Beriched | Casino slots online | Red Tiger

Beriched | Sloti yenye miujiza ya ushindi kabambe.

Tunakuletea mchezo wa kasino ambapo kuna uchawi mwingi unakusubiri. Mchawi ana pombe ya kichawi iitwayo smućkas, na labda unaweza kuitumia kama njia ya haraka ya kupata ushindi  mkubwa. Furahia shangwe la sloti la kushangaza.

Beriched ni mchezo wa sloti ulioandaliwa na Red Tiger. Uchawi wa kweli unakusubiri katika mchezo huu. Alama fulani zitapatikana katika fremu moja, na wakati wa mziunguko ya bure, hubadilika na kuwa wilds.

Beriched | Sloti mtandaoni | sloti za kasino | Red Tiger slots online
Sloti ya Beriched

Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu mchezo huu wa kasino, tunakushauri kusoma muhtasari wa sloti ya Beriched.

Tumegawanya ukaguzi wa mchezo huu katika sehemu kadhaa:

  • Tabia za msingi
  • Alama za sloti ya Beriched
  • Bonasi za kasino
  • Picha na sauti

Tabia za msingi

Beriched ni sloti ya mtandaoni yenye nguzo tano zilizopangwa katika mistari minne na ina mistari 20 ya malipo iliyowekwa. Ili kupata ushindi wowote, ni lazima kupata alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo.

Mchanganyiko wote wa kushinda unahesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia nguzo ya kwanza upande wa kushoto.

Unaweza kupata ushindi mmoja kwenye mstari wa malipo. Ikiwa una mchanganyiko wa ushindi wa hali nyingi kwenye mstari mmoja wa malipo, utalipwa ushindi wa thamani kubwa.

Jumla ya ushindi ni sawa, unapowakutanisha kwenye mistari kadhaa wakati huo huo.

Katika uga wa Hali, utaona vitufe vya plus na minus kurekebisha thamani ya dau kwa kila spin.

Kuna pia kipengele cha Kucheza moja kwa moja unachoweza kuamsha unapopenda. Kupitia chaguo hili, unaweza kuseti hadi spini 100. Kabla ya kuanza kipengele hiki, weka kikomo cha kiasi gani unaweza kupoteza wakati wa hicho.

Ikiwa unapenda mchezo kidogo wa haraka, tunayo suluhisho pia. Ongeza spidi kwa kubonyeza uga wa Turbo. Unaweza kurekebisha athari za sauti kona ya juu upande wa kulia juu ya nguzo.

Alama za sloti ya Beriched

Alama zinazolipa kidogo katika mchezo huu ni alama za kawaida za kadi: 10, J, Q, K na A. Ya thamani kubwa kati yao ni alama A.

Baada yao, unaweza kuona kichanja cha voodoo, na mara moja kinakuja mtungi unaovua dawa ya kichawi na jicho. Ikiwa unakusanya alama tano hizi katika mchanganyiko wa kushinda, utapata mara x2.5 ya dau.

Kisha utaona alama ya chura inayotoa malipo kidogo zaidi. Ikiwa unakusanya alama tano hizi katika mchanganyiko wa kushinda, utashinda mara x3 ya dau.

Kitabu ni moja ya alama za msingi zenye thamani zaidi katika mchezo. Ikiwa unalinganisha alama tano za hizi kwenye mstari wa malipo, utashinda mara x4 ya dau yako.

Kofia ya Mchawi ni alama ya msingi yenye thamani zaidi katika mchezo. Ikiwa unakusanya alama tano za hizi katika mchanganyiko wa kushinda, utashinda mara x10 ya dau. Tumia nafasi na upate ushindi mkubwa.

Bonasi za kasino

Jokeri inawakilishwa na nembo ya W na inaonekana kwenye nguzo zote. Inachukua nafasi ya alama zote isipokuwa Scatter na husaidia kuunda mchanganyiko wa ushindi.

Inalipa tu kwa alama tano kwenye mstari wa malipo, lakini ni alama yenye thamani zaidi katika mchezo wakati huo. Kisha utashinda mara x15 ya dau lako.

Chini ya kila nguzo kuna hadithi ya alama fulani. Ikiwa alama iliyotolewa inaonekana kwenye nguzo hiyo, itafungwa na kuwa alama iliyofungwa. Aina hii ya bonasi inadumu hadi alama mpya zilizo fungwa zinapoonekana.

Beriched | Casino slots online | Red Tiger Casino slots
Alama zilizofungwa(Locked Symbols)

Alama ya Scatter huwakilishwa na nembo ya mizunugko ya Bure(Free spins) na huonekana kwenye nguzo ya kwanza, ya tatu, na ya tano.

Beriched Casino slots online | Sloti za kasino mtandaoni | Red Tiger casino slots
Alama ya Scatter

Wakati alama hizi tatu zinaonekana kwenye nguzo, utashinda mizunguko 10 ya bure. Kitu kizuri hutokea wakati wa aina hii ya bonasi. Alama zilizofungwa zinabaki katika nafasi zao hadi mwisho wa mchezo wa bonasi hii. Lakini hiyo sio mshangao pekee. Alama zilizofungwa zinageuka moja kwa moja kuwa wilds.

Beriched | Casino slots online | Red Tiger casino slots online
Mizunguko ya Bure

Ambapo kwa wakati huu itakuwezesha kupata ushindi mkubwa.

Kiwango cha sloti hii kurejesha ushindi(RTP) ni 95.7%, wakati malipo ya juu ni mara x2,750 ya dau lako.

Picha na sauti

Sloti ya Beriched imewekwa juu ya bakuli ambapo dawa ya kichawi inapikwa. Muziki wa kichawi uko kila wakati ukifurahia.

Muonekano wa picha wa sloti hii ni wa kipekee na alama zote za mchezo huonekana kwa undani.

Furahia utajiri wa kichawi na Sloti ya Beriched.

Post navigation

Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Online Casino Bonuses
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.