Starzle | Mchezo mubashara kasino | Live casino | Live dealer games | Betgames

Starzle | Lotto inachezwa Live, Una bahati ya ushindi?

Tunakuletea mchezo wa kasino mubashara unaohusisha live dealer. Mchezo huu unategemea namba za bahati. Hii ni moja kati ya michezo ya bahati nasibu, hivyo wapenzi wa michezo ya namba bila shaka wataifurahia.

Starzle ni mchezo mubashara kutoka kwa mtoa huduma BetGames. Mchezo huu umejaa bonasi zenye nguvu ambazo zitakufurahisha kabisa. Malipo ya juu kabisa kwenye mchezo huu ni mara x250,000 ya dau lako.

Starzle | kasino mubashara | Live casino | Betgames
Mchezo wa Starzle

Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu mchezo huu, tunakushauri usome mapitio ya kina ya mchezo wa Starzle.

Tumeugawa muhtasari huu katika vipengele vifuatavyo:

  • Maelezo mafupi ya mchezo wa Starzle

  • Mchezo mkuu

  • Michezo ya bonasi

  • Muonekano na sauti

Maelezo Mafupi ya Mchezo wa Starzle

Starzle ni mchezo wa kipekee wa kasino unaotegemea droo ya bahati nasibu. Ikiwa unapenda michezo ya namba, huu ni mchezo wako. Unaweza kuweka dau lako kwenye beti za pembeni (outside bets) na kwa kufanya hivyo unaweza kushinda hadi mara x250,000 ya dau lako.

Pia kuna chaguo la kucheza mchezo mkuu, ambao nao haukosi msisimko.

Seti ya mchezo inajumuisha mpira 48 waliogawanywa kwa rangi tatu: nyekundu, nyeupe na bluu – kila rangi ina mipira 16.
Mtangazaji hutangaza kipindi cha kuweka dau. Kipengele cha Booster kinakuruhusu kupata vizidishi vya ushindi vya x1, x3, x5 au x7.

Kwenye kila droo, hutangazwa namba tatu za bonasi, na kama angalau moja kati ya hizo ipo kwenye namba zako sita ulizochagua, mchezo wa bonasi unaendelea.

Unaweza kuweka dau lako ndani ya muda maalum tu uliotengwa kwa ajili ya hilo.

Mchezo Mkuu

Weka dau lako kwenye matokeo ya mchezo mkuu au pembeni (side bets), ambapo namba 1, 2 au 3 za bonasi pamoja na mipira 6 huvutwa kwa bahati nasibu.
Kwa kucheza beti kuu (kwa kubashiri namba sahihi zitakazochorwa), mchezaji ana nafasi ya kuingia kwenye mchezo wa bonasi iwapo utawashwa.

Mchezo wa Bonasi

Iwapo angalau moja kati ya namba tatu za bonasi zitakazochorwa itaendana na mojawapo ya namba sita zilizochorwa, mchezo wa bonasi utaanza.

Wachezaji wote waliokuwa wameweka Main Bet na kushinda wataingia moja kwa moja kwenye mchezo wa bonasi na dau lao la awali litahusishwa na namba maalum iliyochaguliwa na kompyuta.

Kama mchezaji ameshinda beti kuu zaidi ya moja, dau lake litakusanywa kwa kila namba iliyochorwa na kutumika kwenye mchezo wa bonasi.

Wachezaji wengine (ambao hawapo kwenye bonasi) bado wanaweza kuweka Side Bets kwenye kadi inayofuata kwenye raundi ya bonasi – ambayo inaweza kuwa Multiplier, Star au Bust.

Starzle | Bonasi ya kasino | Betgames
Mchezo wa bonasi

Mchezo wa bonasi unajumuisha kadi 10 ambazo huonyeshwa kwenye ukuta wa mwangaza wa kidijitali.

  • Kati ya hizo, 3 ni vizidishi (multipliers)

  • 5 ni nyota (stars)

  • 2 ni Bust – humaliza mchezo wa bonasi

Kadi hufunguliwa moja baada ya nyingine kwa mpangilio wa bahati nasibu, hadi kadi ya “Bust” itakapoonekana – hii huashiria mwisho wa mchezo wa bonasi.

Njia nyingine ya kumaliza bonasi ni pale ambapo:

  • Kadi 3 za vizidishi na 5 za nyota zitafunguliwa

  • Au ikiwa nyota 5 zitachorwa mfululizo

Lengo kuu la mchezo huu ni kukusanya vizidishi vikubwa kadri iwezekanavyo kwa kudumu kwenye mchezo wa bonasi kwa muda mrefu.

Vizidishi vyote vilivyochorwa hujumlishwa pamoja.
Lakini! Iwapo nyota 5 zitatoka mfululizo, vizidishi vya x1,000 vitatumika kwenye ushindi wako.

RTP ya kinadharia (Return to Player) kwenye mchezo huu inakadiriwa kuwa kati ya 93% hadi 97%, kulingana na hatua ya mchezo unayocheza.

Starzle | Live casino games online | Betgames
Mchezo unavyochezwa

Mchezo wa Starzle hutangazwa moja kwa moja masaa 24, siku 7 za wiki.
Mapumziko pekee hutokea wakati wa matengenezo ya kiufundi.

Muonekano na Sauti

Mandhari ya Starzle ipo kwenye studio maalum, ambapo kuna mtangazaji (live dealer) na ngoma ya kuchora mipira. Mandhari na mandiko ya nyuma hubadilika kulingana na hatua ya mchezo.

Muundo wa mchezo ni wa kisasa, na athari za sauti zinafurahisha sana.
Furahia Starzle – mchezo wa kasino mubashara unaokupa nafasi ya kipekee kushinda!

Post navigation

Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Online Casino Bonuses
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.