1 × 36. Lengo la gemu hii, hamu ya kila mteja mzuri wa ruleti tangu anapokaa chini kucheza ruleti. Patia namba, shinda zaidi, mfululizo wa ushindi… Titan Roulette haipo katika orodha ya gemu za aina hii. Njia ya Ulaya ya kupata malipo katika ushindi kwenye ruleti  ni kitu muhimu cha ruleti hii pia.

Unapobashiri kwenye namba inakupa wewe x36, mkeka kati ya namba mbili x18, kati ya namba nne x9, namba dazani x3, na kadhalika… Hata hivyo, tayari inakuwa katika hatua ya kwanza na mzunguko wa kwanza, unahisi tofauti kulinganisha na ruleti zingine za kukisiwa, unapata jibu la kwanini wateja wengi zaidi wanaamua kuingia katika kasino za mtandaoni na taratibu wanaweza kusahau kuhusu zile za “older brother” – ruleti za umeme au za moja kwa moja.

Titan Roulette, Gemu za Mb, Bonasi za Kasino Mtandaoni, Expanse

Titan Roulette, Gemu za Mb, Bonasi za Kasino Mtandaoni

Titan Roulette, Gemu za Mb, Bonasi za Kasino Mtandaoni

Tutaenda kwa mpangilio sahihi… Chaguo la mbio za gemu linafahamika kwa kila mteja wa ruleti. Kwa kuwasha chaguo hili, mteja anacheza kubwa (sifuri), ndogo (5/8) au mpangilio wa Orph, inayocheza nafasi husika. Katika wakati unaofuatia anawasha mzunguko na kusubiri ushindi. Pia, hakuna kitu ambacho si cha muhimu na chaguo maarufu la kuwekeza katika namba za jirani yake.

“Two out of two”, “three out of three”, “four out of four”… ni maenno ya kawaida ambayo hutumika sana katika kamusi ya wateja wa ruleti, kama inavyofahamika wakati wa kuicheza. Ni kitendo cha kuchagua tu tokeni na kinakuwa ni rahisi sana. Mara baada ya mizunguko kadhaa, mteja atajionea rangi mbalimbali za vitu vilivyopo, hivyo hahitaji thamani. Kuna chaguo la kufuta mikeka yote, na pia kufuta mikeka ya mwisho mmoja baada ya mwingine au kurudisha mikeka ya aina moja. Ile duplication, yaani. x2 ni kionjo cha muhimu kwa kila mtu ambaye anacheza ruleti angalau mara moja.

Kuna nyakati ambazo mteja anatamani kuweka hela yake yote. Mara nyingi, wakati wa ruleti kutotoa namba fulani katika mipangilio kwa muda mrefu, hivyo kusimama kwa mpangilio mbaya ni “rushed”, lakini pia inaingia katika mpangilio wa ushindi, inakuwa ni kama muda sahihi wa kushinda zaidi. Start / Skip – chaguo la muhimu kwa kila ruleti! Hapa tunakuja katika chaguo la muhimu, ambalo ni Start / Skip.

Itatupeleka sisi na kutuonesha faida nyingine  kubwa ya Titan Roulette – ufanyaji kazi na mwendokasi wa kucheza mzunguko wake. Kuna wateja ambao wana subira na wanawekeza kwa akili sana mikeka yao na kuwapangia katika kibao cha mpangilio. Hata hivyo, kuna idadi kubwa ya wanaocheza mipangilio ya namba au namba zinazoendana nazo na wanacheza hivyo mara kwa mara kwa namna hiyo hiyo na kwa dau lile lile. Tunafanya kama mfano kwa wateja wa “small series” au 5/8.

Hataki tubadilishe mkeka, namba za kwenye silinda zinatoka katika 33, upande wa kushoto, mpaka 27, upande wa kulia. Mwishoni analinda mipangilio yake kwa namba moja na sita. Hakuna sababu ya kufuta kitu chochote, hakuna sababu ya kuongeza namba zingine katika mpangilio mwingine. Hataki kusubiri matokeo ya mzunguko unaokuwepo. Kuna wateja wengi wa namna hii, na kitufe cha Start / Skip kinawafaa sana wao. Kwa njia hii, mteja anaweza kucheza takribani mizunguko 60 katika dakika moja, au kuzngusha katika ile ya pili!

Endapo tuki”mix” vyote hivi pamoja na chaguo la x2 inakuwa wazi namna ambavyo mteja ambaye hana muda au hana hamu ya kuchezea machaguo mengine anageuza mizunguko, kwa bahati kiasi kidogo, kufikia mafanikio katika muda mfupi sana. Cha mwisho katika mfululizo wa faida za gemu ya Titan Roulette! Hii ni ile ambayo wazalishaji wa ruleti wanaangalia bila ya kukazia sana, na ni kitu cha muhimu sana kwa kila mteja wa ruleti, inatokea na kufanya kazi katika silinda yenyewe, na uzito wa mpira ambao upo ndani yake.

Kipingamizi kikubwa kwa wateja wowote wa ruleti ni kwamba mpira unarushwa sana, unaishiwa namba, unaanguka pasi na kutarajiwa, katika nyakati fulani za kurushwa nje ya namba ambayo ni yenye utajiri mkubwa wa vifaa vinavyokuwepo pale… kukiwa na Titan, mambo kama hayo yanapungukiwa kwa kiwango kidogo. Silinda ni ndefu, mpira ni mzito, dhahabu zimepangwa kwa usahihi sana, hata sauti zinakuvutia sana kwamba upo katika kasino halisi, ambako mpira wa pembe ya tembo inageuka katika sehemu ya mbao, na kisha kuangukia katika namba inayopendwa. Wateja wanapenda wakati ule ambao mpira unaanza kuanguka, wanajisikia na kukisia sehemu ambayo namba itaangukia na hisia za kwenye Titan imekuwa ikiletwa na ukamilifu mkubwa.

Chukulia mfano wateja wanaocheza ile inayoitwa Zero series of numbers, ambayo inajumuisha namba zilizo katika mafungu ya sifuri, na ambayo imepangiliwa na ukijani. Wakati ambapo mpira unaanza kuanguka, endapo itaangukia katika dhahabu na kushuka hadi kwenye namba zinazozunguka sifuri, mteja anaweza kuhisi uwepo wa ushindi, na hisia hiyo haijirudiii tena na haifahamiki kwa wateja wa ruleti halisi pekee. Siku zote wateja wa Titan roulette watakutana na hali za namna hii. Ule ubora, kama wa kurekebisha sauti, muziki, lugha… unarahisishwa sana na kuwa unafikika kwa usawa kabisa. Pia, kuna muongozo mfupi kwa wale wote ambao wanakutana na aina hii ya ruleti kwa mara ya kwanza.

Kamwe hautosikia kuhusiana na habari za kuvutia za magazetini wakati linapokuja suala hili la ruleti mpya. Tuseme tu kuwa, ruleti ni ruleti. Hata hivyo, endapo unataka haya yote katika sehemu moja basi kama una mahitaji machache ambayo kila mteja wa ruleti anayo, endapo ukiangalia hali inayokuwepo pale, hakika hii Titan roulette ni chaguo lako sahihi kabisa!

Maelezo ya gemu za ruleti yanaweza kuonekana hapa.

17 Replies to “Titan Roulette – ruleti bomba ya mtandaoni!”

Leave a Reply to Lydia Emmanuel Magoti Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *