10 Wild Dice | Furaha isiyopimika kasino.

0
20
10 Wild Dice | Mchezo mpya wa sloti kasino | Fazi casino slots
10 Wild Dice

Tunakueletea shangwe ya kipekee kwenye kasino namba 1 mtandaoni, mchezo huu wa kasino unasisimua sana ambapo alama za kete zitatawala. Kazi yako ni rahisi sana, unahitaji kuzilinganisha kwa mpangilio bora wa ushindi. Ukifanikiwa katika hili, utajipatia ushindi mnono.

10 Wild Dice | Sloti mpya kasino | Fazi
Sloti ya 10 Wild Dice

10 Wild Dice ni mchezo wa sloti mtandaoni uliyowasilishwa kwetu na mtoa huduma Fazi. Mambo ya kipekee yanakusubiri kwenye mchezo huu. Jokeri za kuenea kwenye safu nzima, sloti ina aina mbili za scatter, na pia kuna jackpot zinazoendelea.

Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu sloti hii, tunapendekeza uendelee kusoma hakiki ya sloti ya 10 Wild Dice.

Tumeigawa hakiki ya mchezo huu katika vipengele kadhaa:

  • Tabia za msingi
  • Alama za sloti ya 10 Wild Dice
  • Bonasi za kasino
  • Michoro na sauti

Tabia za msingi

10 Wild Dice ni sloti ya mtandaoni yenye safu tano zilizopangwa kwa mistari mitatu, ikiwa na mistari 10 ya malipo isiyobadilika. Ili kushinda, unahitaji kulinganisha alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo.

Isipokuwa moja tu kwa sheria hii ni kete yenye herufi ya Kichina, ambayo inalipa hata ikiwa inalingana na alama mbili tu mfululizo. Mchanganyiko wa ushindi huhesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia, kuanzia safu ya kwanza upande wa kushoto.

10 Wild Dice | Ushindi mnono kasino mtandaoni | Fazi | Michezo ya kasino
Ushindi unavyofanana

Unaweza kushinda mara moja tu kwenye mstari mmoja wa malipo. Ikiwa una mchanganyiko wa ushindi zaidi ya mmoja kwenye mstari mmoja wa malipo, utalipwa ushindi wenye thamani kubwa zaidi. Jumla ya ushindi inazingatiwa ikiwa umeshinda kwenye mistari mingi kwa wakati mmoja.

Katika sehemu ya Balance, unaweza kuona kiasi cha pesa kilichobaki kwenye akaunti yako ya mtumiaji wakati wowote. Kubonyeza kitufe cha Stake hufungua menyu ambapo unaweza kuweka thamani ya dau lako kwa kila mzunguko.

Pia, kipengele cha Autoplay kinapatikana na unaweza kukiwasha wakati wowote. Kupitia chaguo hili, unaweza kuweka hadi mizunguko 1,000 moja kwa moja. Unaweza pia kuweka kikomo cha hasara inayokubalika wakati wa Autoplay.

Ikiwa unapenda mchezo wa kasi zaidi, unaweza kuwasha mizunguko ya haraka kwa kubonyeza kitufe chenye picha ya radi. Unaweza pia kurekebisha kiwango cha sauti kwenye kona ya kulia juu ya safu.

Alama za sloti ya 10 Wild Dice

Alama zote kwenye sloti hii zinawakilishwa na kete(dice).

  • Kete zenye namba moja, mbili, tatu, na nne zinatoa malipo ya chini zaidi. Ukilinganisha alama tano za hizi katika mchanganyiko wa ushindi, utapata mara x15 ya dau lako.
  • Kete yenye namba tano inalipa kiasi kikubwa zaidi. Ukilinganisha alama tano, utashinda mara x20 ya dau lako.
  • Kete yenye namba sita na kete yenye herufi ya Kichina hulipa kiasi sawa. Alama tano kwenye mstari wa malipo zitaleta ushindi wa mara x70 ya dau lako.
  • Alama yenye thamani kubwa zaidi ni kete kubwa yenye herufi ya Kichina. Ikiwa unafanikiwa kuunganisha alama tano kwenye mstari wa ushindi, utashinda mara x500 ya dau lako.

Bonasi za kasino

Jokeri kwenye mchezo huu inawakilishwa na kete yenye taji la kifalme. Alama hii inaweza kuchukua nafasi ya alama zote isipokuwa scatter na kusaidia kuunda mchanganyiko wa ushindi.

10 wild dice | bonasi za kasino | Fazi slots
Alama ya jokeri(wild)

Jokeri inaonekana kwenye safu ya pili, ya tatu na ya nne. Wakati wowote inapojitokeza kwenye mchanganyiko wa ushindi, itaenea kwenye safu nzima.

Scatter

Kuna aina mbili za scatter katika mchezo huu:

  • Scatter ya kwanza ni kete ya bluu yenye nyota juu yake. Inaonekana kwenye safu ya kwanza, ya tatu, na ya tano. Ukiwa na alama tatu kwa wakati mmoja, utapata ushindi wa mara x20 ya dau lako.
  • Scatter ya pili ni kete ya dhahabu yenye nyota. Hii ni alama pekee inayolipa popote inapoonekana, ilimradi ipatikane angalau mara tatu kwenye safu. Scatter tano hulipa mara x100 ya dau lako.
Sloti ya 10 Wild Dice | Bonasi ya ukaribisho | Alama maalum za michezo ya sloti | Fazi slots
Alama ya Scatter

Mchezo huu pia unatoa jackpot tatu zinazoendelea: Dhahabu, Platinamu, na Almasi.

Michoro na Sauti

Mpangilio wa 10 Wild Dice umewekwa kwenye mandhari ya rangi nyekundu iliyojaa nyota zilizosambazwa. Michoro ya sloti hii ni bora, na alama zote zimewasilishwa kwa maelezo ya hali ya juu.

Utafurahia hasa sauti  za shabgwe kila unapopata ushindi. Furahia burudani iliyotukuka ukicheza sloti ya 10 Wild Dice!

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here