza kuweka hadi mizunguko 100.
Ikiwa unapenda mchezo wa nguvu zaidi, washa mizunguko ya haraka katika mipangilio ya mchezo. Pia unaweza kurekebisha kiwango cha sauti kwenye sehemu ya mipangilio.
Alama za Mchezo wa Book of Darkness
Kwa alama za mchezo huu, malipo ya chini zaidi hutoka kwa alama za kadi za kawaida: Q, K na A.
Zinazofuata ni upanga na dawa ya uchawi ambayo huleta malipo kidogo ya juu. Alama tano za aina hii katika mchanganyiko wa ushindi hukupa mara nane ya dau lako.
Ifuatayo ni pete na vito vyekundu vinavyoleta malipo makubwa zaidi. Ukiunganisha alama tano za aina hii kwenye mstari wa malipo utashinda mara 15 ya dau lako.
Alama za msingi zenye thamani kubwa zaidi ni mchawi na mwanamke mwenye upinde na mshale. Ukiunganisha alama tano za aina hii kwenye mstari wa malipo utashinda mara 25 ya dau lako.
Alama ya jokeri inawakilishwa na kitabu. Inachukua nafasi ya alama zote, isipokuwa zile maalum zinazopanuka, na kusaidia kuunda mchanganyiko wa ushindi.
Bonasi za Kasino
Kitabu pia ni scatter ya mchezo huu, na alama tatu au zaidi za aina hii hukupa mizunguko ya bure kwa sheria zifuatazo:
- Scatter tatu hukupa mizunguko 10 ya bure
- Scatter nne hukupa mizunguko 15 ya bure
- Scatter tano hukupa mizunguko 20 ya bure
Kabla ya mchezo wa bonasi kuanza, alama maalum ya kupanua itaamuliwa. Ina uwezo wa kusambaa kwenye safu nzima ikiwa itaonekana kwa idadi inayotosha kuunda mchanganyiko wa ushindi.
Inalipa kama scatter, popote inapoonekana kwenye safu.
Wakati mchawi, jokeri, na mwanamke mwenye mshale wako kwenye mstari mmoja kwa mpangilio huo au kinyume chake, bonasi ya The Clash For Power inawashwa.
Baada ya hapo, mizunguko inawashwa ambapo unachagua kati ya mchawi au mwanamke mwenye mshale. Kila moja ya alama hizi inapoonekana kwa nakala tatu au zaidi, inapata alama moja, na mshindi ni alama inayofikia pointi tatu kwanza.
Ikiwa ni ishara uliyoiamua, utapata mizunguko 10 ya bure.
Mwanamke anakupa mizunguko 10 ya bure ambapo ushindi wote unaendeshwa kwa kizidishio cha x5, wakati mchawi anakuletea mizunguko 10 ya bure na alama tano zinazotanuka.
Picha na Sauti
Safu za sloti ya Book of Darkness zipo katika eneo la jumba la kifahari la kichawi. Muziki wa miujiza una skika wakati wote wa mchezo. Picha za sloti hii ni nzuri, na alama zote zimewasilishwa kwa undani.
Usikose sherehe ya kichawi na bonasi za kasino, cheza Book of Darkness sasa!