Dia De Los Muertos 2 | Sloti ya mabingwa Mexico

0
34
Dia De Los Muertos 2 | Sloti | Casino Slots | Endorphina Slots
Dia De Los Muertos 2

Katika kipindi hiki cha shangwe za sherehe, tunakuletea sloti inayotangaza maadhimisho ya likizo nyingine na safari hii sio Mwaka Mpya. Siku ya Marehemu imejikita sana katika tamaduni za watu wa Mexico.

Dia De Los Muertos 2 ni sloti ya kasino mtandaoni iliyoandaliwa na wataalumu wa michezo ya kasino Endorphina. Bonasi zisizoweza kuepukika zinakungoja katika mchezo huu. Utafurahia mizunguko ya bure, vizidishio vyenye nguvu, na bonasi kubwa ya kubashiri(Gambling bonus).

Dia De Los Muertos 2 | Sloti ya Dia De Los Muertos 2 | Sloti mtandaoni | Casino Slots | Endorphina slots
Dia De Los Muertos 2

Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu mchezo huu, tunakushauri usome mapitio ya sloti ya Dia De Los Muertos 2.

Tumegawanya hakiki ya mchezo huu katika sehemu zifuatazo:

  • Maelezo ya msingi
  • Alama za sloti ya Dia De Los Muertos 2
  • Michezo ya bonasi
  • Grafiki na sauti

Maelezo ya msingi

Dia De Los Muertos 2 ni sloti ya kasino yenye nguzo sita zilizopangwa katika mistari mitano. Utaona alama 30 kwenye nguzo wakati wowote. Ili kupata ushindi wowote, walau alama nane zinazofanana zionekane kwenye nguzo.

Ushindi mkubwa unaweza kupatikana ikiwa alama 12 au zaidi zinatokea kwenye nguzo.

Katika mfuatano wa ushindi, ushindi mmoja unalipwa, daima ule wenye thamani kubwa. Jumla ya ushindi inawezekana ikiwa angalau vikundi viwili vya alama nane au zaidi zitatokea kwenye nguzo.

Ndani ya eneo la Kubeti kuna mishale kushoto na kulia ambayo unaweza kuweka thamani ya dau kwa kila mzunguko.

Pia kuna chaguo la kucheza kiotomatiki unaloweza kuwasha unapopenda. Chaguo hili linaanzisha mizunguko isiyokuwa na kikomo moja kwa moja.

Je! Unapenda mchezo wenye kasi zaidi? Basi tuna suluhisho kwa hilo. Wasilisha mizunguko ya haraka kwa kubofya eneo lenye picha ya Turbo. Unaweza kurekebisha kiwango cha sauti kwenye kona ya kulia juu ya nguzo.

Alama za sloti ya Dia De Los Muertos 2

Linapokuja suala la alama za Dia De Los Muertos 2, malipo ya chini kabisa ni vichwa vya fuvu ambavyo utaona badala ya alama za kadi.

Na kisha hufuatiwa na limau, wakati pilipili kali inaletea malipo zaidi. Malipo makubwa zaidi ambayo alama hii inaweza kukuletea ni mara x15 ya dau lako.

Koni zinazotumika katika mazoezi ya michezo zitakuletea malipo makubwa sana. Ikiwa alama 12 za aina hii zitaonekana kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara x25 ya dau lako.

Alama yenye thamani zaidi kwenye mchezo wa kawaida ni guitar. Ikiwa alama 12 au zaidi za aina hii zitaonekana kwenye nguzo, utapata mara 50 ya dau lako. Tumia nafasi hiyo na upatae ushindi mkubwa.

Michezo ya bonasi

Sloti ya Dia De Los Muertos 2 ina nguzo zenye kushuka. Kila unapofikia ushindi, alama zinazoshiriki zinatoweka kutoka kwenye nguzo, na zingine mpya zinaonekana mahali hapo. Kwa njia hiyo, unaweza kupata ushindi zaidi kwa kila mzunguko mmoja.

Waridi jekundu pia huonekana kwenye nguzo. Alama hii hubeba vizidishio vya nasibu. Thamani za vizidishio unazoweza kuona katika mchezo ni kama ifuatavyo: x2, x3, x4, x5, x6, x8, x10, x12, x15, x20, x25, x50, x100, x250 au x500.

Scatter inawakilishwa na mwanamke mwenye maua ya waridi kichwani. Alama za aina hizi sita kwenye nguzo zinalipa mara x100 ya dau lako.

Dia De Los Muertos 2 | Endorphina casino games | casino slots | sloti za kasino
Scatter

Scatter nne kwenye nguzo huleta mizunguko 15 ya bure ambayo vizidishio huonekana mara nyingi zaidi. Mara tu unaposhinda, vizidishio hivyo huhihifadhiwa. Vizidishio vipya huonekana wakati wa mizunguko ya ushindi na huhesabiwa kuongeza kwenye ushindi wako.

Sloti ya Dia De Los Muertos 2 | Online slots | Endorphina casino slots | Sloti
Mizunguko ya bure(Free Spins)

Scatter tatu au zaidi wakati wa mchezo huu wa bonasi huleta mizunguko mitano ya bure ya ziada.

Kwa msaada wa bonasi za kubashiri(Gambling bonus), unaweza kuongeza faida kwa kila ushindi utakaopupata. Kwenye bonasi hii ya kubashiri utakutana na kadi tano mbele yako, moja ambayo iko funuliwa, jukumu lako ni kuvuta kadi yenye thamani kubwa kuliko yake.

Dia De Los Muertos 2 | Sloti za kasino | Endorphina casino games
Bonasi ya kubashiri(Gambling bonus)

Grafiki na sauti

Nguzo za sloti ya Dia De Los Muertos 2 ziko kwenye mitaa ya Mexico. Upande wa kushoto utaona maua mengi ya waridi wakati upande wa kulia kuna alama ya maadhimisho ya siku ya Marehemu(Day of the dead).

Grafiki za sloti ya Dia De Los Muertos 2 ni nzuri na alama zote zimeonyeshwa kwa undani. Kiwango cha sauti kitakufurahisha hasa pale unaposhinda.

Cheza mchezo huu wa kasino uibuke bingwa na Dia De Los Muertos 2.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here