Je, wajua kuwa kuna Ushindi Mkubwa Ukiwa na Meridianbet na Promosheni yetu na Mvua ya Pesa?
Vigezo na Masharti vya Promosheni hii:
- Promosheni “Aviator Bonanza, beti kibao za bure” itaanza 19.05.2023 hadi 31.05.2023.
- Promosheni hii inapatikana na kutumika kwa wateja waliosajiliwa kwenye tovuti ya www.meridianbet.co.tz au aplikesheni ya Meridianbet pekee.
- Wakati wa promosheni ya Aviator Bonanza, kutatokea mvua ya BASHIRI ZA BURE mara 20 kwa siku kwa wateja 10 wenye kasi zaidi kwenye Aviator kila muda!
- Wakati wa mvua za BASHIRI ZA BURE, wateja 10 watakaobofya kitufe cha TUMIA, watapatiwa bashiri za bure.
- Kila bashiri ya bure itakua na thamani ya shilingi 1,000.
- Mteja 1 anaweza kutumia bashiri 1 ya bure kwa wakati maalumu wa mvua ya BASHIRI ZA BURE. (mvua 20 kila siku, mteja anaweza kutumia bashiri 20 za bure kwa siku moja)
- Fungua sehemu ya ‘Andika Ujumbe’ ndani ya mchezo wa Aviator, bofya alama upande wa juu kulia na, tegemea mvua ya bashiri za bure!
- Baada ya mteja kutumia bashiri za bure, kwenye sehemu ya orodha ya mchezo wa Aviator, atapaswa kubofya sehemu ya “BASHIRI ZA BURE” na kuchagua bashiri ya bure kama dau.
- Ushindi wa odd ya 1.95 na kuendelea pekee ndio unaweza kuwekwa kwenye akaunti ya pesa halisi.
- MVUA ya BASHIRI ZA BURE itashuka bila mpangalio, mara 20 kwa siku wakati wote wa promosheni, kila mvua itanyesha kwa dakika 10.
- Mara baada ya bashiri ya bure kutumika, mteja atakua na takribani dakika 10 za kuitumia bashiri ya bure. Ikitokea bashiri ya bure haijatumika, mteja hatowezakuitumia bashiri ya bure na itaondoka kwenye akaunti yake.
- Ofa hii ni kwaajili ya mteja mmoja au anuani moja.
- Kwa kujisajili kwenye Meridianbet.co.tz wateja watakua wamekubaliana na vigezo na masharti ya promosheni.
- Meridian inahaki ya kubadilisha sheria za promosheni muda wowote pamoja na kusitisha promosheni.
- Vigezo na masharti kuzingatiwa.